Historia ya Majini

Historia ya Majini

Ki mamlaka ya Utawala baada ya Mungu Mwenyezi anafuata Binadamu:
Halafu anafuata Malaika:
Ila Wanadamu wengi wanashindwa kutumia mamlaka Yao (kwa kukosa Elimu sahihi) mpaka wanaamrishwa na Vinyamkera, Majini, Mizimu na vitakataka vingine
Mzee upo sahihi kabisa ,wengi hili hawajui, Malaika kazi Yao ni kututumikia Sisi ,Sisi ni level ya juu kuliko wao

Mwanadamu alipoasi ,Mungu alituma mwanae ,Malaika walipoasi walipotea

Kuna Aya biblia bhana ,ilibidi watafsiri waogope maana inaonesha Baada ya Mungu anafata mwanadamu ,ila wao akili zao wanahisi anafata Malaika😂

Angalia hapa kitabu cha waebrania 2:6-7 ,Waandishi wakaogopa kuweka neno Mungu wanatumia neno MALAIKA, sasa Rudi kwenye Aya yenyewe inatoka kitabu cha Zaburi inavyosema

Waebrania 2
6 Mwanadamu ni nini hata umkumbuke, Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie?

7 Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji ya utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;

Kwenye Zaburi inasema 👇

Zaburi 8
4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?

5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;

6 Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.

7 Kondoo, na ng'ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;

8 Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini.

Ukisoma Utagundua Malaika ni watumishi ambao tunatakiwa kuwaamlisha ,Sisi tumepewa nguvu ambayo hatujui kuitumia

Kwahiyo upo sahihi na hiki kitu Shetani hataki binadamu ajue mamlaka yake

Baada ya MUNGU ANAFATA MWANADAMU KISHA MALAIKA

nakupa na hii ,Unajua baaada ya kwenda mbinguni ,tutarudi kukaa hapa duniani sababu Kule mbinguni hapawezi kuwepo watawala wawili?

Hii dunia ikishapigwa moto ,Yesu anasema naumba mbingu mpya na Dunia mpya ,

Tutarudi hapa
 
Majini yamekuwa waislam kwasababu ya mtume.

Mtume anawaamini mitume iliyopita kwa hoja ya tawhidi.

Je . Huko nyuma majini nao walikuwa wana waamini ile mitume mingne kwa sababu ya tawhidi?.

Kila binadamu amezaliwa muislam. Na je majini nao kila jini akizaliwa ni Muislam?.
 
Sasa mbona waislamu wa kibinaadamu wote sio wachamungu inakuaje majini ili wawe wazuri ni lazima wawe wachamungu?
Aliyekwambia Waisilamu si wacha Mungu nani? Unaswali swala tano unafunga unatoa zaka unahiji makka kama unauwezo hautendi dhambi kama Mungu alivyokutaza hiyo tu ni neema
Maani dini zingine tayali zinamshirikisha Mwenyezi Mungu kwa kumuita ana mtoto hata mtu akitenda mema hamsaidii kitu tayali ameshakufuru,maana mafundisho ya Mitume wote waliotanguliya ilikuwa ni kumpwekesha Mwenye Mungu hana mshirika hakuzaa wala kuzaliwa
 
Uongo labda yawe yale ya kuundwa macheketu ,

Hujui lolote kuhusu majini unaongepea watu tu hapa na unayo yaongea yote umemezeshwa kupitia Imani Yako uliyo nayo ya uislam ila kiuhalisia majini they're so powerful more than ulivyo karilishwa narudia Tena kukuambia Majini/mizimu sio kitu Cha mchezo mchezo na hakuna jini mzuri wote ni changamoto
Hata tukikupa ushahidi huwezi kuamini
 
Majini ndio wenye dini

Hata huyo malaika wanayesema sijui jibril kamfuata mtume na kumtaka awe mtume , Hiyo imefichwa tu sio kweli ,

The so called mitume yote duniani wanafuatwa na mizimu Yao ya ukoo ya Taifa au nchi na kuwashurutisha wakubali kuwa ma- prophecy , ila Sasa hawezi kusema kwamba wanafuatwa na mizimu/ Majini , so wakija mbele ya jamii wana rahisha lugha ili wapate kusikilizwa na watu na kuaminika ndio wanatumia jina la mungu
Usiwadanganye watu majini waliposikia Quruani na kufwata mafundisho ya Mtume muhammadi ndipo wakamrudia Mwenyezi Mungu huko nyuma hakuwa hivyo
 
