Historia ya neno Msela na Baharia

Marufuku baharia kudeki chumba
Marufuku baharia kuvaa boksa moja mara moja baharia unatakiwa boksa moja uvae wiki 1 hadi 2
Marufuku baharia kujipaka mafuta,kujipuliza spray/perfume
Marufuku baharia kudeti na demu bila kumnyonya kwenye KINYEO
 
1.Marufuku baharia kuvaa shati la kitenge la kora ndogo afu unamechisha na la manzi yako.
2.baharia kila kitu cha ndani kwako ni wewe tu unajua jinsi ya kutumia yani hadi mlango unamwambia mgeni "acha nitakuja kuufunga mwenyewe"
3.baharia ukiingia kwenye daladala unasimama goms hadi tegeta
4.baharia hutumii umeme unawasha kibatari
5.baharia husikilizi nyimbo za kina kiba na wbc unasikiliza rege tu
 
Baharia ndo nani?
tapatalk_1566978786825.jpeg

Fika kwenye Ofisi zetu utapewa ufafanuzi
 
Ni marufuku baharia kulala uchi. Baharia unatakiwa ulale na nguo zisizopungua 13.
Ni marufuku Bavaria kuangalia tamfilia.
Ni marufuku baharia kutandika kitanda.
Ni marufuku baharia kula chipsi au kunywa Pepsi.
Ni marufuku baharia kushabikia Yanga au Arsenal.
Ni marufuku baharia kupayuka payuka ovyo.
Ni marufuku baharia KUHONGA bila kuwa na malengo.
Ni marufuku baharia kumwandikia demu maseji na kuanza na neno "samahani" au "sorry" huu ni udhaifu mkubwa.
Ni marufuku baharia kutumia neno "mambo" au kuitikia "poa"

Ni marufuku baharia daah....'
 
Back
Top Bottom