Historia ya Majini

Historia ya Majini

Zamani sana miaka ya sabini ningali kijana niliwahi kuishi Kahama. Siku moja tulikuwa na concerta iliyoletwa na Marehem Mbaraka Mwinshehe. Communigty hall ilijaa sana siku hiyp na vijana wengi wakapata mapatna wa usiku huo. Baada ya show, tulikwenda nyumbani kwa rafiki yetu mmoja tukiwa na mapatna wetu wapya. Nyumba yao ilikuwa na nyumba vingi sana vya nyuma ambako ndiko vijana walikuwa wakiishi. Tulipofika nyumbani, huyo mwenyeji wetu alikuwa anavuta bangi; kwa hiyo akaikoleza kidogo. Ile kutoa moshi wa bangi tu, mmoja wa wasichana tuliyekuwa naye akalipuka na kuanza kuzungumza katika lugha ya ajabu na sauti ya kiume. Basi mwenyeji wetu yule akaamuwa kweny kumwita mama yake ili atoe ushauri. Kaka ktu baada ya kufika tu akasema "Shehe wahurumie watuu usiwabugudhe. Aktoa maneno mengi sana ya kubembeleza na mwishowe yule dada akasema "sitaki mavi mavi mbele yangu" Baada ya hapo u sauto yake ikabadilika tena na juabza kuongea tena sauti ya kisichana. Mama huyo aliesema binti hiyo alikuwa na majini yanayomzuia kufanya mambo kadhaa. Starehe yetu iliharibikia pale pale; kila mtu akachukua hamsini zake.
 
Tuambie unachojua wewe sasa:
Kwa ufupi ni kwamba hawa viumbe mambo yao au tabia zao pia hutegemea na sehemu walipo kwa maana watu wenye kuishi kwenye hiyo sehemu pia wakoje, jinsi wazungu wanavyo deal na kuwafahanu hawa viumbe ni tofauti na sisi kwa kiasi kikubwa.

Kwa wenzetu huwezi kukuta sana hizi story za kwamba majini ni waislamu, sijui kupandisha majini/mapepo n.k
 
Dah ila waarabu

Walituweza min -me
Huo ni ulimwengu wa ghaybu (unseen) . Mtume Muhammad (s.a.w) hajapata kuongea jambo kwa matamanio ya nafsi yake bali ni ufunuo uliotoka kwa MUNGU.

Ni kweli majini wema hula mifupa ambayo imesomewa jina la Mungu...yanapobaki mifupa, Mungu huivika tena nyama kwa namna ajuavyo yeye na huwa ni chakula cha majini... Majini waovu (mashetani) hula chakula ambacho hakijatajwa jina la Mungu kabla ya kula....!!

Kama ungekuwa uneshawahi kufanya Exorcism (Utoaji wa mashetani/mapepo) kutoka katika mwili wa mtu aliyekuwa possessed basi ungekuwa unajua haya.
 
Kwa ufupi ni kwamba hawa viumbe mambo yao au tabia zao pia hutegemea na sehemu walipo kwa maana watu wenye kuishi kwenye hiyo sehemu pia wakoje, jinsi wazungu wanavyo deal na kuwafahanu hawa viumbe ni tofauti na sisi kwa kiasi kikubwa.

Kwa wenzetu huwezi kukuta sana hizi story za kwamba majini ni waislamu, sijui kupandisha majini/mapepo n.k
Hata wazungu wanajua kuwa majini wana lugha/makabila/mataifa/imani za dini.

Ni kwavile wewe huna hiyo elimu tu...kama ungekuwa ushawahi kufanya EXORCISM (Kutoa mashetani katika mwili wa mtu aliyekuwa possessed) basi ungekuwa unafahamu haya.

Nishaona mtu akiongea lugha za kimasai ilihali hajui chochote kuhusu umasai, Nishaona mtu akiongea kingereza fluently kabisa ilihali hajui kingereza, nishaona mtu akiongea kichina kabisa ilihali hajui kichina akiwa katika hali ya kawaida., Nishaona mtu akiongea kilingala ilihali katika hali ya kawaida hajui lugha hizo, nishaona mtu akiongea kiarabu kabisa ilihali akiwa katika hali ya kawaida hajui kiarabu.