Mzee upo sahihi kabisa ,wengi hili hawajui, Malaika kazi Yao ni kututumikia Sisi ,Sisi ni level ya juu kuliko wao

Mwanadamu alipoasi ,Mungu alituma mwanae ,Malaika walipoasi walipotea

Kuna Aya biblia bhana ,ilibidi watafsiri waogope maana inaonesha Baada ya Mungu anafata mwanadamu ,ila wao akili zao wanahisi anafata Malaika😂

Angalia hapa kitabu cha waebrania 2:6-7 ,Waandishi wakaogopa kuweka neno Mungu wanatumia neno MALAIKA, sasa Rudi kwenye Aya yenyewe inatoka kitabu cha Zaburi inavyosema

Waebrania 2
6 Mwanadamu ni nini hata umkumbuke, Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie?

7 Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji ya utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;

Kwenye Zaburi inasema 👇

Zaburi 8
4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?

5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;

6 Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.

7 Kondoo, na ng'ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;

8 Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini.

Ukisoma Utagundua Malaika ni watumishi ambao tunatakiwa kuwaamlisha ,Sisi tumepewa nguvu ambayo hatujui kuitumia

Kwahiyo upo sahihi na hiki kitu Shetani hataki binadamu ajue mamlaka yake

Baada ya MUNGU ANAFATA MWANADAMU KISHA MALAIKA

nakupa na hii ,Unajua baaada ya kwenda mbinguni ,tutarudi kukaa hapa duniani sababu Kule mbinguni hapawezi kuwepo watawala wawili?

Hii dunia ikishapigwa moto ,Yesu anasema naumba mbingu mpya na Dunia mpya ,

Tutarudi hapa
Ukishasema mtoto wa Mungu unaharibu kila kitu
 
Sio Mimi ni maandiko

Waebrania 1
5 Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?

6 Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu malaika wote wa Mungu.

8 Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.

9 Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
 
Mzee upo sahihi kabisa ,wengi hili hawajui, Malaika kazi Yao ni kututumikia Sisi ,Sisi ni level ya juu kuliko wao

Mwanadamu alipoasi ,Mungu alituma mwanae ,Malaika walipoasi walipotea

Kuna Aya biblia bhana ,ilibidi watafsiri waogope maana inaonesha Baada ya Mungu anafata mwanadamu ,ila wao akili zao wanahisi anafata Malaika😂

Angalia hapa kitabu cha waebrania 2:6-7 ,Waandishi wakaogopa kuweka neno Mungu wanatumia neno MALAIKA, sasa Rudi kwenye Aya yenyewe inatoka kitabu cha Zaburi inavyosema

Waebrania 2
6 Mwanadamu ni nini hata umkumbuke, Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie?

7 Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji ya utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;

Kwenye Zaburi inasema 👇

Zaburi 8
4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?

5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;

6 Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.

7 Kondoo, na ng'ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;

8 Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini.

Ukisoma Utagundua Malaika ni watumishi ambao tunatakiwa kuwaamlisha ,Sisi tumepewa nguvu ambayo hatujui kuitumia

Kwahiyo upo sahihi na hiki kitu Shetani hataki binadamu ajue mamlaka yake

Baada ya MUNGU ANAFATA MWANADAMU KISHA MALAIKA

nakupa na hii ,Unajua baaada ya kwenda mbinguni ,tutarudi kukaa hapa duniani sababu Kule mbinguni hapawezi kuwepo watawala wawili?

Hii dunia ikishapigwa moto ,Yesu anasema naumba mbingu mpya na Dunia mpya ,

Tutarudi hapa
Sahihi kabisa
 
Usiwadanganye watu majini waliposikia Quruani na kufwata mafundisho ya Mtume muhammadi ndipo wakamrudia Mwenyezi Mungu huko nyuma hakuwa hivyo
Unataka kusema Majini toka yaumbwe yalisubiri Hadi Muhamadi azaliwe ndio ayasilimishe?
Majini yalikuwa Maislamu kabla ya Muhahamadi:
 
Unataka kuniingiza kwenye mtego wa kubishana kuhusu Mungu.
Kwa sababu ya kuheshimu imani za watu, huwa ninakwepa mitego kama yako.
Bado hujanijibu swali langu.

Majibu hapo ni mawili tu , 1)Ndio unaamini Mungu yupo 2)Hapana ,Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom