WONDERWOMAN
Member
- Jul 21, 2009
- 79
- 15
Jamani ,wengine tulichapa kazi mpaka nguvu zikatuishia ,unaamka alfajir unapika na kumfungia mahanjumat ya kula asubuhi na mchana akiwa akazini,ngou zake zote nafua ,chumbani nasafisha mwenyewe na kunakosita*6 nahakikisha mambo mazuri ,nilichotendwa sitasahau mpaka naingia kaburini hivyo hawa jamaa zetu hata ukiwabeba mgongoni huwa wanapanda na viwembe ,nawaasa wenzang msimalize nguvu zenu zote kwa ajili ya wanaume hawana shukurani hawa tena msije mkaacha shughuli zenu za kiuchumi kwa watu wadhalilishaji wasiothamini utu wa wenzao,kwani mwanamke yeye ndio ameumbwa kwa ajili ya kumtumikia mume!maisha ni kusaidiana tena ukimkuta sio tu na housegirl bali na mwingine yeyote mwambie nyuma geuka mbele tembea shoto kulia ,shoto kulia asisimame na atokomee mojakwa moja🙄