mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
Sakayo huelewa kila kitu hata ukiwaza moyoni anaelewaUkweli wa aje huo?
Sakayo huelewa kila kitu hata ukiwaza moyoni anaelewaUkweli wa aje huo?
Kwa nini eti jamaniNo h2o
Jamani jamanii
JamaniEwaaaah..!!
Sawa sawa mumie anatuachaje na kiu jangwani???
Mdada ukiona unapigiwa simu na wanaume usiowajua. Jua baharia kadhagawa namba yako kwa baharia wenzake. Baharia hana cha kupoteza..
Daaaa hapo baharia mwenzangu nakumanya kinoma aiseee, yaani ukishamteka uncle, basi kwa mama ushamaliza, kila saa utakuwa unatafutwa kuambiwa kuwa uncle anakuulizia au anakusalimia lkn kumbe ilhali na yeye ushamuingia akilini, ukitekenya tu basi lazima atavua, unachomoa betri tu baharia!Single maza wengi huwa ukimpenda mtoto wake na uncle nae ukifanikiwa kumteka akiwa anakuulizia kwa mama jua japo umebaki wewe kuchomoa betri tu Lori limeshadondoka ....kitambooo
tupe mkasa huoDaaaa hapo baharia mwenzangu nakumanya kinoma aiseee, yaani ukishamteka uncle, basi kwa mama ushamaliza, kila saa utakuwa unatafutwa kuambiwa kuwa uncle anakuulizia au anakusalimia lkn kumbe ilhali na yeye ushamuingia akilini, ukitekenya tu basi lazima atavua, unachomoa betri tu baharia!
Hii nina uzoefu nayo kwa mwaka wa saba sasa!