Tatizo ni fast learner, unaelewa mapema sana, ndio maana unashangaa watu hawajaelewa nini,Huelewiii nini eti
😂😂😂 back to my point. Sijaona Uzi wa mtoa mada ndio maana sielewi hata nachangia nini.Oohhh
Labda wanawake wa jamii inayomzunguka hawapitii hiyo changamoto, Depal umesema kwenu hamna mma, nani anayezunguka na madumu huko mtaani kutafuta maji kama sio mwanamke?!
Huo ni mfano tuu ili uelewe mada!
Na demu anaipokea kwa moyo mkunjufu
Kikawaida mimi huwa sibebwi na mawimbi ya vimisemo vya ajabu ajabu vya msimu...huwezi nikuta natumia hii misemo kwenye mdomo wangu..
Sijui....KAMA LOTE....WATAPATA TABU SANA...etc
Na sasa naona kila mahalî BAHARIA...
YaaaaaaahKwahiyo inabidi nimpelekee moto mpaka asahau jina lake?
Daaaaa hiyo inaitwa lubricant
Kanisani ndo kuna ufunuo was mambo haya...usifanye watu wakashinda makanisani ili wafunuliwe umbea.Hujaenda kanisani ndo maana
Hatariii sn si mchezo
Screen shot haiko na tatizo Dada.Hilo tatizo ndo ameliweka kwenye screen shot
Siungi mkono hoja
Inatumiwa na wazeee wa kuchomoa betri
Dogo Soma vizuri nilichoandika..Vipi mbona kama umeyasema sasa mkuu??
Dogo Soma vizuri nilichoandika..
Haha'..😂😂 kumbe ni umejikaza ila kiufupi ni hujaelewa chochote hapa.
Basi na Mimi ngoja nijikaze