Hivi akina kaka na baba JF mnaichukuliaje hii?

Pale mkeo au mwenzio anapomwachia housegirl kila kazi hata weekend? kutandika kitanda, kukupikia, kukutarayirishia chakula mezani, maji ya kuoga mhhhh.....................ndio uzungu au sie wengine tumepitwa na wakati:confused:?
hali hii inaleta hamu ya kum mega HG.......na ndio vishori vya siku hizi vilivyo unavikuta vina kucha ndeeeefu usafi havijui sasa na makucha hayo hata kujisafisha kule GAZA atajisafishaje?
 
...mimi naona ajabu sana, kwanini tuajiri houseboy kutupikia, kupiga deki nyumba, na kutulelea watoto kama sio kutaka kusaidiwa maza-hausi?

...nami ningeona 'kero' huyo baunsa kuingia chumbani kwako kutandika kitanda!

mambo ya chumbani kwangu yananihusu mie na mr tu.
 
Na kina baba kuzaa na mahousegirls je?........inasameheka?

mwanamke mwenye kujiheshimu huwezi kuzaa na houseboy na mwanaume mwenye kujiheshimu hawezi kuzaa na house gal, kwangu hiyo ndoa itakufa kibudu, bila mjadala, khaa
 
hivi vitu vyote ulivyotaja ndio vinavyosababisha tamaa/hamu ya kufanya tendo la ndoa na housegirl kwani unakuwa ushapata vitu vyote muhimu kutoka kwake sasa unaona embu ngoja ni mjaribu kwenye swala nyeti sasa lol.ushauri wangu kwa wanawake wote haya mambo ya kupika kutaarisha vyakula kila kitu ni vizuri mkitufanyia wenyewe kwani inaonesha upendo zaidi na pia ni raha sana kula chakula kilicho pikwa na mkeo.
thats wat i wanted to hear kumbe mnaona raha eeee mkifanyiwa na wake zenu? basi na nyie mjue kuwashukuru na kuonyesha appriciation kwa wake zenu ili na wao wajisikie raha kama nyie mnavyojisikia.
 
Nyie akina mama na kwanini mahouse girl mna wapunja mishahara licha ya kupiga mzigo wa hali ya juu ndo maana wanamegwa na waume zenu wanawapa pesa ndefu.

sana tu, na wanawanyanyasa sana, beki 3 anapigishwa zigo ka punda hakuna hata kupumzika.
mkuu shwari lakini?
 
mwanamke mwenye kujiheshimu huwezi kuzaa na houseboy na mwanaume mwenye kujiheshimu hawezi kuzaa na house gal, kwangu hiyo ndoa itakufa kibudu, bila mjadala, khaa

punguza hasira mama, mambo ya kawaida tu hayo siku hizi, ni katika kusaidiana kijamii na kubadilishana uzoefu!!
 
Hii thread ina input yeyote?

haina input ina output tu!
icon10.gif
 
hamna kitu khaa, uzae na houseboy kisa nini? hilo kosa haliameheki...

Wengi mbona wana heshima zao na wana nyadhifa kubwa katika jamii wanamegwa na mahouse boy wengine wamediliki kuzaa nao pindi uhondo unapo pitiliza mpaka kisogoni.
 
sana tu, na wanawanyanyasa sana, beki 3 anapigishwa zigo ka punda hakuna hata kupumzika.
mkuu shwari lakini?

Hehehe mkuu level.
Mi iwa nawaonea huruma akivunja chombo anakatwa kwenye mshahara na mshahara wenyewe ni 20,000 au 10,000 kwa mwezi. Kwakweli akina mama wote waliopo humu ndani sijui kama kweli wana wajali mahouse girl wao angalau tu kuwajali kwa masrahi mnawapa kiduchu mno jamani na wao ni binadamu vile vile.
 
hali hii inaleta hamu ya kum mega HG.......na ndio vishori vya siku hizi vilivyo unavikuta vina kucha ndeeeefu usafi havijui sasa na makucha hayo hata kujisafisha kule GAZA atajisafishaje?
Yo Yo natamani kukukatalia maneno yako lakini siwezi kwasababu umeongea ukweli mtupu tena hayo makucha sio mkono mmoja tu mikono yote, mhhhh napo utata:confused:
 
UKinitengenezea mazingira ndani ya kumi na 8 sibahatishi napiga vitu lawama ni juu yako wewe unapaswa ujilaumu kwa nini unamruhusu house girl afanye usafi chumbani? mpaka kutandika kitanda duh!!! ndo narudi namkuta wewe bado hujarudi utasubili matokeo tu yaani changes tunamaliza mule mule nakujiexpress juu.

