Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Marufuku baharia kwenda kuoga na taulo....unaenda na nguo zako bafuni ukimaliza kuoga unajitikisa km beberu unavaaa....ni marufuku baharia kwenda chooni na kopo lamaji unaendana ngunzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Ni marufuku baharia kulala na dem na kesho yake akaamka na nguvu piga kazi usiku mpaka kuamka iwe kwa shida..
 
Hapo kwa Arsenal umezingua
Ni marufuku baharia kulala uchi. Baharia unatakiwa ulale na nguo zisizopungua 13.
Ni marufuku Bavaria kuangalia tamfilia.
Ni marufuku baharia kutandika kitanda.
Ni marufuku baharia kula chipsi au kunywa Pepsi.
Ni marufuku baharia kushabikia Yanga au Arsenal.
Ni marufuku baharia kupayuka payuka ovyo.
Ni marufuku baharia KUHONGA bila kuwa na malengo.
Ni marufuku baharia kumwandikia demu maseji na kuanza na neno "samahani" au "sorry" huu ni udhaifu mkubwa.
Ni marufuku baharia kutumia neno "mambo" au kuitikia "poa"

Ni marufuku baharia daah....'
 
76EE8809-BEB1-4D6B-AC17-2E8DC3A6B9AD.jpeg


Ofisi zetu zipo floor ya mwisho na baharia haruhusiwi kupanda ngazi au lift

Usiniulize utafikaje
 
kAMA UBAHARIA NDIO UKO HIVYO BASI MIMI NAJITOA AISEEE

Hivi kama uko hivyo baharia siku umeoa mkeo anaumwa ama ni mjamzito mtaishi kweli?

ubaharia huu wakingese kinoma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom