Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,634
Je unaamini Mungu yupo?Majini haya-exist. Ni imaginations za watu tu na zilinzia middle east.
Je unaamini Mungu yupo?Majini haya-exist. Ni imaginations za watu tu na zilinzia middle east.
Ibilisi alikuwa jini miongoni mwa kundi la malaika.Ibilisi, aliyekataa kumsujudia Adam ni jini, so majinni wapo kabla ya binadam
Sasa mbona waislamu wa kibinaadamu wote sio wachamungu inakuaje majini ili wawe wazuri ni lazima wawe wachamungu?Ndiyo ukweli wenyewe yaani nao walidanganywa na mashetani kama tulivyodanganywa kabla ya kuja Mtume Muhammad (S.A.w)kama Mwenyezi Mungu ana mtoto au Mungu alikuwa na msaidizi lakini nao wakaongoka kupitia Quruani wakasamehe wanashika ibada kama Waisilamu tunaswali nao misikitini na kufunga na kuhiji Makka
Ukitaka kumiliki jini awe mwanamke wako inawezekana kabisa,ila je utaweza masharti ya kuwa naye?Wao wanakula vitu gani..vip nikiitaji mrembo wa kijini nampataje.
Inawezekana yupo lakini si lazima awe vile anavyoelezewa na hizo dini mbili.Je unaamini Mungu yupo?
Weee nisije nikauponza. Wacha tuendelee kupambana na nyie wajukuu wa nyerere. Siendi baharini usiku mmKajaribu bahati yako mkuu!
Mara ya mwisho kuita ndoto yeyite tu nimesahau. Siku hzi hata ndoto za kutusha tu sizipati.Ushawahi kusikia kuhusu Lucid dreaming? Kwanini usijaribu hiyo njia maana utaweza ku experience chochote kile unachotaka kwenye ndoto yani vile unavyotaka ndio inavyotokea bila mipaka hata ukimtaka mwanamke yeyote yule.
Jibu swali.Inawezekana yupo lakini si lazima awe vile anavyoelezewa na hizo dini mbili.
Kwani ulikuwa unaota ndoto za aina gani ndio hizo za kutisha?Mara ya mwisho kuita ndoto yeyite tu nimesahau. Siku hzi hata ndoto za kutusha tu sizipati.
😁😁😁
😁😁😄Majini yalisilimishwa na Mtume Moahmed.
Majinn ni maislam.
😁Yaan mbaya kimuonekano na akiwa mzuri je anaitwaje?
😁😁Nitumie jini moja kama unalo wewe mwenye akili.
Think out of the box.
Story za majini asili yake ni middle east. Sehemu nyingine za dunia hawakuwa na uzushi huo.
Watu wanaofikiriwa kuwa na majini huwa ni wagonjwa wa afya ya akili wakiwemo wenye Dissociative identity disorder (jaribu kusoma kuhusu hii) na hata wenye dissociative fugue. Matibabu yake yanaweza kufanyika kwa kuhusisha hypnosis na exorcism
Nimecheka Sana kmmk 😁😁Kuna mtu namjua yamemfanya kiziwi na haongei labda aongee mwenyewe mwaka wa 10 huu na ni binti yamemuachisha na shule halafu mtu anasema ni fikra zetu tu hivi wengine mnaishi mitaa ipi haya hayawapati na sisi tuje🙄
Malaika hakuwa Ibilisi,ila Jini ndiyo Ibilisi na kosa lake ni kutokukubali kumsujudia AdamuIbilisi alikuwa jini miongoni mwa kundi la malaika.
Hao wote humu wanaongea vitu wasivyo vijua na ni kwakuwa wame aminishwa au kufundishwa tofauti na watu walio wafundisha hawana taarifa sahihi kuhusu majini ,Kuna mtu namjua yamemfanya kiziwi na haongei labda aongee mwenyewe mwaka wa 10 huu na ni binti yamemuachisha na shule halafu mtu anasema ni fikra zetu tu hivi wengine mnaishi mitaa ipi haya hayawapati na sisi tuje🙄
Nisije nikaenda huko nikakutana na vibaka wakanipora INIFINIKISI yangu.
Au nikakutana na majini ya kiume mambo yakawa si mambo.
Sio kwamba majini wengine ni wa kawaida tu au wote sio wa kuwachezea?Hao wote humu wanaongea vitu wasivyo vijua na ni kwakuwa wame aminishwa au kufundishwa tofauti na watu walio wafundisha hawana taarifa sahihi kuhusu majini ,
But all in all Majini yapo na sio kitu Cha mchezo hakuna binaadamu mwenye uwezo wa kushindana na jini hata siku Moja ni intelligence creature kuwahi kuexist duniani Aisee it's more than scary
Wewe sikia hivyo hivyo tu
Majini ndio waasisi waimani zote duniani SEMA huo ukweli unafichwaKama kuna mizimu(majini) na mambo yao ni tofauti na dini basi kutakuwepo majini wengine ambao wana dini mbalimbali, maana kama binaadamu wanafuata dini tofauti tofauti sioni kwanini majini nao wasiwe hivyo pia.