Historia ya Majini

Historia ya Majini

Ninamaanisha vibaya mbo. Nimechoma misgumaa na ubani usiku wa manane nawaita hawaji. Choma saana udi mpaka nikaambulia mafua makali lakini kweupe.. Nisaidieni jamani ndugu yenu nipate jini zurii la kike,
Vigezo..
Liwe jeupe
Jembamba
Refu kidogo
Lenye nywele ndefu
Liwe na asili ya kiratini
Lisiwe na nyash kubwa sana.

Yeyote atakaeliona hili jini anicheki. Donge nobo la pesa litatilewa.
Nenda kwa wapemba wanafuga majini na wanauwezo wa kuyaita
 
First of all ili kumshinda Ina depends na power yake na kama hatokei katika chimbuko la ukoo it's easy to defeat him / her kinyumr na hapo utaula wa chuya
Hapo kwenye ku depend na power yake si ndio kwamba kuna wengine power zao ndogo ni rahisi ku deal nao.
 
Kwahiyo unataka kusema viongozi wakuu w dini wana elimu kubwa ya kuhusu hawa majini?
Saana meditation zote zinahusika na kuvuta majini ili yakutumikie kuanzia kuvuta rozali mpaka tasbih
 
Hapo kwenye ku depend na power yake si ndio kwamba kuna wengine power zao ndogo ni rahisi ku deal nao.
Huyo Sasa amekukumba tu hakuwa na lengo na wewe la kudumu

Umeshawahi kukutana na mtu ambaye majini / mizimu ya kwao inamtaka Awe chief wa ukoo wao !?

Umeshawahi kukutana na Hilo balaa tuanzie hapo kwanza
 
Huwezi kupambana na jini Mzee trust me

Maybe awe anatoka Out of bloodlines na ukitokea ukafanikiwa kumshinda lazima akuachie balaa zito

Mfano kukosa uzazi , kuwa fukara , maskini wa kutupa , kukosa kazi ilhali una potential maradhi , and maradhi mpaka kifo kutoishi na mume au mke yaani hukai na wanawake au kama ni ke hukai na wanaume Kila wakati unaachika au huolewi kabisa

Ni rahisi kumshinda jini yule ambaye imetokea ametamani tu kukutawala bila ya kuwa na connection yoyote ile na wewe yaki- genetics , so hao wa hivyo Huwa hawasumbui sana , ila akisja kuwa anatokea kwenye ukoo hapo shughuli unayo ukishindana nae basi jiandae kuwa fukara wa kutupwa au kufikwa na mikosi yote mizito na mambo yenye mfano na hayo
Duhh hili nalo jipya kwangu mzee!
 
Kwahiyo majini nao Wana dini
Majini ndio wenye dini

Hata huyo malaika wanayesema sijui jibril kamfuata mtume na kumtaka awe mtume , Hiyo imefichwa tu sio kweli ,

The so called mitume yote duniani wanafuatwa na mizimu Yao ya ukoo ya Taifa au nchi na kuwashurutisha wakubali kuwa ma- prophecy , ila Sasa hawezi kusema kwamba wanafuatwa na mizimu/ Majini , so wakija mbele ya jamii wana rahisha lugha ili wapate kusikilizwa na watu na kuaminika ndio wanatumia jina la mungu
 
Huwezi kupambana na jini Mzee trust me

Maybe awe anatoka Out of bloodlines na ukitokea ukafanikiwa kumshinda lazima akuachie balaa zito

Mfano kukosa uzazi , kuwa fukara , maskini wa kutupa , kukosa kazi ilhali una potential maradhi , and maradhi mpaka kifo kutoishi na mume au mke yaani hukai na wanawake au kama ni ke hukai na wanaume Kila wakati unaachika au huolewi kabisa

Ni rahisi kumshinda jini yule ambaye imetokea ametamani tu kukutawala bila ya kuwa na connection yoyote ile na wewe yaki- genetics , so hao wa hivyo Huwa hawasumbui sana , ila akisja kuwa anatokea kwenye ukoo hapo shughuli unayo ukishindana nae basi jiandae kuwa fukara wa kutupwa au kufikwa na mikosi yote mizito na mambo yenye mfano na hayo
Mkuu hapo unakusudia mizimu? Kama ni hivyo basi ipo mizimu yenye kusumbua ambayo inaweza kudhibitiwa.
 
