Hivi akina kaka na baba JF mnaichukuliaje hii?

agika

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
381
18
Pale mkeo au mwenzio anapomwachia housegirl kila kazi hata weekend? kutandika kitanda, kukupikia, kukutarayirishia chakula mezani, maji ya kuoga mhhhh.....................ndio uzungu au sie wengine tumepitwa na wakati:confused:?
 
hii haijatulia bana, hata weekend kweli?, au wengine utakuta kaolewa ana mwaka tu hata mimba hana anaweka housegirl, wa nini sasa?
na mahousegirl wa siku hizi wajanja, wana mitego hao!, utashangaa muda mfupi nawaka, anavutia, ana meremeta saluni ameshaijua utamkamatia wapi?, anatandika mpaka kitanda cha bosi, hapo akifanya mapinduzi we mama mwenye nyumba utamlalamikia nani sasa?, mpe maji mumeo, mpikie etc siku za weekend bana, wacha kujisahau!, alaa
 
hahahhahahhahaha GP mbona waniwakia mie jamani? mie mwenyewe nataka kujuzwa je upande wa pili ambao ndio akina baba huwa mnaridhika au ndo mnaamua kuyanyamazia tuuu?
 
Pale mkeo au mwenzio anapomwachia housegirl kila kazi hata weekend? kutandika kitanda, kukupikia, kukutarayirishia chakula mezani, maji ya kuoga mhhhh.....................ndio uzungu au sie wengine tumepitwa na wakati:confused:?

...(dont quote me wrong) binafsi sitojali hasa pale huyo 'msaidizi' akiwa analipa kuanzia usafi, tabia, sura na umbile, nk... :)
 
whaaat? hahhahahah haya makubwa kuanzia leo ntaajiri mahouse gal wenye sura za kutisha na maumbo yasioeleweka,
 
Kama house girl ananifanyia kila kitu basi mke wangu ana haki ya kupoteza namba yake ya kudumu akapokwa na house girl fikiria chakula kizuri,amenyoosha vizuri amepamba nyumba vizuri nimsifie nani?????????kama si house girl what next........kujixpress kiwizi wizi na baby beki 3.
 
...Mungu wangu, yanini kuwatisha watoto bure, unataka wasilale usiku?
 
mhhh fide acha hizo bana si wote tunafanya kazi jamani tunarudi wote tumechoka mwe!!
 
hahahaha mwenzangu bora watoto watishike kuliko baba mtu kupata nyumba ndogo ndani ya nyumba kubwa mhhh
 
mhhh fide acha hizo bana si wote tunafanya kazi jamani tunarudi wote tumechoka mwe!!

Kwani majukumu ya mwanamke ni yapi? We unafikiri kitandani tu!
Kama ndo hivyo umerudi umechoka mruhusu mzee awe anajiexpress na kwa house girl kwa vile wewe umerudi umechoka.
 
hahaha beki tatu zina kila talent basi huwa hatujui. Mimi wangu lazima nimtoe kila weekend akatembelee ndugu zake kazi anakuta nimefanya ajue kuwa naweza siyo kama asipokuwepo basi nimezubaa. Kutandika kitanda na usaifi wa chumba marufuku,nikiona uvivu wa kufanya hayoa nafunga chumba naondoka kabla mume hajarudi nakuwa nimeshafanya kila kitu.

Wanawake mwiko kuwaruhusu beki kutingia vyumbani wanaume siku hizi aibu hawana ikistand tu utakuta kafanya k2 mbaya uanze lawama na HG
 
hahahhahahhahaha GP mbona waniwakia mie jamani? mie mwenyewe nataka kujuzwa je upande wa pili ambao ndio akina baba huwa mnaridhika au ndo mnaamua kuyanyamazia tuuu?

sikuwakii, mi naelezea kwa watu wenye tabia kama hizo, beki tatu akiwa mzuri unabanjuka nae tuu kama kawaida, si anafanya kila kitu ndani?, mama mwenye nyumba anakua mchezaji wa akiba, beki 3 anakamata namba kikosi cha kwanza!
 
...Wanawake mwiko kuwaruhusu beki kutingia vyumbani wanaume siku hizi aibu hawana ikistand tu utakuta kafanya k2 mbaya uanze lawama na HG

...te hehe, kumbe mu waoga hivyo? vipi akiingia chumbani wakati sote wawili tu chumbani pia?...
 
hahaha beki tatu zina kila talent basi huwa hatujui. Mimi wangu lazima nimtoe kila weekend akatembelee ndugu zake kazi anakuta nimefanya ajue kuwa naweza siyo kama asipokuwepo basi nimezubaa. Kutandika kitanda na usaifi wa chumba marufuku,nikiona uvivu wa kufanya hayoa nafunga chumba naondoka kabla mume hajarudi nakuwa nimeshafanya kila kitu.

Wanawake mwiko kuwaruhusu beki kutingia vyumbani wanaume siku hizi aibu hawana ikistand tu utakuta kafanya k2 mbaya uanze lawama na HG
shost hapo nakuunga mikono na miguuu yote? kumtamanisha mwizi dhambi shost maana hujaamwachia house kazi hizo nanga inapaa je ukimwachia? akaina fide, GP na mbu wamepata sababu ya kuvunja amri ya sita na beki tatu
 
kumtamanisha mwizi dhambi shost maana hujaamwachia house kazi hizo nanga inapaa je ukimwachia? akaina fide, GP na mbu wamepata sababu ya kuvunja amri ya sita na beki tatu

UKinitengenezea mazingira ndani ya kumi na 8 sibahatishi napiga vitu lawama ni juu yako wewe unapaswa ujilaumu kwa nini unamruhusu house girl afanye usafi chumbani? mpaka kutandika kitanda duh!!! ndo narudi namkuta wewe bado hujarudi utasubili matokeo tu yaani changes tunamaliza mule mule nakujiexpress juu.
 
Uwwwiiiiiiiiii hivi akina MJO wanajua hili?

......... mh agika hawa bwana hata uwabebe mgongoni akishakuwa tempted na h/girl nothing can make him change his mind! Mara moja moja ni sawa hasa weekend unaruhusiwa ila hawana shukrani wala mapenzi hawa!!

..... wengine tulishawahi kuwa tunaamka saa kumi alfajiri kila siku kumtayarishia supu na chapati (tena za kusukuma) na bado tukatendwa

What am insisting ni kuwa pamoja na kuwa ni majukumu ya mke (yatupasa kuyazingatia) kama mume hana maadili atatoka tu hata umfanye nini.

Mwanamume mwenye upendo wa kweli ataelewa majukumu aliyonayo mkewe (kama anazo sababu maalumu za kutomhudumia) na hata kama kitu kitafanywa na housegirl hatamind kabisa na ikiwezekana vile ambavyo anahisi kimaadili si vema housegirl afanye mf. kutandika kitanda, kufua pants e.t.c. atafanya yeye!
 
Back
Top Bottom