Kwahiyo Majini wanaongea Lugha kama tuongeavyo sisi, wana familia, kabila na koo, falme n.k kama tunavyoishi sisi.

Tofauti yetu kubwa ni ya kimaumbile, wao wanatuona sisi hatuwaoni na maumbile yao yanatisha tofauti na mwanadamu alivyoumbwa, pia wana uwezo wa kujibadilisha kimaumbile..akachukua umbile la mnyama kama Mbwa mweusi,nyoka n.k pia wadudu kama ng'e....! Pia anaweza kuchukua sura ya mwanadamu...

Tofauti nyingine ni uwezo wao wa kusafiri kwa kasi sana...anaweza akawepo Dar sasa hv kisha dk kadhaa akawa mwanza.
 
1770525970177.jpg
 
Majini ni malaika waasi kabla hawajalaaniwa baada ya kumua Mungu,walikuwa sehemu ya 1/3 ya malaika wa mbinguni wakiongizwa na aliyekuwa malaika mkuu kiongozi wa sifa kerubi mbinguni aliyekuwa akiitwa LUCIFER.

huyu ndiyo aliongoza hao 1/3 ya malaika wamuasi Mungu mbinguni ,na lengo lake ilikuwa awadanganye 2/3 ya malaika wamuasi Mungu wamuabudu yeye badala yake akapata hai 1/3 tu ya malaika.
Baada ya kuasi lucifer na hao 1/3 wakatupwa chini sehemu ya chini ya dunia inayoitwa kuzimu.

alipofika kuzimu akaweka enzi yake ..na utawala wake ..akarudi duniani kupitia bustani ya Edeni akamkuta Adamu na Hawa akawadanganya nao wamuasi Mungu.
Jina la Shetani au joka kuu akalipata na hao malaika waasi wakaitwa mashetani mapepo au majini..wakaweka utawala wao hapa angani anga ya juu kidogo SADIKI na kule kuzimu ..na hata duniani..huwa wanazunguka zunguka ANGANI...KUZIMU NA DUNIANI..hawakai sehemu moja w

pia wanakaa NDANI ya mtu..mana mtu pia ni makazi au nyumba au kiti cha mapepo au roho wa Mungu...shetani anautawala unao muiga anaiga iga vitu vya mbinguni anamuiga Mungu.

Shetani anapenda kuishi ndani ya mtu anamuita kiti..KITI CHAKE...

na anaishi kwa maagano mfano kama ametumwa kwako au umetengeneza mazingira ya kumruhusu kukuingia mfano ,umeshiriki ibada za mizimu,matambiko,HOFU HUNA IMANI ,mtenda dhambi--dhambi inafungua mlango wa kuteseka
Hufanyi maombi,husali n.k

Majini yanakula na kunywa yakiwa ndani ya binadamu asiye na Yesu mwenye dhambi ...basi humuona kama makazi mazuri salama na safi msafi kwao kumkali kama KITI na hula kupitia kwake maji na chakula..(ikiwemo kumnyonya damu ama kumfanya atoe kafara za damu kwa kujua au kutokujua kama uzinzi huchukua mbegu ,au mimba kuharibika,au kutokwa damu isiyokatika,magonjwa,umaskini,vifi n.k..

jini au pepo humuona binadamu kama mchafu au KAFIRI kafiruna kama atakuwa ni asiye na dhambi au ameokoka kweli anashiriki meza ya bwana /mkate na divai sakrameti mwili wa Kristo na damu ya Kristo..hivyo damu yake huwa imechanganyika na damu ya Yesu ,au anasali sana na kutoa sadaka yani mlokole safi..basi hapo majini humuona kama mchafu kwa sababu hayawezi kumkalia kumtawala ndiyo maana humuona kama KAFIRI. au ana damu chafu

CHOONI..makaburini..kwenye ..water bodies..mito maziwa bahari..
ni malango ya kuzimu..mapepo huwa yana kawaida ya kwenda kwenye enzi ikulu ya kuzimu na kurudi duniani kupitia malango hayo..na ni rahisi kubshuttle kizimu to duniani kupitia shimo la choo na makaburi ,bahari mito n.k

PEPO au jini akipewa misheni ya kukaa ndani yako ..hatakiwi kufeli kushindwa ..hatakiwi kurudi kule ikulu ya kuzimu kwa kushindwa kama looser ameshindwa mission huwa kuna ADHABU ANAPEWA..

ndio maana pepo akifukuzwa akimtoka mtu atazunguka zunguka nyikani..kwa nini haendi chooni au baharini ,mtoni au makaburini kwa sababu ..akienda huko atajikuta amevutwa kurudi kuzimu na akifika huko ata adhibiwa kwa kufeli mission.

