Historia ya maisha yangu

Mateso bila chuki yaani...ndo mzigo wangu huo hakuna namna [emoji23][emoji23]
Si ndo kam huyu akiwa broke anataka na ww uwe broke...usioge ..ulale lale kama yy...akishika tama na ww shika tama😅,!
 
Hahahahah unaota wewe nirudie uchafu huo?hapana ,nitatengwa na ukoo kurudi jalalani
 
Uko tayari kuishi na matokeo ya uamuzi huo? Siku mwanao akimtaka babake utamjibu nini? Na ikiwa upande wa pili nao waki-revenge na ikajibu huoni utakuwa chanzo cha uyatima na kuathiri hatima yake?

Vv
Wameanza namaliza,ahhh mnanikata stimu naangalia mechi ya Simba hapa,Simba hajawahi tishwa na swala kamwe🤣🤣🤣
 
Hatumpigi radi tunamshusha kimya kimya,wakistuka yuko zero 🙌
 
We njoo na huyo babe wako, mbona hamjiamini?waaah hahahah
 
Thubutuuu sirudiagi matapishi mie,Hana maajabu ya mimi kurudi,Mimi Kama Wana wa Israel walitumia miaka 40 kuvuka jangwa na wakasema ,mwambie farao sirudi Tena misri,naenda kanaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…