MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 1,420
- 1,953
mfanoMasharti yapo ,ukiyazingatia utakuwa mtu mkubwa sana kinyume na hapo jiandae kuishi kwa tabu
mfanoMasharti yapo ,ukiyazingatia utakuwa mtu mkubwa sana kinyume na hapo jiandae kuishi kwa tabu
majini au vibwengoWatu hujiuliza wana uhusiano na Waisilamu,Waisilamu Wanafuga Majini?
Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu wameumbwa miaka 2000 iliyopita kabla ya kuumbwa mwanadamu,wao wanatuona sisi hatuwaoni,Jini ameumbwa kutokana na moto binadamu ameumbwa kutokana na mchanga na maraika wameubwa kutokana na nuru na kuna tofauti kati ya jini na shetani,jini akiwa mbaya anaitwa shetani
Majini huka wapi?majini wanapenda kuishi sehemu tulivu ambazo hawakai watu,vilevile wanapenda kukaa katika misitu mikubwa na majabali,vilevile wanaweza kukaa pamoja na watu majumbani mwao. Wengine wanapendelea kukaa chooni, lakini hawakai chooni wale majini waisilamu bali ni wale makafiri wachafu ambao wanapenda vitu najisi vichafuvichafu. Ndiyo maana kwa Waisilamu kuna dua huwa inafundishwa ambayo unapoingia chooni inabidi uisome ili usipatwe na jini, na sehemu za baharini majini wanapendelea sana kuishi
Na kuna aina tatu ya majini aina ya kwanza majini wenye mabawa na wanaweze kuruka,
aina ya pili ni wale ambao unaweza kuona joka au ng'e,. Aina ya tatu ni wale ambao wana hamahama kwenda maumbile mengine na majini nao wana sheria ambazo zinawabana kama binadamu. Mfano wanapaswa kumtii Mungu na kuswali. Wanapaswa kumtii mtume kama vile binadamu tunavyofanya, kwenda Makka kama sisi tunavyofanya, kama vile Muisilamu inavyobidi kufanya na majini nao inabidi kufanya hivyo
Majini wanawagopa sana binadamu tofauti na binadamu wanavyowagopa, na ukiwaogopa unawapa kichwa, na ndiyo maana katika Uisilamu kuna dua za kujikinga na majini, na wana tabia kama unavyoziona za wanadamu. Kuna majini wacha Mungu, wezi, malaya mashoga, na hata washirikina. Yaani kila tabia uliyonayo mwanadamu basi na majini wanayo
Nachomaanisha ni kwamba sio waislamu wote ni wachamungu, wapo waislamu na hakuna shaka kuhusu uislamu wao lakini hawana hilo daraja la uchamungu na hiyo haiwafanyi kuwa sio waislamu au waovu. Sasa tofauti naiona kwa majini kwamba ili wawe wema au majini wazuri basi lazima lazima wawe na daraja la ucha Mungu.Aliyekwambia Waisilamu si wacha Mungu nani? Unaswali swala tano unafunga unatoa zaka unahiji makka kama unauwezo hautendi dhambi kama Mungu alivyokutaza hiyo tu ni neema
Maani dini zingine tayali zinamshirikisha Mwenyezi Mungu kwa kumuita ana mtoto hata mtu akitenda mema hamsaidii kitu tayali ameshakufuru,maana mafundisho ya Mitume wote waliotanguliya ilikuwa ni kumpwekesha Mwenye Mungu hana mshirika hakuzaa wala kuzaliwa
Kwahiyo unataka kusema yaliyoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu majini ndio imetosha kuwafanya masheikh kuwa wanawajua majini kwamba wana elimu ya majini?Ndiyo inayowafanya wasiwaogope majini,tofauti ma wewe usiyekuwa na elimu
Sasa mizimu ile inahusiana vp na dini? Maana unasema majini wote waislamu wakati kuna hiyo mizimu na haifuati dini.Mizimu ni Majini yanayo uchukua Ukoo Fulani ili waabudiwe na huo Ukoo:
Utasikia Mizimu ya Ukoo Fulani:
Ni Majini hayo hayo
Hayo mambo yanahitaji muongozo.Hata pa kujua hapajapatikana tu kwaio ni kama haijapiga hatua yoyote ile
Mnasema Kuna Majini yanayo Mwabudu Allah na yaliyokengeuka:Sasa mizimu ile inahusiana vp na dini? Maana unasema majini wote waislamu wakati kuna hiyo mizimu na haifuati dini.
