Hivi akina kaka na baba JF mnaichukuliaje hii?

...kuondoa maudhi mfungulie account benki uwe unamuwekea nyongeza.

Hehehehe unataka mama mwenye nyumba amsepeshe?
Akimsepesha anashuka Chalinze au Kibaha anageuka tena unampangia room Magomeni au Sinza umege kwa raha zako.
 
Kama anaweza kufanya kazi zote hizo sasa itamshinda vipi iyo kazi moja tu.! Unauliza kwanza ikiwa poa unamalizai na iyo kazi ya mwisho,kwani pale hakuna kujali sura nzuri wala mauombo ya kutisha,kila mwanamke amepewa haki ile ile.
 
Teh teh teh teh unajiexpress kama unalia vile.
Hehehehe unataka mama mwenye nyumba amsepeshe?
Akimsepesha anashuka Chalinze au Kibaha anageuka tena unampangia room Magomeni au Sinza umege kwa raha zako.

..ha ha ahahahaaaaaa, dah... nimecheka mpaka machozi yanatoka...naona mahausigeli wengi leo watakuwa mashakani baada ya kina mama kusoma JF!...

Agika azusha balaa!
 
Masikini Shemeji Mbu na kaka Fidel loh mbona mmeshaezeka kabisa nyie!!
 
Hehehehe Mwana wewe una house girl?
Kama unae basi fanya mikakati endelevu kama mwenzio Nyamayao ana houseboy muulize kwa nini anae huyo badala ya house girl? Aligundua mzee atamega au alisha mega. Mnashare kujiexpress na house girl libeneke kama na burudani inaendelea.
 
.......... Unanichekesha kweli. Kwa hiyo watu tuache kuajiri hawa wasichana kwa kuwa ni tishio ama? makubwa basi na tutakuwa wamama wa nyumbani ili kuwadhibiti lol

(Mie sina housegirl, wifi yangu ndiye tunayesaidiana naye shughuli za nyumbani!!)
 
...Agika huyo aliyezusha balaa hili, mie simo! 😀
Mwe!!! mie nchokaaa kabsaaa
Najuuuuuuuuta kuanzisha hiii thread maana bora nilivykuwwa siyajui mawazo ya wanaume kwenye hili kuliko hivi sasa nilivyoyaona,
Presha inapandaaaaa presha inashukaaaaa
 
.......... Unanichekesha kweli. Kwa hiyo watu tuache kuajiri hawa wasichana kwa kuwa ni tishio ama? makubwa basi na tutakuwa wamama wa nyumbani ili kuwadhibiti lol

(Mie sina housegirl, wifi yangu ndiye tunayesaidiana naye shughuli za nyumbani!!)
mwenzanguu eeeeee mbona hili balaaaaaaaa nalo
 
.......... Unanichekesha kweli. Kwa hiyo watu tuache kuajiri hawa wasichana kwa kuwa ni tishio ama? makubwa basi na tutakuwa wamama wa nyumbani ili kuwadhibiti lol

(Mie sina housegirl, wifi yangu ndiye tunayesaidiana naye shughuli za nyumbani!!)

Ni tahadhari tu Mwana umewahi kuwa na house girl?
 
Jambo wote (naamkua jamaa)

Kusema ukweli kwa maisha ya sasa hivi na umuhimu wa kina mama/dada kufanya kazi ili maisha yaende, ndo maana ma HG wapo kusaidia kulea watoto na kazi nyingine 'dnogo ndogo'

simwelewi mama wa nyumbani ambaye anakuwa anahitaji HG..anakuwa anajiletea matatizo mwenyewe

kwa wale waliko kazini ni vizuri kama walivosema wengine hapa kuwa mambo ya chumbani yakawa strictly chumbani...HG haingii, hachungulii! wala hajui shuka tunazolalia zikoje..kwa maana ya hata kuzishika kufua ni mwiko,,,

Kimaadili na kiutu sio vizuri afike kote huko jamani, sio tu eti kwa vile mzee anaweza kumvizia akamega..hapana mi naona kimaadili/utu pia sio vizuri, yue ni binadamu kama binadamu wengine.

Kwa hiyo suala la KUTAMBUA majukumu kama mke/mume ni muhimu sana ili kuepuka haya yote!
 
The original question is based on traditional chauvinism and therefore any answer addressing the question without pointing out the fallacious and almost medieval premises is bound to be deficient in providing a modern and balanced solution.
 
hapo umechema kaizer na ukiangalia sana upendo unapokuwepo haya mengine yote yanakuwa mepesi kufanya.
ila nyie mnatakiwa siku mojamoja muwe mnatandika kitanda mnafuwa hayo mashuka unayosema sio sio unasema hivyo kisha umwachie mwenzio tu ndo afanye yote hayooo
 
Kindly provide one basing on what u said.
 
......... mh agika hawa bwana hata uwabebe mgongoni akishakuwa tempted na h/girl nothing can make him change his mind! Mara moja moja ni sawa hasa weekend unaruhusiwa ila hawana shukrani wala mapenzi hawa!!

..... wengine tulishawahi kuwa tunaamka saa kumi alfajiri kila siku kumtayarishia supu na chapati (tena za kusukuma) na bado tukatendwa

What am insisting ni kuwa pamoja na kuwa ni majukumu ya mke (yatupasa kuyazingatia) kama mume hana maadili atatoka tu hata umfanye nini.

Mwanamume mwenye upendo wa kweli ataelewa majukumu aliyonayo mkewe (kama anazo sababu maalumu za kutomhudumia) na hata kama kitu kitafanywa na housegirl hatamind kabisa na ikiwezekana vile ambavyo anahisi kimaadili si vema housegirl afanye mf. kutandika kitanda, kufua pants e.t.c. atafanya yeye!

Umeongea kwa uchungu mpaka nimeogopa....Jamani msiwe mnawatenda wanawake hivi...huyu kufikia kuandika hivi yaani ni balaaaa.
 
hapo umechema kaizer na ukiangalia sana upendo unapokuwepo haya mengine yote yanakuwa mepesi kufanya.
ila nyie mnatakiwa siku mojamoja muwe mnatandika kitanda mnafuwa hayo mashuka unayosema sio sio unasema hivyo kisha umwachie mwenzio tu ndo afanye yote hayooo

aa mi akishika shuka 'huku'na yeye nashika 'kule'.. eeh umenisoma?🙄
 
Last edited:
aa mi akishika shuka 'huku'na mi nashika 'kule'.. eeh umenisoma?🙄
aaaagh hahahhahaha nimekusoma kaka, ila kaizer haya mambo yamejaa kwenye jamii yetu sana , Mungu amnusuru mume wangu jamani japo najitahidi niwezavyo, si ntajinyonga mie kwenye mti wa mchicha Mwe!!!
 
Kindly provide one basing on what u said.

The question is posed under the faulty premise of the woman having the sole responsibility of dealing with the house help, which though admittedly traditional, still condescends all notions of equality in the house and subscribes to the bias that presupposes that only the woman is responsible for directing household chores, including scheduling the house help/maid.

The liberal approach of normative feminism holds that men and women are entitled to equal rights and respect, which involve equal share of the housework.The descriptive approach of the same school of thought identifies deficiencies in meeting this ideal and potrays this as an actual and undesirable imbalance in society.

As long as the identified and almost automatic deep rooted imbalance is not removed, women will remain -sadly unfairly - responsible to answer for the entire domestic scene unnecessarily.

As long as women bring to the table for a fair discussion and balanced division of labor - a balance which may criss cross the traditional roles- then at the very least, if there will appear any failure in the structure it can be argued to be stemming from a collective effort, and the woman will cease to assume full responsibility.

In other words, my point is, why should the woman be the one to decide the house maids schedule? This can be a family decision, and from there, if something mischievious prevail, the responsibility -if not just guilty conscious- will not solely be the womans.

There is a huge need to dismantle some of these traditional roles - especially if they are not working, offensive, oppressive and chauvinistic-.Of course there are circumstances where every member of the family unit is actually very happy with some of these traditional roles.From a utilitarian point of view I have to agree with the practicality of these even though in principle they may prove backwards as far as equality concepts are concerned.

For specific examples, a house with a father who cooks at lest some of the days -perhaps weekends and purely due to interest in the culinary art and ethnic cuisines, a culturally sensitive and emotionally secure man, a modern man - will probably have more of an interest and therefore say, in deciding that the house maid is not required on weekends, if only just to give dad room in the kitchen to show his skills and love for his family.

