Mpeni ugavanaHuyo kashavuka juu ya viwango vya ubaharia!
7800 itapendezaBaharia ni yule anayemuachia demu nauli ya Dsm to Mwanza 7800/=
Baharia huwa hatumi hela ya kutoleaBaharia hachagui mwanamke..
Mnakwama wapi eti
Weka habari kamili uanachama wa nini mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baharia hachagui mwanamke..
Mnakwama wapi eti
Naomba usiwe hivyoHuu wizi sasa
Hahha mimi sio bahariaNaomba usiwe hivyo
UbahariaWeka habari kamili uanachama wa nini mkuu?
[emoji23] [emoji23]Ubaharia