Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Kwa wale mabaharia na wasio mabaharia hizi ndizo sheria 10 toleo jipya, twende sawa:

1 Kutunziana siri

2 Kuoneana Huruma

3 Kuwa na roho ngumu(kuwa deadlyman)

4 Kusaka Majimbo mapya

5 Uchoyo ni mwiko

6 Kujitoa wakati mwenzako kakwama

7 Kubebeana mzigo

8 Kuwa na Kifua kizito

9 Kuwa na koromeo

10 Nitatunza siri kwa niaba ya Mabaharia wote​

Natumai sauti iko mwake[emoji350][emoji344]


IMG-20190907-WA0075.jpeg
 
Dahhh.....
Huyu kijana anaitwa James, na nimwanafunzi wa chuo flani kikubwa tu hapa nchini, sasa kwakuwa humu tunatia fake ID's basi yawezekana wewe ndie James na umeamua kuiweka namba yako hadharani ili kuitangaza biashara yako.

Anyway, Mungu awajaalie wanangu na vizazi vyao wasije wakajiingiza kwenye ufirauni huu wallah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mabaharia hamuendi mbinguni, pamoja na wingi wa hawa viumbe lakini bado mnaamua kutafuna hadi sikio baada jicho, tena kwa msaada wa KY....
 
Back
Top Bottom