Historia ya neno Msela na Baharia

Ubaharia ni fani sio utani

Once a baharia always a baharia
Screenshot_20190913-104343~2.jpeg
 
mimi kama mwenyekiti wa mabaharia simtambui huyu anayejiita katibu wa mabaharia,anachafua sana sifa ya mabaharia kwenye vyombo vya habari, mabaharia wenzangu mumpuuze,anadiriki kusema paul bashite ni baharia,bashite sio baharia, baharia hafoji vyeti
Screenshot_20190913-104301~2.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kuna taarifa zinasema bashite ni baharia,makonda sio baharia, baharia kamwe huwa hana skendo za ushoga
 
Baharia wa kweli ni mtafutaji,baharia anaoa akiwa ana miaka 45 kwenda juu, baharia lazima awe ana wanawake wengi kama manabii na mitume wa zamani, baharia haoi single mother, baharia anapiga bao nne kwenda juu, baharia ni mwanaume aliyekamilika hapaki make up wala havai nguo za kubana kama wanawake, baharia hasikilizi nyimbo za mapenzi bongo flava au taarabu, baharia sio ben ten, baharia hamtegemei mwana mke amhudumie,baharia hali chips mayai

watu wamekuwa wakipotosha tafsiri sahihi ya baharia, mabaharia wote tuungane kupinga upotoshwaji huuView attachment 1204797
Upuuzi unapopewa promo unafanya hata watu makini kuonekana hamnazo..
 
Utoto umekutuma kudhani hizo ndo sifa z baharia,
Kifupi ulichosema ni ubaharia mavi,
Baharia wa kweli ni mtafutaji,baharia anaoa akiwa ana miaka 45 kwenda juu, baharia lazima awe ana wanawake wengi kama manabii na mitume wa zamani, baharia haoi single mother, baharia anapiga bao nne kwenda juu, baharia ni mwanaume aliyekamilika hapaki make up wala havai nguo za kubana kama wanawake, baharia hasikilizi nyimbo za mapenzi bongo flava au taarabu, baharia sio ben ten, baharia hamtegemei mwana mke amhudumie,baharia hali chips mayai

watu wamekuwa wakipotosha tafsiri sahihi ya baharia, mabaharia wote tuungane kupinga upotoshwaji huuView attachment 1204797
 
Mziki wa singeli umechukua nafasi.Maneno hayo yamedumu miaka nenda rudi kwenye mnanda had I sasa singeli ila nyie wengine mliona maneno ya wahalifu tu.sasa Leo imekuwa eri habari ya mjini.
 
Back
Top Bottom