It was reported that bones are food for the jinn. Among the Ahaadeeth that are reported in this regard is the Hadeeth reported by Muslim that the jinn asked the Prophet for food and the Prophet replied:

You will have every bone on which the name of Allaah has been mentioned; when it falls into your hands, it will be covered with flesh. And the dung (of the camels) is fodder for your animals.” Then the Prophet said (to his Companions): “Do not use them (bones and dung) to clean yourselves after relieving yourselves, for they are the food of your brothers (jinn).” [Muslim]

Majini hula Mifupa na vinyesi vya wanyama vyetu ni vyakula vya wanyama wao. Ulimwengu wao ni tofauti na ulimwengu wetu...Unapokula nyama na kisha kubakisha mifupa na kuitupa ile mifupa Mungu huivika tena nyama na kuwa chakula cha majini.

Hivyo haifai kujisafisha kwa kutumia mifupa baada ya kutoka haja maana unakinajisi chakula cha majini.

Pia mashetani (majini waovu) hula chakula ambacho mtu hajatamka jina la Mungu kabla ya kuanza kula.
Dah ila waarabu

Walituweza min -me
 
Duhh anateseka sana na alikuwa binti wa form 2 anatupiwa kisa nini sasa
Huyo Wala hajatupiwa Wala Nini !? Huyo ana sumbuliwa na hiyo genetics yake yatakuwa yanamtaka awatumikie

Ila watu wengi haya mambo hawajui 😁😄
 
Kwahiyo baadaye ndio wengine wakaacha uislamu na kuwa mizimu?
Ukiuwacha Uislamu kwa sharia za Kiislamu unatakiwa uuliwe:
Yaani Waislamu wakuuwe:
Ndio maana Kuna watu katika nchi za Kiislamu wanakuwa Waislamu kwa lazima au kwa hofu ya kuuliwa tu:
La sivyo wangekuwa wasioamini Dini (Atheist) au wa Dini nyingine kama uhindu, ubudha, urastafarian nk.
 
Huyo Wala hajatupiwa Wala Nini !? Huyo ana sumbuliwa na hiyo genetics yake yatakuwa yanamtaka awatumikie

Ila watu wengi haya mambo hawajui 😁😄
Kama mimi ndio sijui kabisaa, hebu nielezee ayatumikie kufanya nini? Naona wamemzungusha kila kona ya Tz ila hajasaidika yupo tu hajielewi kwakweli
 
Saana meditation zote zinahusika na kuvuta majini ili yakutumikie kuanzia kuvuta rozali mpaka tasbih
Ila mfano kwenye uislamu wenye kujua mambo yenye kuhusu majini sio katika masheikh wakubwa waliyosoma sana elimu ya dini na viongozi wa dini, wenye kujua elimu za majini wengi ndio hawa wanaitwa waganga na huwa hawana sana elimu ya dini huwa wanasema elimu ya dini na tiba ni tofauti.

Na kuhusu meditation mbona imefanyiwa hadi tafiti za kisayansi na kuonekana ina faida zake kiafya, hivyo si kwamba ufanyaje wa meditation kiujumla hauna maana ya kujihusisha na majini bali inategemea na wewe unaitumiaje tu mwenyewe hiyo meditation?
 
Kama mimi ndio sijui kabisaa, hebu nielezee ayatumikie kufanya nini? Naona wamemzungusha kila kona ya Tz ila hajasaidika yupo tu hajielewi kwakweli
Nimekwambia hawezi kupona huyo ,

Huwezi kushindana na hiyo power ataishia kutupwa Hela tu

So nimpaka watulizwe
 
Ila mfano kwenye uislamu wenye kujua mambo yenye kuhusu majini sio katika masheikh wakubwa waliyosoma sana elimu ya dini na viongozi wa dini, wenye kujua elimu za majini wengi ndio hawa wanaitwa waganga na huwa hawana sana elimu ya dini huwa wanasema elimu ya dini na tiba ni tofauti.

Na kuhusu meditation mbona imefanyiwa hadi tafiti za kisayansi na kuonekana ina faida zake kiafya, hivyo si kwamba ufanyaje wa meditation kiujumla hauna maana ya kujihusisha na majini bali inategemea na wewe unaitumiaje tu mwenyewe hiyo meditation?
Meditation it depends na meditation ipi

Lakini hizi zilizopo katika dini zote zipo connected na ulimwengu wa kiroho na zinafungua mlango wa majini kuweza kuwa karibu na binaadamu

Yes Kwa waislam wana elimu ya Majini kwasababu uislam the way ulivyo umeweka open sana hayo mambo tofauti na cristianism wao wame yaficha sana , And of course majini ni kitu hatari so hakipaswi kuwa open Kwa Kila mtu
 
Back
Top Bottom