Halafu unaingia chumbani unakuta ameinama na kimini chake paja lote nje!!!!! Miguu ya mwali!!! Tafadhali weka iron bar kati yako na hause girl vinginevyo ndoa nyingi zitakuwa matatani!!!
 
Hehehe mkuu level.
Mi iwa nawaonea huruma akivunja chombo anakatwa kwenye mshahara na mshahara wenyewe ni 20,000 au 10,000 kwa mwezi. Kwakweli akina mama wote waliopo humu ndani sijui kama kweli wana wajali mahouse girl wao angalau tu kuwajali kwa masrahi mnawapa kiduchu mno jamani na wao ni binadamu vile vile.
hivi weee fide umeng'ang'ania wakinammama tunawapa mshahara mdogo wafanyakazi wa ndani kwani sie ndio tunayeamua kuwapa mshahara kiasi fulani peke yetu si tunaamua wote baba na mama mwenye nyumba? sasa tena mbona mnatutpia sie mzigo wa lawama?
 
Yo Yo natamani kukukatalia maneno yako lakini siwezi kwasababu umeongea ukweli mtupu tena hayo makucha sio mkono mmoja tu mikono yote, mhhhh napo utata:confused:
Halafu unaingia chumbani unakuta ameinama na kimini chake paja lote nje!!!!! Miguu ya mwali!!! Tafadhali weka iron bar kati yako na hause girl vinginevyo ndoa nyingi zitakuwa matatani!!!

...haya sasa, kuna ubaya gani hausigeli (kama mguu anao) akivaa kimini na kitopu, akafuga kucha na kujipaka wanja? acheni hizo bana, nashukuru hausigeli wetu ni natural beauty, wala hahitaji vikorombwezo usoni, ukimuona utasema ndugu wa maza hausi :)...
 
hivi weee fide umeng'ang'ania wakinammama tunawapa mshahara mdogo wafanyakazi wa ndani kwani sie ndio tunayeamua kuwapa mshahara kiasi fulani peke yetu si tunaamua wote baba na mama mwenye nyumba? sasa tena mbona mnatutpia sie mzigo wa lawama?

Wanawake ndio iwa mnaamua kumtafuta na mishahara mnapanga wenyewe bila kumshirikisha mwanaume mngekuwa mnamshirikisha mwanaume anapo amua kumega HG asingekuwa anampa kiasi kikubwa cha pesa.
 
Hehehe mkuu level.
Mi iwa nawaonea huruma akivunja chombo anakatwa kwenye mshahara na mshahara wenyewe ni 20,000 au 10,000 kwa mwezi. Kwakweli akina mama wote waliopo humu ndani sijui kama kweli wana wajali mahouse girl wao angalau tu kuwajali kwa masrahi mnawapa kiduchu mno jamani na wao ni binadamu vile vile.

...kuondoa maudhi mfungulie account benki uwe unamuwekea nyongeza.
 
Wanawake ndio iwa mnaamua kumtafuta na mishahara mnapanga wenyewe bila kumshirikisha mwanaume mngekuwa mnamshirikisha mwanaume anapo amua kumega HG asingekuwa anampa kiasi kikubwa cha pesa.

....:D:D:D watu weweeeeeeeeeeeeeeee!
 
Halafu unaingia chumbani unakuta ameinama na kimini chake paja lote nje!!!!! Miguu ya mwali!!! Tafadhali weka iron bar kati yako na hause girl vinginevyo ndoa nyingi zitakuwa matatani!!!

Teh teh teh teh unajiexpress kama unalia vile.
 
Back
Top Bottom