Ndio maana hurudi kule alikofukuzwa kule alikomtoka binadamu ..akimkuta binadamu amesafisha nyumba yake ..yani PEPO JINI anapokuona wewe makazi SAFI msafi kwake ana MAANA weee huna nguvu ya Mungu ndani yako unaishi maisha ya dhambi ...ndio maana anaweza kurudi kukaa ndani yako.

Ndio maana Yesu alipowatoa watu mapepo majini aliwaambia msitende dhambi tena..mana dhambi unawatengenezea mazingira safi majini kukukalia kama kiti chao.

Majini wanajiita wasafi kwa maana yake ni kuwadanganya wanadamu..
Na wanadamu wanawaita majini wema au wazuri wale ambao unaweza kuwatuma kuwaagiza

yale majini makorofi ambayo hayatii amri huyaita machafu

MAJINI YOTE NI MABAYA hakuna jini mzuri
Majini hayamuabudu Mungu mana yalishamuasi na yenyewe hayatendi mema ,ni matenda maovu toka mwanzo kule mbinguni yalipoasi yakafukuzwa mbinguni.

Majini yanakuogopa binadamu mwenye nguvu za Mungu aliyeokoka mwenye ushirika na YESU
Majini hayamuogopi mtu anayetenda dhambi.

Majini ndiyo yaliyowafindisha wanadamu maarifa ya kutengeneza sayansi za silaha za maangamizi,maarifa mengi,ikiwemo UCHAWI..

hakuja uchawi unaofanyika bila kushirikisha majini.
Mti yeyote nayaeweza kulogwa jini amehusika ,mtu yeyote anayeweza kulogwa kirahisi majini hayamuogopi...(ALILOGWA)

yanamuogopa mtu ambaye hayawezi kumloga kama mtu mwenye YESU NDANI YAKE.
 
Majini na malaika ni tofauti,ndiyo maana Mungu kaumba viumbe vitatu, Malaika kwa Mwanga Majini kwa Moto Binadamu kwa Udongo sasa hapo ukisema majini walikuwa malaika unakosea
 
lugha za kuzimu wakati mwingine zinafanana na lugha za malaika au za mbinguni kwa sababu mashetani nayo yalikuwaga malaika na yalishakaa mbinguni kabla hayaja asi na kufukuzwa na lugha ile ya mbinguni walishawahi kuiongea..ndio lugha yao ya kwanza.

WALOKOLE wanaonena kwa lugha za malaika zile za mbinguni za kushikiwa ba riho mtakatifu.

hata wachawi na mafremansory vyama vya kichawi nao lugha yao ina fanana sana na ile ya mbinguni
Manabii wa uongo na wachungaji ambao ni mawakalanwa kuzimu nao wanaposali wanaongea lugha inayofanana na kunena kwa lugha za mbinguni mtu qnapojazwa roho wa Mungu Roho mtakatifu...sasa wao wachawi wanakuwa wanapandisha mapepo yao nguvu zao za kuzimu wanaongea lugha yao ya kuzumu wakiyalaani maisha na wakiwachawia watu ,na kumkufuru Mungu ,huku waumini wao wakifikiri ni maombi wanaombewa.?!
 
