HIV inanitesa

Kweli kabisa,,,tunaanziaga gizani taratibu atajitokeza wazi mpe muda.
 
pole sana dada . sasa kama mtu akitaka kavu kavu ukimwambia kuwa wewe ni mwathirika bado ataendelea kutaka tu???

Kwanza mtu ukimueleza umeathirika anajibu mgonjwa hajinad yaan anadai unadanganya kwanza inatupasa kubadilika ukiambiwa mtu anaumwa umwamini co kuendwkeza ngono tu mungu atusaidie
 
Haa haaa.Poa.But am praying you become a Christian.
 
Haa haaa.Poa.But am praying you become a Christian.

I was a Christian before it was fashionable to be a Christian.

I practically dined with Christ himself.

He couldn't answer my questions.

I couldn't follow him.
 
I was a Christian before it was fashionable to be a Christian.

I practically dined with Christ himself.

He couldn't answer my questions.

I couldn't follow him.
Never say Never.You can be again.Utafika wakati Atajidhihirisha kwako
 
Leo Jioni nakuletea...how about that..!

Hahaha naona unataka kuninyamazisha ili nisahau...nna kumbukumbu hatari hasa za madeni ninayodai...ninayodaiwa at least naweza kusahau
 
akili yako na ipanuke. Yeye ameeleza vizuri sana kuhusu kuanzisha network ya watu walio na hiv hapa jf ili wajue pakuanzia. Kumbuka nguvu inaunda hoja. Usikurupe kutoa hoja zisizo na mashiko mbele ya hadhira.
 
Kinachomshinda kuanzisha network kwenye jamii yake ni nini? ajue pa kuanzia? kwani aliishia wapi? kama anataka kufanya hivyo kwa lengo la kuelimisha jamii nimesema aanzie nyumbani kwake, aende kwa majirani hadi kwa marafiki, aanzie hapo ndio ifuate JF.
 
Cousin... Ngoja nimsaidie kuweka kifungu kabisaaa....

Warumi 10.9 "Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka"
 
asante cousin umenisaidia sana hapo

be blessed
Cousin... Ngoja nimsaidie kuweka kifungu kabisaaa....

Warumi 10.9 "Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka"
 
Cousin... Ngoja nimsaidie kuweka kifungu kabisaaa....

Warumi 10.9 "Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka"

Kuokoka sio tiketi ya kupona HIV/AIDS.
 
Du!pole cn ila do u regreat kwa kuwa na Ukimwi...4sure siwezi kukutenga....yaani natamanigi niwape hao watu company cn ila pole dada.
 
Usijali. Ni hali ya kawaida. Usiache kuchek CD-4. Ishi maisha safi. Epuka msongo. Epuka safari ndefu. Kula vyakula vyenye mafungu matano ya vyakula. Fanya mazoezi. HIV+ SI MWISHO WA MAISHA.
 
pole sana dada angu na nakupongea kwa hilo la kujitokeza pia nakukumbusha kuathirika sio mwisho wa maisha mimi NINA ndugu wa mama yangu kaupata 1990 na ukimuna huwezi kuamini chamsingi epuka kufanya sex bila kinga
na ukiwa na stress tumia alovera plus basi maisha yatakuwa swaaano
 
Kweli watu mnajua kujipigia promo
Aloevera plus inatoa stress duh,au unataka Kuuza dawa mkuu uclear stock yako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…