Umeandika ugoro gani huu?Kwasababu uislam unatumia culture ya Majini Kwa ukaribu zaidi kuliko ukristo
But dini zote duniani ni zao la majini na mizimu
Nitakueleza kwa mfano, kabla ya kushuka Quruani watu walikuwa wanawaogopa majini wakifika sehemu zenye viashiria vya majini wanawaomba majini wawalinde badala ya Mungu,lakini baada ya kushuka Quruani ikaja na maelekezo jinsi ya kujilinda na majiniKwahiyo unataka kusema yaliyoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu majini ndio imetosha kuwafanya masheikh kuwa wanawajua majini kwamba wana elimu ya majini?
Ulisema mizimu hutaka kuabudiwa na ukoo fulani sasa iweje useme tena hiyo hiyo mizimu ina Mungu wao na inamuabudu? Nachojua ukishasema hii ni mizimu fulani basi kila kitu chao ni sawa ndio maana wenye kutambikia wanajua kuwa mizimu hii taratibu ni hizi sasa ikiwa kuna mizimu humo inatofautiana imani hiyo itakuaje sasa?Mnasema Kuna Majini yanayo Mwabudu Allah na yaliyokengeuka:
Kwani uliambiwa Mizimu haimwabudu Mungu wao
Ipo Mizimu miislamu na isiyo miislamu kwakuwa ni jamii ya Majini hayo hayo
Mkuu kila jamii utakuta wana elimu yao jinsi ya kujilinda na hayo mambo, suala la watu kuomba majini halihusiani na uwoga na ndio maana hadi sasa watu huwatumia majini kwa mambo mbalimbali nadhani unamsikiaga Dr Sule.Nitakueleza kwa mfano, kabla ya kushuka Quruani watu walikuwa wanawaogopa majini wakifika sehemu zenye viashiria vya majini wanawaomba majini wawalinde badala ya Mungu,lakini baada ya kushuka Quruani ikaja na maelekezo jinsi ya kujilinda na majini
Unajua hii dunia ni ndogo sana yaani katika 1ya 10 binadamu tunachokijua ni tatu tu na kati yetu hata 1 haifiki hasa tunapozungumzia ulimwengu wa kiroho,HIZI DINI ASEE😂😂😂.. Hakuna hata mmoja anayeleta ufafanuzi wa hao majini zaidi ya masimulizi aliyosimuliwa na shekhe/mchungaji wake, sasa hapo unakua na tofauti gani na anayeamini stories za sungura&fisi?.
Nilidhani humu kuna wenye maelezo yao binafsi na ushahidi wa maelezo yao kuwa hao majini wako hivi au vile either kwa kujihusisha na issue zinazohusisha imani na matendo na majini mfano uchawi&ushirikina, uganga wa uaguzi, au kukumbwa na matukio yenye ushahidi kuwa ni majini wamehusika mfano maono/matambiko/ulozi, zaidi noana uzushi tu wa hawa wafuasi wa dini za mzungu na mwarabu which is NONSENSE.
Kiuhalisia huwezi kuzijua habari za majini kutoka ktk dini inayokubali kujihusisha nao maana inakuwa ktk mitego ya kuficha mbinu na siri za hao viumbe.
Majini hawajaumbwa kwa moto, hawakuwai pewa amri ya kumsujudia adamu maana adamu hajawai kuwepo ni stories za kutungwa kutoka kwa warumi then kwa muhamad na uislamu wake.
Majini hawali wala hawanywi, majini hawaogopi chochote wala yeyote ktk dunia hii anayeamini ktk dini/ushirikina.
Majini hawazai wala kuzaliana bali walishazaliana zamani kabla ya angamizo la miili ya kimwili.
Majini hawagawanyiki ktk makundi ya wema na ubaya, wote ni wabaya.
Majini hawamsujudu Allah wala yehova au kiumbe chochote kinachoitwa Mungu ktk hizo dini zenu za kuletewa.
Majini hawatolewi kwa maombi wala visomo na maombi ya kidini ingekuwa hivyo wasingesumbua hivi maana dini zimeenea kila kona na kila mtaa una mchungaji/shekhe mpiga maombi lkn matatizo ndio yanaongezeka.
Majini hawaonekani wala hawana uwezo wa kuonekana duniani kivyovyote vile mpaka wewe mtu uingie ktk ulimwengu wa viumbe wa roho ndipo utamuona.
Majini huwezi kuwaoa bali wao ndio wanaweza kukuoa kiroho kwa uvamizi wa kingono ktk ndoto na kukufanya mtumwa wao.
