Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,040
- 1,273
Nami nina kitambi flani cha kurithi,niliingia Bar flani...mademu kama wote wanajipendekeza,mfukoni nina elfu kumi na mbili tu,nia yangu niagize msosi hata wa elfu mbili then nisepe,maana hali yangu naijua mwenyewe,naingia tu,kila mtu ananiita Boss,nikasema nyie kenge mngejua shida zangu mngenikimbia...