Majini ni malaika waasi kabla hawajalaaniwa baada ya kumua Mungu,walikuwa sehemu ya 1/3 ya malaika wa mbinguni wakiongizwa na aliyekuwa malaika mkuu kiongozi wa sifa kerubi mbinguni aliyekuwa akiitwa LUCIFER.
huyu ndiyo aliongoza hao 1/3 ya malaika wamuasi Mungu mbinguni ,na lengo lake ilikuwa awadanganye 2/3 ya malaika wamuasi Mungu wamuabudu yeye badala yake akapata hai 1/3 tu ya malaika.
Baada ya kuasi lucifer na hao 1/3 wakatupwa chini sehemu ya chini ya dunia inayoitwa kuzimu.
alipofika kuzimu akaweka enzi yake ..na utawala wake ..akarudi duniani kupitia bustani ya Edeni akamkuta Adamu na Hawa akawadanganya nao wamuasi Mungu.
Jina la Shetani au joka kuu akalipata na hao malaika waasi wakaitwa mashetani mapepo au majini..wakaweka utawala wao hapa angani anga ya juu kidogo SADIKI na kule kuzimu ..na hata duniani..huwa wanazunguka zunguka ANGANI...KUZIMU NA DUNIANI..hawakai sehemu moja w
pia wanakaa NDANI ya mtu..mana mtu pia ni makazi au nyumba au kiti cha mapepo au roho wa Mungu...shetani anautawala unao muiga anaiga iga vitu vya mbinguni anamuiga Mungu.
Shetani anapenda kuishi ndani ya mtu anamuita kiti..KITI CHAKE...
na anaishi kwa maagano mfano kama ametumwa kwako au umetengeneza mazingira ya kumruhusu kukuingia mfano ,umeshiriki ibada za mizimu,matambiko,HOFU HUNA IMANI ,mtenda dhambi--dhambi inafungua mlango wa kuteseka
Hufanyi maombi,husali n.k
Majini yanakula na kunywa yakiwa ndani ya binadamu asiye na Yesu mwenye dhambi ...basi humuona kama makazi mazuri salama na safi msafi kwao kumkali kama KITI na hula kupitia kwake maji na chakula..(ikiwemo kumnyonya damu ama kumfanya atoe kafara za damu kwa kujua au kutokujua kama uzinzi huchukua mbegu ,au mimba kuharibika,au kutokwa damu isiyokatika,magonjwa,umaskini,vifi n.k..
jini au pepo humuona binadamu kama mchafu au KAFIRI kafiruna kama atakuwa ni asiye na dhambi au ameokoka kweli anashiriki meza ya bwana /mkate na divai sakrameti mwili wa Kristo na damu ya Kristo..hivyo damu yake huwa imechanganyika na damu ya Yesu ,au anasali sana na kutoa sadaka yani mlokole safi..basi hapo majini humuona kama mchafu kwa sababu hayawezi kumkalia kumtawala ndiyo maana humuona kama KAFIRI. au ana damu chafu
CHOONI..makaburini..kwenye ..water bodies..mito maziwa bahari..
ni malango ya kuzimu..mapepo huwa yana kawaida ya kwenda kwenye enzi ikulu ya kuzimu na kurudi duniani kupitia malango hayo..na ni rahisi kubshuttle kizimu to duniani kupitia shimo la choo na makaburi ,bahari mito n.k
PEPO au jini akipewa misheni ya kukaa ndani yako ..hatakiwi kufeli kushindwa ..hatakiwi kurudi kule ikulu ya kuzimu kwa kushindwa kama looser ameshindwa mission huwa kuna ADHABU ANAPEWA..
ndio maana pepo akifukuzwa akimtoka mtu atazunguka zunguka nyikani..kwa nini haendi chooni au baharini ,mtoni au makaburini kwa sababu ..akienda huko atajikuta amevutwa kurudi kuzimu na akifika huko ata adhibiwa kwa kufeli mission.
Ndio maana hurudi kule alikofukuzwa kule alikomtoka binadamu ..akimkuta binadamu amesafisha nyumba yake ..yani PEPO JINI anapokuona wewe makazi SAFI msafi kwake ana MAANA weee huna nguvu ya Mungu ndani yako unaishi maisha ya dhambi ...ndio maana anaweza kurudi kukaa ndani yako.
Ndio maana Yesu alipowatoa watu mapepo majini aliwaambia msitende dhambi tena..mana dhambi unawatengenezea mazingira safi majini kukukalia kama kiti chao.
Majini wanajiita wasafi kwa maana yake ni kuwadanganya wanadamu..
Na wanadamu wanawaita majini wema au wazuri wale ambao unaweza kuwatuma kuwaagiza
yale majini makorofi ambayo hayatii amri huyaita machafu
MAJINI YOTE NI MABAYA hakuna jini mzuri
Majini hayamuabudu Mungu mana yalishamuasi na yenyewe hayatendi mema ,ni matenda maovu toka mwanzo kule mbinguni yalipoasi yakafukuzwa mbinguni.
Majini yanakuogopa binadamu mwenye nguvu za Mungu aliyeokoka mwenye ushirika na YESU
Majini hayamuogopi mtu anayetenda dhambi.
Majini ndiyo yaliyowafindisha wanadamu maarifa ya kutengeneza sayansi za silaha za maangamizi,maarifa mengi,ikiwemo UCHAWI..
hakuja uchawi unaofanyika bila kushirikisha majini.
Mti yeyote nayaeweza kulogwa jini amehusika ,mtu yeyote anayeweza kulogwa kirahisi majini hayamuogopi...(ALILOGWA)
yanamuogopa mtu ambaye hayawezi kumloga kama mtu mwenye YESU NDANI YAKE.