Majini huwezi kuwatuma bali wao ndio wanawatuma watu, majini ni aina tu au ni sehemu ndogo ktk viumbe wa kiroho ambao waliozaliwa mamilioni ya miaka kabla hata ya ujio wa hizo dini zenu za ukristo/uislam na hata kabla hao waarabu+wazungu hawajazaliwa, dunia ikiwa inakaliwa na watu weusi tu, ndiomaana target kubwa ya hawa viumbe ni kuwadidimiza watu weusi kivyovyote vile wakishirikiana na hao ndugu zao white people.
Dini zote zinaabudu majini, huyo Yesu ni pepo, Allah ni pepo, yehova/Elshadai ni pepo vile vile ndiomaana waliletwa na watu wa dini kwasababu wasingeweza kujidhihirisha bila ya dini na kuletwa na hao puppets wao.
Amkeni muitafute ELIMU sahihi.
Shekhe mshirikina tu yule kazi yake kuwatapeli watu,katika Uisilamu tunafundishwa kila kitu jinsi ya kumjua hata mganga wa kweli anayetumia kitabu cha Mungu na anayetumia ushirikiana yaani mchawi,Mkuu kila jamii utakuta wana elimu yao jinsi ya kujilinda na hayo mambo, suala la watu kuomba majini halihusiani na uwoga na ndio maana hadi sasa watu huwatumia majini kwa mambo mbalimbali nadhani unamsikiaga Dr Sule.
Sio lengo langu kuzungumzia ushirikina au si ushirikina bali nazungumzia elimu ya majini, ni kweli Qur'an inatumika kitiba lakini mbona sasa hatuoni masheikh wakubwa waliyosoma sana elimu ya dini wao kuwa ndio wana ujuzi wa tiba kupitia hiyo Qur'an? Elimu ya tiba wanayo waislamu ambao hawajasoma sana elimu ya dini na ndio mnawaita washirikina.Unajua hii dunia ni ndogo sana yaani katika 1ya 10 binadamu tunachokijua ni tatu tu na kati yetu hata 1 haifiki hasa tunapozungumzia ulimwengu wa kiroho,
Elimu ya majini mbona ipo kwenye Quruani gogle Quruani kwa kiswahili halafu soma Surat jini nakushangaa unabisha vitu ambavyo viko wazi
Shekhe mshirikina tu yule kazi yake kuwatapeli watu,katika Uisilamu tunafundishwa kila kitu jinsi ya kumjua hata mganga wa kweli anayetumia kitabu cha Mungu na anayetumia ushirikiana yaani mchawi,
Nitakupa mfano Quruani ni tiba inatibu vitu vingi kwa kusoma sura zinazohusiana na matatizo ya muhusika na Mwenyezi Mungu katupa miti ambayo dawa,lkini haohao waganga usikubali akutabilie kesho yake au hawa wa kusoma nyota au unakuta mtu kwenye ofisi yake kuna mikia ya wanyama au vitambaa vyekundu na vyeupe au pembe za wanyama au masanamu jua huyo ni mshirikina
Utamu wa ngoma ingia ndani ucheze.mfano
Kutibu ni karama /kipawa si kila mtu ana hiyo karama.Sio lengo langu kuzungumzia ushirikina au si ushirikina bali nazungumzia elimu ya majini, ni kweli Qur'an inatumika kitiba lakini mbona sasa hatuoni masheikh wakubwa waliyosoma sana elimu ya dini wao kuwa ndio wana ujuzi wa tiba kupitia hiyo Qur'an? Elimu ya tiba wanayo waislamu ambao hawajasoma sana elimu ya dini na ndio mnawaita washirikina.
Yani mkuu mie ninachokiona masheikh na waislamu wengi wanajua sana kuzitambua tiba za kishirikina kuliko wanavyojua tiba ambazo halali si za kishirikina, unaweza ukakuta mtu kahifadhi msahafu mzima ila hajui hata aya moja ya kutumia kujitibu.
Sasa 90% ya matabibu huitwa washirikina.Kutibu ni karama /kipawa si kila mtu ana hiyo karama.
Sasa kila ninaposali sitaacha kuwaombea afya njema.Ndo ushaambiwa sasa 😂
Majini ni wagonjwa wa zamani
Hujaona mtu anaabudu nayeye anaabudiwa ?Ulisema mizimu hutaka kuabudiwa na ukoo fulani sasa iweje useme tena hiyo hiyo mizimu ina Mungu wao na inamuabudu? Nachojua ukishasema hii ni mizimu fulani basi kila kitu chao ni sawa ndio maana wenye kutambikia wanajua kuwa mizimu hii taratibu ni hizi sasa ikiwa kuna mizimu humo inatofautiana imani hiyo itakuaje sasa?