BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,994
- 2,045
yaani ukiwa kwenye nyumba ya vioo uwe mstaarabu usichokoze watu kaa kimya
Kweli mkuu
yaani ukiwa kwenye nyumba ya vioo uwe mstaarabu usichokoze watu kaa kimya
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
This is fraud!Enzi zetu zile za Mwalimu majina kama haya yalikuwapo tele, tuliyaita majina ya "Makweta" kutokana na Jackson Makweta aliyekuwa waziri wa elimu enzi hizo.
Kulikuwa na wakristo wenye majina yote ya kiislam kama wazanzibari, nakumbuka kuna mwenyekiti wa Ukwata alikuwa anaitwa Hussein Ramadhani Ally, mimi nilisoma na Prosper Valentin (mwislamu huyu) halafu kulikuwa na wachagga kibao wenye majina ya kiiraqw.
Nafikiri kama huyo mwenye jina lake halisi hajalalamika, tuiache hii ishu kama ilivyo maana ina historia ndefu ambayo kama haijaathiri kitu hakuna sababu ya kuichokonoa.
Hii hoja haina mashiko.
ni kweli kabisa kwani jina Mwigulu Nchemba ni la kisukuma na bahati mbaya kabisa ni kwamba mh. hana jina hata moja la kiasili yake au kabila lake hususani kabisa la kinyiramba.Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
Enzi zetu zile za Mwalimu majina kama haya yalikuwapo tele, tuliyaita majina ya "Makweta" kutokana na Jackson Makweta aliyekuwa waziri wa elimu enzi hizo.
Kulikuwa na wakristo wenye majina yote ya kiislam kama wazanzibari, nakumbuka kuna mwenyekiti wa Ukwata alikuwa anaitwa Hussein Ramadhani Ally, mimi nilisoma na Prosper Valentin (mwislamu huyu) halafu kulikuwa na wachagga kibao wenye majina ya kiiraqw.
Nafikiri kama huyo mwenye jina lake halisi hajalalamika, tuiache hii ishu kama ilivyo maana ina historia ndefu ambayo kama haijaathiri kitu hakuna sababu ya kuichokonoa.
shibuda alitangaza akiwa ccm akambiwa atakufa, lini aliitwa na mtei? Kuandika ungo ndio ukweli? Au bado unashabikia majambazi na wezi wa nchi hii? (viongozi wa Ccm)jamani hebu tuangalie hoja alizo toa mwigulu leo aliwa star tv,kadai kua" shibuda na zitto walipo tangaza kugombea urais waliitwa na uongozi wa chadema akiwemo mlezi ambae ni mzee mtei,na kuwaonya kwa hoja kua ni mapema mno na watakigawa chama sasa iweje mbowe amtangaze Slaa bila vikao vya chama?"hii ndio ilikua hoja ya mwigulu mi napata taharuki kwakua uongozi unaonekana kua na agenda ya siri,kwanini hawa waonywe halafu mbowe apongezwe?huoni kama anazidi kuithibiisha ile propaganda ya kua chadema ana ukaskazini mwingi na double standard.naungana na baregu na kitila mkumbo kusema kua mwkt kakosea na huku ni kukigawa chama.tuwe wakweli tunahitaji demokrasia ya kweli.
Hizi shutuma zina muda murefu sana, na sababu mtuhumiwa mwenyewe ni member humu bila shaka atakuwa ameziona. Tunachoshangaa ni huu ukimya wake hadi sasa, kitu kinachotufanya tuamini kuwa shutuma hizi ni za kweli.