Hivi akina kaka na baba JF mnaichukuliaje hii?

aingie kufanya nini? mie hapana.

...aaaaaaaaaarrrghhh jamani, mnamuogopa housegal kuliko 'popo bawa'?
wetu huingia chumbani kumsaidia mamsap kupanga dressing table, nguo kabatini, kusafisha master bedroom na kudeki bafuni...:)

Kwanini mamsapu ataabike wakati kuna 'binti' analipwa bana?
 
Anaingia kukusaidia usafi chumbani kwako na kama haupo anakusaidia vile vile ...

...tell them Fidel, tell them...

si wenyewe siku hizi mnataka kitanda kingsize, mamsapu ataweza wapi kukitandika peke yake kila siku? halafu masterbedroom ina bafu kuuubwa! mnataka mamsapu aharibike kucha kwa kusafisha tiles? no way bana!
 
shost hapo nakuunga mikono na miguuu yote? kumtamanisha mwizi dhambi shost maana hujaamwachia house kazi hizo nanga inapaa je ukimwachia? akaina fide, GP na mbu wamepata sababu ya kuvunja amri ya sita na beki tatu

huko huko anako mwambia aende kutembea anapigwa twisheni ya kufa mtu, subiri tu siku apate chansi ya kupeleka maji ya kuoga mzee, atamwogesha na kumfanyia massage muheshimiwa!!!, teh teh teh, mapinduzi baridi hayo
icon10.gif
 
......... mh agika hawa bwana hata uwabebe mgongoni akishakuwa tempted na h/girl nothing can make him change his mind! Mara moja moja ni sawa hasa weekend unaruhusiwa ila hawana shukrani wala mapenzi hawa!!

..... wengine tulishawahi kuwa tunaamka saa kumi alfajiri kila siku kumtayarishia supu na chapati (tena za kusukuma) na bado tukatendwa

What am insisting ni kuwa pamoja na kuwa ni majukumu ya mke (yatupasa kuyazingatia) kama mume hana maadili atatoka tu hata umfanye nini.

Mwanamume mwenye upendo wa kweli ataelewa majukumu aliyonayo mkewe (kama anazo sababu maalumu za kutomhudumia) na hata kama kitu kitafanywa na housegirl hatamind kabisa na ikiwezekana vile ambavyo anahisi kimaadili si vema housegirl afanye mf. kutandika kitanda, kufua pants e.t.c. atafanya yeye!

Nice comments MwanajamiiOne
Congratulation
 
...pheeeeeeeeewww, wenzenu tunaishi 'kidhungu' nyie mnasema hatuna maadili, arrgghh!
 
Unajua kuna kitu ambacho tunashindwa kujua ni kuwa hata kama housegirl ingekuwa kazi yake ni kuteka maji na kupika tu basi huyo mwanaume(Mume) akiamua kutembea na huyo binti atatembea naye tu.

Ni kama alivyosema MwanajamiiOne kuwa wengine waliamka na kuwapikia chapati sijui za kumimina lakini bado walitendwa tu. Ninachotaka kusema ni kwamba suala la housegirl kufanya mapenzi na Mume siyo eti kwasababu anadeki mpaka chumbani au anatandika kitanda kwahiyo Mume ameona ufanisi wa housegirl ni mkubwa kuliko wa Mkewe. No, hapana, hii naipinga kabisa bali ni hulka ya mtu binafsi. Na ukiona mwanaume amefanya kitendo hiki halafu akatoa sababu hizo hapo juu atakuwa mwendawazmu na mpumbavu. Hutakiwi kumu-award housegirl mapenzi kwa kuwa anafanya kazi vizuri.

Basi kama ndio hivyo uku maofisini ingekuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi vizuri angekuwa anakuwa awarded mmapenzi bila ya kujali kama huyu ni mwanamke au mwanaume. Mimi naona huu ndio utaahira wa wanaume wenzangu, kwani uko chumbani ni madhabahuni kwahiyo wassingie watu wengie zaidi ya mume na mke?