Sadly enough and as many of you know, in too many of our indigeneous cultures, the tradition is that the kitchen is the woman's domain, some traditions even forbid men access to the kitchen, so I fully understand the clash of civilization posed by my sometimes too bookish and theoretical approach.But I basically see that as the solution.

To use a politician's phrase, the question is not whether mama should allow the housemaid to do all the work all the time or not, the real question is to involve the father, sisters and brothers in housework, including kitchen work, and find these as enjoyable family activities. In the process the family maid will automatically get her/his break and the family will bond some more.

The original problem posed by the housemaid taking over will be solved, and the family will gain by bonding much more.
 
Last edited:
aaaagh hahahhahaha nimekusoma kaka, ila kaizer haya mambo yamejaa kwenye jamii yetu sana , Mungu amnusuru mume wangu jamani japo najitahidi niwezavyo, si ntajinyonga mie kwenye mti wa mchicha Mwe!!!

usijali tutakuja kukuzika ukipona tunakufunga! LOL😀
 
The question is posed under the faulty premise of the woman having the sole responsibility of dealing with the house help, which though admittedly traditional, still condescends all notions of equality in the house and subscribes to the bias that presupposes that only the woman is responsible for directing household chores, including scheduling the house help/maid.

The liberal approach of normative feminism holds that men and women are entitled to equal rights and respect, which involve equal share of the housework.The descriptive approach of the same school of thought identifies deficiencies in meeting this ideal and potrays this as an actual and undesirable imbalance in society.

As long as the identified and almost automatic deep rooted imbalance is not removed, women will remain -sadly unfairly - responsible to answer for the entire domestic scene unnecessarily.

As long as women bring to the table for a fair discussion and balanced division of labor - a balance which may criss cross the traditional roles- then at the very least, if there will appear any failure in the structure it can be argued to be stemming from a collective effort, and the woman will cease to assume full responsibility.

While agreeing with your inputs, I would like to point out that it is the manner with which the discussion on this seemingly delicate matter is brought to attention and, consequently proposed solutions. Liberals have had the propensity to indulge in this with the view of a man as a culprit-humbleness almost lost in the belief in 'end male chauvinism now' slogans and the like. In that case, you can fairly predict a dead end to these kind of discusion.

In other words, my point is, why should the woman be the one to decide the house maids schedule? This can be a family decision, and from there, if something mischievious prevail, the responsibility -if not just guilty conscious- will not solely be the womans.

There is a huge need to dismantle some of these traditional roles - especially if they are not working, offensive, oppressive and chauvinistic-.Of course there are circumstances where every member of the family unit is actually very happy with some of these traditional roles.From a utilitarian point of view I have to agree with the practicality of these even though in principle they may prove backwards as far as equality concepts are concerned.

And I hope you will also agree that practicality of matters matter, principles aside, and that there is nothing like 'equality' in the strict sense...responsibilities will tend to differ in spatial and temporal dimensions and it is thus imperative not to be lured in the liberal concepts of equality even in issues where their practicality can be critically questioned.

For specific examples, a house with a father who cooks at lest some of the days -perhaps weekends and purely due to interest in the culinary art and ethnic cuisines, a culturally sensitive and emotionally secure man, a modern man - will probably have more of an interest and therefore say, in deciding that the house maid is not required on weekends, if only just to give dad room in the kitchen to show his skills and love for his family.

Well, on my side..I dont think I need to be 'modern'..the house maid can stay-save for the fact that she may need some times off- to see how a devoting father I am!

Sadly enough and as many of you know, in too many of our indigeneous cultures, the tradition is that the kitchen is the woman's domain, some traditions even forbid men access to the kitchen, so I fully understand the clash of civilization posed by my sometimes too bookish and theoretical approach.But I basically see that as the solution.

To use a politician's phrase, the question is not whether mama should allow the housemaid to do all the work all the time or not, the real question is to involve the father, sisters and brothers in housework, including kitchen work, and find these as enjoyable family activities. In the process the family maid will automatically get her/his break and the family will bond some more.

The original problem posed by the housemaid taking over will be solved, and the family will gain by bonding much more.

Agreed, but again, it is also how you involve the father and others in housework...
 
Back
Top Bottom