Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Sawa mayu! Teh teh teh mwizi kamulikwa full light! Siku nyingi sana nilijiuliza mnyiramba na jina la kisukuma wapi na wapi kama sikosei hili jina lilifaulu moja kwa moja ila kutokana na mwamko mdogo enzi zile mwizi akajipenyeza
 
Kingwangalla "amelike" kwenye hii maana nae ni "mwizi" wa majina ya watu! Kama ni waadirifu hivyo na mna akili kwa nini muibe/mutumie majina ya watu?? mnaficha nini??

Enzi zetu zile za Mwalimu majina kama haya yalikuwapo tele, tuliyaita majina ya "Makweta" kutokana na Jackson Makweta aliyekuwa waziri wa elimu enzi hizo.

Kulikuwa na wakristo wenye majina yote ya kiislam kama wazanzibari, nakumbuka kuna mwenyekiti wa Ukwata alikuwa anaitwa Hussein Ramadhani Ally, mimi nilisoma na Prosper Valentin (mwislamu huyu) halafu kulikuwa na wachagga kibao wenye majina ya kiiraqw.

Nafikiri kama huyo mwenye jina lake halisi hajalalamika, tuiache hii ishu kama ilivyo maana ina historia ndefu ambayo kama haijaathiri kitu hakuna sababu ya kuichokonoa.
 
Hawa lazima kuwapigia kelele wasijifanye wako CCM kumbe kelele zao ni kuficha ujinga wao .Anatukana sana kumbe shida ni kuanzia kwao huko kwa kuunga unga issues
 
hiyo case ni ndogo sana,c kama wale wanaotumia vyeti vya wahimu wengine.kwa kuwa alifaulu kwa akili zake mwenyewe,jina halisaidii chochote,hata we unaweza kubidili jina lako hata sasa!
 
Nchemba Mwigulu Lameck Gulo Shumbi Madelu Mkumbo. Kwa majina haya namuomba aje hadharani atoe ufafanuzi juu ya majina yake aliyoyatumia shule ya msingi kabla hajafeli mtihani wa taifa darasa la saba. Pia afafanue alitumia majina gani alitumia baada ya kurudia darasa la kata. Aeleze alitumia majina gani alipokuwa shule ya sekondari Iliboru. Badala ya yeye kuendelea kuropoka juu ya mambo ya kudai kuwa Chadema wanaandaa mauaji upumbavu kabisa.

Ni kweli kama yeye ni mwanasiasa madhubuti ajitokeze afafanue hayo majina yake vizuri inaonesha uwezo wake haukuwa mzuri tangu akiwa mdogo
 
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
jamani wanajamvi, nimekutana na na hii statement hii sehemu moja, mimi sijaelewa kwa undani maana ni mpya machoni pangu. Je, kuna mwenye maaelezo ya kina maana hii itatusaidia kumjua huyu bwana ni kwa nini anakuwa na akili aliyo nayo sasa!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ma-wakipanga-mikakati-ya-mauaji-nchini-5.html

Sio kwamba ni bora kuliko wengine, si unajua tena CCM kila kitu kujuana na undugu. We huoni huyu jamaa anafanana na nani? Au hujui kuwa mwenyekiti alikaa sana mkoani Singida miaka ya 70 akiwa kiongozi wa chama. DNA tena wala haihitajiki kujua baba yake mzazi wa Mwigulu ni nani, everything is BLACK and WHITE, just open your eyes and see.

 
Ma-''repeater'' wote wenye tabia ya majivuno wanakuwa na mihemko kama ya lameck mkumbo madelu.
Nakumbuka repeater mmoja toka singida aliwahi kurudishwa nyumbani tukiwa kidato cha pili Moshi Tech.
kaka ulikuwa house ipi mimi nilikuwa azimio dom two - mnamkumbuka mess mover Ngazi -- jamaa tulimkuta kidato cha pili kidevu choke visiki tupu alivokoma visiki - Kijeba -- ndiyo hao hapo ma repeater, mtu anaoa, maisha yanamshinda anaamua kurudia shule tena.
 
nampongeza mwigulu kwa jitihada alizo fanya vinginevyo angekua hana dira katika taifa hili,wapo wengi tusiowajua lkn historia anaonesha mwigulu alikua kichwa darasani,pia mtoa mada nahisi kama amepotosha ukweli,nchemba kasoma mazengo na alikua headboy,
 
Ulukolokwitanga we mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,niambie nisikie baba yake ni mkuu wa kaya?? Sasa akina MAFILILI watapata nini kama watu wanarithishana madaraka namna hiyo? Akina RITZ mtakalia kuandika tu kwenye jf wenye baba zao wanafaidi
 
jamani hebu tuangalie hoja alizo toa mwigulu leo aliwa star tv,kadai kua" shibuda na zitto walipo tangaza kugombea urais waliitwa na uongozi wa chadema akiwemo mlezi ambae ni mzee mtei,na kuwaonya kwa hoja kua ni mapema mno na watakigawa chama sasa iweje mbowe amtangaze Slaa bila vikao vya chama?"hii ndio ilikua hoja ya mwigulu mi napata taharuki kwakua uongozi unaonekana kua na agenda ya siri,kwanini hawa waonywe halafu mbowe apongezwe?huoni kama anazidi kuithibiisha ile propaganda ya kua chadema ana ukaskazini mwingi na double standard.naungana na baregu na kitila mkumbo kusema kua mwkt kakosea na huku ni kukigawa chama.tuwe wakweli tunahitaji demokrasia ya kweli.
 
Chadema ndo tunawapa chakusema aki na mwigulu,viongozi wetu nahisi wamekosa umakini,wnajua namna ambavya ccm inatumia mwnya mdogo kufanya propaganda za kutugawa,kiukweli tulikua ktk pick lakini mambo yanaharibika kila kukicha au ndo tunachezewa na uongozi wetu?yani double standard imekita mizizi ktk chama,Slaa aliwafukuza madiwani wa mwanza mpaka tukapoteza halmashauri zote mbili.lkn karatu katafuta suluhu,tumesikia tena eti ana kadi ya ccm,aki na zitto wanadhibitiwa wengine wanatangazwa,bila kufanya reforms hatufiki 2015 tukiwa salama.watu watatutilia shaka.tuache ushabiki ili yasitukute yale ya Mlema 1995
 
marepeaters ni wengi humu nchini, sio ajabu hata ninyi mnaoponda ni marepeaters, kama mwenye jina hajalalamika ninyi lawauma nn?class seven ni ngazi ya chini sana, ametumia nguvu nyingi sekondari na chuo, hvy mwenye jina ht akija leo hajui chochote!!!!!
 
sasa kupora mke wa mtu na kuvunja ndoa kisha kutelekeza familia halafu ukawa na kadi mbili za vyama tofauti kuna uhusiano gani na mtu kuwa msukuma au mhaya, acha kuchanganya madesa wewe

Munyanga sijui ni akili kufikiria kwa makalio ulitaka uolewe wewe mbona mnamfatilia sana Dr Slaa,kadi mbili mbona Wasira anazo mbili hamsemi,Nape anayo ya CCJ hamsemi na Sita je mbona mnakuwa na wivu wa kijinga tafuteni cha kuongea na si kila wakati CHADEMA ila Mwigulu ni Kilaza
 
Back
Top Bottom