Mimi nafikiri sababu ya mume kutembea na housegirl iwe ni kuwa amemtamani kama ambavyo anamtamani mwanamke mwingine yeyote. Tuache kuwaonea wake zetu na kuwadhalilisha wake zetu eti kwa kisa housegirl anafanya sana kazi za ndani mpaka chumbani anaingia
 
......... mh agika hawa bwana hata uwabebe mgongoni akishakuwa tempted na h/girl nothing can make him change his mind! Mara moja moja ni sawa hasa weekend unaruhusiwa ila hawana shukrani wala mapenzi hawa!!

..... wengine tulishawahi kuwa tunaamka saa kumi alfajiri kila siku kumtayarishia supu na chapati (tena za kusukuma) na bado tukatendwa

What am insisting ni kuwa pamoja na kuwa ni majukumu ya mke (yatupasa kuyazingatia) kama mume hana maadili atatoka tu hata umfanye nini.

Mwanamume mwenye upendo wa kweli ataelewa majukumu aliyonayo mkewe (kama anazo sababu maalumu za kutomhudumia) na hata kama kitu kitafanywa na housegirl hatamind kabisa na ikiwezekana vile ambavyo anahisi kimaadili si vema housegirl afanye mf. kutandika kitanda, kufua pants e.t.c. atafanya yeye!
mhhh shost kwahiyo wee waona sawa beki tatu afue pants za mumeo awe anafantasize kinachobebwa pale katikati ya pant? mhhhh na kitanda nacho atandike?
 
, teh teh teeeeh
 
Aksante Sipo nadhani wewe umeiweka vizuri zaidi. Labda tuwaulize kina baba
Kuna kina baba wengine hawatimizi majukumu yao mfano mimi ninapoumwa (au watoto) baba ndiye anayetakiwa kutuhudumia either kutupeleka mahospital n.k ila wengine huwa wanaishia kukupa pesa za kwenda hospital then haooo mtaonana jioni (wengine usiku akiwa na mbili tatu kichwani) weye unaachwa na houseboy/ dereva ambaye kama houseboy yeye yu karibu zaidi nyumbani hata sita kukuuliza mama vipi unaendeleaje? - Hata kwa kupitia dirishani ili mradi tu anajali. Sasa je na sisi tufall kwa hao?. Na vitu vingine vingi tu ambavyo nyie mnaviona vidogo but ni vikubwa mf.
- kubadilisha bulb imeungua chumbani kwenu (hapa atafanya mama-apandie meza e.t.c. akishindwa afanye houseboy? kisha?
 
Unajua kuna kitu ambacho tunashindwa kujua ni kuwa hata kama housegirl ingekuwa kazi yake ni kuteka maji na kupika tu basi huyo mwanaume(Mume) akiamua kutembea na huyo binti atatembea naye tu.

Ni kama alivyosema MwanajamiiOne kuwa wengine waliamka na kuwapikia chapati sijui za kumimina lakini bado walitendwa tu. Ninachotaka kusema ni kwamba suala la housegirl kufanya mapenzi na Mume siyo eti kwasababu anadeki mpaka chumbani au anatandika kitanda kwahiyo Mume ameona ufanisi wa housegirl ni mkubwa kuliko wa Mkewe. No, hapana, hii naipinga kabisa bali ni hulka ya mtu binafsi. Na ukiona mwanaume amefanya kitendo hiki halafu akatoa sababu hizo hapo juu atakuwa mwendawazmu na mpumbavu. Hutakiwi kumu-award housegirl mapenzi kwa kuwa anafanya kazi vizuri.

Basi kama ndio hivyo uku maofisini ingekuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi vizuri angekuwa anakuwa awarded mmapenzi bila ya kujali kama huyu ni mwanamke au mwanaume. Mimi naona huu ndio utaahira wa wanaume wenzangu, kwani uko chumbani ni madhabahuni kwahiyo wassingie watu wengie zaidi ya mume na mke?