Majini na malaika ni tofauti,ndiyo maana Mungu kaumba viumbe vitatu, Malaika kwa Mwanga Majini kwa Moto Binadamu kwa Udongo sasa hapo ukisema majini walikuwa malaika unakosea
at first place ,mwanzoni kabisa MUNGU aliumba malaika hakuumba (shetani wala wafuasi wa shetani majini...)wale malaika kule mbinguni.
Later on baadae wale malaika baadhi yao tena wametajwa idadi yao ni theluthi moja 1/3 wakiongozwa na malaika lucifer wakamuasi Mungu...
chanzo cha uasi ni huyu Lucifer aliwaza moyoni mwake alitamani na yeye kuabudiwa kama Mungu alitamani kuanzisha enzi yake utawala wake na yeye aabudiwe kama Mungu..atengeneze enzi yake.

baada ya kuasi kuke mbinguni akalaaniwa akabadilishwa jina akaitwa shetani,joka kuu ,malaika zake wakaitwa mapepo...majini ni lugha ya kiarabu..na mizimu lugha ya kibantu..mapepo ya ukoo

wakafukuzwa huko mbinguni wakatupwa sehemu ya chini ya duniani mwisho kabisa chini zaidi panaitwa KUZIMU.

ni kweli waliumbwa kwa NURU na binadamu ameumbwa kwa udongo.

sasa hawa malaika waasi walipofika duniani waliafundisha watu maarifa ya uchawi silaha za vita na sayansi.
na walizaa na wanawake a kibinadamu..yakazaliwa majitun MAREFU MANEFELI..

Hawa malaika waasi wanapenda kuji disguise kama wema na wasafi na wazuri HUJIFANYA MALAIKA hijigeuza malaika na kuwadanganya wanadamu..
HAKUNA JINI MZURI kama unafuga majini unaona unayatuma yanakutii..unayatolea sadaka kafara yanakunywa damu unayaona mema..
KUNA SIKU UTAJUA KUWA SIYO MAZURI .

majini haya muabudu Mungu wa kweli hiyu YESU na Jehova ..kwanza ukitaja tu jina la Yesu yanakimbia na kuungua na kuanguka ..
ndio maana hayawapendi watu wenye YESU yanawaita MAKAFIRI.
 
umesoma ILIMU GANI je umesoma ELIMU YA MAARIFA ...FALAKI...inasemaje..kuhusu ELIMU YA MAUMBO.??
Wanaoifahamu ilimu ukiacha maamuma wasio na ilimu ya mnyaazi...wanajua ukweli..ila WANAFANYA SIRI..wanaficha ficha na uongo ..ila ukweli wanaujua..wanabaki kuita tu wenzao MAKAFIRI.
Halafu huku WANAFUGA MAJINI.

yani JINI unamuona ni MZURI halafu binadamu mwenzako mlio tofautiana mitazamo ya kiimani unamuona KAFIRUNA..

kati ya jini na mwanadamu mwezio unaona bora jini..??
 
at first place ,mwanzoni kabisa MUNGU aliumba malaika hakuumba (shetani wala wafuasi wa shetani majini...)wale malaika kule mbinguni.
Later on baadae wale malaika baadhi yao tena wametajwa idadi yao ni theluthi moja 1/3 wakiongozwa na malaika lucifer wakamuasi Mungu...
chanzo cha uasi ni huyu Lucifer aliwaza moyoni mwake alitamani na yeye kuabudiwa kama Mungu alitamani kuanzisha enzi yake utawala wake na yeye aabudiwe kama Mungu..atengeneze enzi yake.

baada ya kuasi kuke mbinguni akalaaniwa akabadilishwa jina akaitwa shetani,joka kuu ,malaika zake wakaitwa mapepo...majini ni lugha ya kiarabu..na mizimu lugha ya kibantu..mapepo ya ukoo

wakafukuzwa huko mbinguni wakatupwa sehemu ya chini ya duniani mwisho kabisa chini zaidi panaitwa KUZIMU.

ni kweli waliumbwa kwa NURU na binadamu ameumbwa kwa udongo.

sasa hawa malaika waasi walipofika duniani waliafundisha watu maarifa ya uchawi silaha za vita na sayansi.
na walizaa na wanawake a kibinadamu..yakazaliwa majitun MAREFU MANEFELI..

