King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,852
- 95,056
Lameck na Amimu wanajua hilo.
Huo ndio uchakachuaji uliopitiliza ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi upo kwenye majina ya viongozi wake ambao kiukweli hawapatikani kwa njia za kiuhalali bila kuminya walalahoi na maskini waliopitiliza ili wao waweze kutamalaki kisiasa. Watu wa aina ya Lameck Mkumbo a.k.a. Mwigulu Nchemba (Naibu katibu mkuu CCM-BARa) wapo wengi juzi tumesikia habari za aina hizi kwa Naibu Waziri wa Elimu aliyefahamika kwa majina ya Philipo Mulugo wakati ana majina yake halisi....haya ni matone mawili katika bahari.....yapo ...mengi yasiyovulika....CHUKUA HATUA...
Pengine tuulizane na tukubaliane kama hizi ndyo aina mpya UJASIRIAMALI...
Na haya yanatokea toka shule za msingi hasa pale mtu anapohitimu drs la saba kwenda Sekondari school...
NI WAULIZE KWA MTINDO HUU WA AINA YA WATAALAM HAWA.... TUTAFIKA....???????
NAWAZA KWA SAUTI PEKEE WALA SIYO MENGINEYO....
Usiwe kama Makinda, Akatae mwenyewe kuwa si Lameck Mkumbothibitisha kama ni kweli
nafikiri kuna mwenye hilo jina au inawezekana alinunua hiyo shahada ya uchumi anayoringia bungeni'swala hapa je ni nani atuthibitishie ili tuchukue hatua za kumpeleka kwenye vyombo vya sheria?
si angeenda mahakamani akaape arudie jina lake ,sasa hii si ni kashifa mpaka kufa kwake anakauka kama Hamisi Kingwangwallah nendeni mukaape mahakani tumieni majina yenu
nafikiri kuna mwenye hilo jina au inawezekana alinunua hiyo shahada ya uchumi anayoringia bungeni'swala hapa je ni nani atuthibitishie ili tuchukue hatua za kumpeleka kwenye vyombo vya sheria?
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
kaka ukiniambia mwigulu ni brand that sells ni sawa maana mambo ya ajabu anayofanya ndiyo brand yenyewe, kitu kinachofanya watu wamfuatilie ni kujua historia yake kujua kwa nini anafanya anayo yafanya basi kusema mwigulu ni kichwa ni kuwatania Watanzania hata wewe hii post yako inaonyesha unamponda sema uwezi kuwa straight kwa kuwa mko pamoja lakini unajua fika kwa nini watu wako na interest na huyu mzee wa kuoropoka hovyo bila breki