Mimi nafikiri sababu ya mume kutembea na housegirl iwe ni kuwa amemtamani kama ambavyo anamtamani mwanamke mwingine yeyote. Tuache kuwaonea wake zetu na kuwadhalilisha wake zetu eti kwa kisa housegirl anafanya sana kazi za ndani mpaka chumbani anaingia
Mwe haya mambo akina PG ,Mbu FIde mpo? sio kazi kutuonea tuuuuuu chumbani sio madhabuni babuuuu mmeipata hiyo?
 
mhhh shost kwahiyo wee waona sawa beki tatu afue pants za mumeo awe anafantasize kinachobebwa pale katikati ya pant? mhhhh na kitanda nacho atandike?

Hujanielewa shost nimesema zile kazi ambazo kimaadili hazitakiwi kufanywa na housegirl basi afanye yeye ndo nikatoa mfano wa kutandika kitanda na kufua pants zake shost lol
 
whaaat? hahhahahah haya makubwa kuanzia leo ntaajiri mahouse gal wenye sura za kutisha na maumbo yasioeleweka,

kwan ndo dawa? mimi nilidhan ungesema kuanzia leo umekoma na hautomwachia h/girl atandike kitanda na hata kumwekea mzee maji bafun,
ukimleta mmbaya atapendeza mwishowe utaanza lau ningejua?????????????!!!!!!
 
.......... Naona kasahau ubaya wa sura si ubaya wa ................... mana anaweza kuwa mkali wa mahaba mabembelezo, sauti tu aibanavyo na kuitoa kwa upole dad akavutiwa ajaribu akijidai sura haidhuru mara moja tu sirejei tena kisha loo kutahamaki kafika kwenye linta!
 
Hujanielewa shost nimesema zile kazi ambazo kimaadili hazitakiwi kufanywa na housegirl basi afanye yeye ndo nikatoa mfano wa kutandika kitanda na kufua pants zake shost lol
oooooh hapo sawa mama, ila mhhh miafrika hiiii MJO hawathubutu kazi yao kuuliza tu, mbona boxers hazipo kwenye droo? kutandika kitanda ndo kabisaa hata kama alisoma boarding school anajifanya kama hajui vile
 
kwan ndo dawa? mimi nilidhan ungesema kuanzia leo umekoma na hautomwachia h/girl atandike kitanda na hata kumwekea mzee maji bafun,
ukimleta mmbaya atapendeza mwishowe utaanza lau ningejua?????????????!!!!!!
kumbe sio dawa eee?
 
.......... Naona kasahau ubaya wa sura si ubaya wa ................... mana anaweza kuwa mkali wa mahaba mabembelezo, sauti tu aibanavyo na kuitoa kwa upole dad akavutiwa ajaribu akijidai sura haidhuru mara moja tu sirejei tena kisha loo kutahamaki kafika kwenye linta!
hahahahhahahaha mbaavu sina mummy basi kazi tunayo,
 
...Mimi nafikiri sababu ya mume kutembea na housegirl iwe ni kuwa amemtamani kama ambavyo anamtamani mwanamke mwingine yeyote.

...te hehe :D wewe acha hizo bana, khaaaaaa?!

Tuache kuwaonea wake zetu na kuwadhalilisha wake zetu eti kwa kisa housegirl anafanya sana kazi za ndani mpaka chumbani anaingia

...sasa hapa una ji contradict tena, aargghh! huko kuonewa mywife wangu, au Agika nae anadhalilikaje iwapo anasaidiwa?

hahahahhahahaha mbaavu sina mummy basi kazi tunayo,

...na bado, na ukijitia kuchunga sana mzee asimnyatie 'msaidizi' usiku usiku, hizo wikiendi anazokwenda matembezi ndio wanakutania huko gesti!
 
Back
Top Bottom