Hawa malaika waasi wanapenda kuji disguise kama wema na wasafi na wazuri HUJIFANYA MALAIKA hijigeuza malaika na kuwadanganya wanadamu..
HAKUNA JINI MZURI kama unafuga majini unaona unayatuma yanakutii..unayatolea sadaka kafara yanakunywa damu unayaona mema..
KUNA SIKU UTAJUA KUWA SIYO MAZURI .

majini haya muabudu Mungu wa kweli hiyu YESU na Jehova ..kwanza ukitaja tu jina la Yesu yanakimbia na kuungua na kuanguka ..
ndio maana hayawapendi watu wenye YESU yanawaita MAKAFIRI.
kuna Malaika na Majini,sifa ya ushetani anayo jini aliyemuasi Mungu,vilevile kuna majini wema kabisa wanaogopa dhambi na wanaswali,na binadamu yeyote yule mfano aliyeamuru watu wauwawe tarehe 29 octobar anaingia kwenye sifa ya Ushetani,sijui unanielewa?
 
at first place ,mwanzoni kabisa MUNGU aliumba malaika hakuumba (shetani wala wafuasi wa shetani majini...)wale malaika kule mbinguni.
Later on baadae wale malaika baadhi yao tena wametajwa idadi yao ni theluthi moja 1/3 wakiongozwa na malaika lucifer wakamuasi Mungu...
chanzo cha uasi ni huyu Lucifer aliwaza moyoni mwake alitamani na yeye kuabudiwa kama Mungu alitamani kuanzisha enzi yake utawala wake na yeye aabudiwe kama Mungu..atengeneze enzi yake.

baada ya kuasi kuke mbinguni akalaaniwa akabadilishwa jina akaitwa shetani,joka kuu ,malaika zake wakaitwa mapepo...majini ni lugha ya kiarabu..na mizimu lugha ya kibantu..mapepo ya ukoo

wakafukuzwa huko mbinguni wakatupwa sehemu ya chini ya duniani mwisho kabisa chini zaidi panaitwa KUZIMU.

ni kweli waliumbwa kwa NURU na binadamu ameumbwa kwa udongo.

sasa hawa malaika waasi walipofika duniani waliafundisha watu maarifa ya uchawi silaha za vita na sayansi.
na walizaa na wanawake a kibinadamu..yakazaliwa majitun MAREFU MANEFELI..

Hawa malaika waasi wanapenda kuji disguise kama wema na wasafi na wazuri HUJIFANYA MALAIKA hijigeuza malaika na kuwadanganya wanadamu..
HAKUNA JINI MZURI kama unafuga majini unaona unayatuma yanakutii..unayatolea sadaka kafara yanakunywa damu unayaona mema..
KUNA SIKU UTAJUA KUWA SIYO MAZURI .

majini haya muabudu Mungu wa kweli hiyu YESU na Jehova ..kwanza ukitaja tu jina la Yesu yanakimbia na kuungua na kuanguka ..
ndio maana hayawapendi watu wenye YESU yanawaita MAKAFIRI.
kuna Malaika na Majini,sifa ya ushetani anayo jini aliyemuasi Mungu,vilevile kuna majini wema kabisa wanaogopa dhambi na wanaswali,na binadamu yeyote yule mfano aliyeamuru watu wauwawe tarehe 29 octobar anaingia kwenye sifa ya Ushetani, inamana kiumbe yeyote anayetenda dhambi awe binadamu au jini huwa anaitwa shetani,sijui unanielewa?
 
JINI hawezi kuwa na sifa njema hata moja ,pia hawezi kumwabudu MUNGU WA KWELI ,labda ibada za miungu yao kumuabudu lucifer amabaye ana majina 99 ..ila siyo Mungu wa kweli..ni maigizo kumhadaa kumdanganya ghiribu mwanadamu.
MOTO WA KUZIMU JEHANAMU umeandaliwa kwa ajili ya SHETANI na malaika zake majini..na siku ya mwisho shetani ndio atakuwa mtu wa mwisho kuingiza mguu wake katika moto wa JEHANAMU baada ya kuhakikisha wafuasi wake wote wameishaingia hakuna aliyebaki.
na yeye anataka watu wengi zaidi waingie motoni ndio mission yake kubwa ..binadamu wasifanye ibada kwa Mungu wa kweli ndio maana anawaletea manabii wa uongo na dini za uongo na mafundisho ya uongo.

SHETANI MAANA YAKE ni MWENYE KUUDANGANYA ULIMWENGU.(BABA WA UONGO)

Uongo ni mwingi kuliko ukweli duniani ndio maana ukweli unaonekana uongo na uongo unaonekana ukweli..
 
Back
Top Bottom