nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,901
United Nations.Wewe umewahi kuombwa kujitolea wapi?
Acha dharau
United Nations.Wewe umewahi kuombwa kujitolea wapi?
Acha dharau
Back in the day:Wakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!
DJ Young Millionaire(Usungu Mbele) alikuwa dogo si generation ya akina Freeman, Usungu alianza kupiga disco Ushirika(kwa madame Maggots) wakati Freeman ashaanza mipigo ya u-gentleman.Tutafute mabraza waliokua wanamuona dogo pale mbowe anasimamia issue za baba yake!!!Nasikia siku moja moja alikua anacheza na santuri!!!Tuwatafute mabraza kama Dj Young milionea atuambie!!!!Nina wasiwasi hata wewe mleta uzi ulikua huijui dar miaka ya 85,s kuja mpaka 92,s!!
Division zero ya Form ngapi?Form Four au Six?Benki kuu na division zero? Sema alikuwa karani wa kujitolea kupeleka barua
Yes, but political mistakes nchini Tanzania, ukichunguza na kupiga darubini vizuri, utagundua kua vyama vikubwa, vidogo na vikongwe vimefanya sana makosa mengi ya kisiasa hususani yanayofana na hilo ulilo liibuua kumuhusu mbowe.Kosa kubwa la Mbowe ni kumkaribisha Lowassa - mtu ambaye walikuwa wakimshambulia kuwa ni fisadi nambari wani - kuwa mgombea urais wa chama. Tangu hapo CHADEMA hakijawahi kuwa na ajenda endelevu jumuishi mbali na kufanya siasa za kudandia dandia matukio tu. Alikinyang'anya chama ajenda muhimu ya mapambano dhidi ya ufisadi, ajenda ambayo ilikipa chama umaarufu mkubwa.
Kama kuna siku CHADEMA itatetereka basi chanzo chake kinaweza kuwa kosa hili la kumuweka Lowassa - japo chama kilipata faida za muda mfupi (mf. wingi wa wabunge na hivyo wingi wa ruzuku)
Vinginevyo jamaa ni mvumilivu na mwenye busara (mf. Maridhiano yake na mama n.k)
View attachment 2762598
Lowasa sahivi bado yupo CHADEMA au CCM?Kosa kubwa la Mbowe ni kumkaribisha Lowassa - mtu ambaye walikuwa wakimshambulia kuwa ni fisadi nambari wani - kuwa mgombea urais wa chama. Tangu hapo CHADEMA hakijawahi kuwa na ajenda endelevu jumuishi mbali na kufanya siasa za kudandia dandia matukio tu. Alikinyang'anya chama ajenda muhimu ya mapambano dhidi ya ufisadi, ajenda ambayo ilikipa chama umaarufu mkubwa.
Kama kuna siku CHADEMA itatetereka basi chanzo chake kinaweza kuwa kosa hili la kumuweka Lowassa - japo chama kilipata faida za muda mfupi (mf. wingi wa wabunge na hivyo wingi wa ruzuku)
Vinginevyo jamaa ni mvumilivu na mwenye busara (mf. Maridhiano yake na mama n.k)
View attachment 2762598
elawa kwamba mtu akishakua bold na yuko sirious huku akiwa very focused, hawezi kukubali umrudishe nyuma kwa kuhoji vitu ambavyo tayari impact yake inaonekana hadharani.Mwenyekiti wa kudumu sultan mbowe ni mjanja mjanja anayemiliki nyumbu za kutosha hapo chadema, chadema nzima hakuna mwenye ujasiri wa kuhoji mapato na matumizi ya chama
Lowasa aliyeweza kumpiga chini Magu!! hadi wakaiba kura!Kosa kubwa la Mbowe ni kumkaribisha Lowassa - mtu ambaye walikuwa wakimshambulia kuwa ni fisadi nambari wani - kuwa mgombea urais wa chama. Tangu hapo CHADEMA hakijawahi kuwa na ajenda endelevu jumuishi mbali na kufanya siasa za kudandia dandia matukio tu. Alikinyang'anya chama ajenda muhimu ya mapambano dhidi ya ufisadi, ajenda ambayo ilikipa chama umaarufu mkubwa.
Kama kuna siku CHADEMA itatetereka basi chanzo chake kinaweza kuwa kosa hili la kumuweka Lowassa - japo chama kilipata faida za muda mfupi (mf. wingi wa wabunge na hivyo wingi wa ruzuku)
Vinginevyo jamaa ni mvumilivu na mwenye busara (mf. Maridhiano yake na mama n.k)
View attachment 2762598
Kihoro alichokipata Magu akaamua kufa!!
Muhuni kabisa!Huyu patriot,
Ni mtu wa maana sana nchini, Lakini pia ni mtu sahihi sana, muhimu mno kwa mustakabali wa amani, utulivu na utangamano miongoni mwa wa Tanzania nchini.
Njia anazopitia, njia anaozoingilia na kutokea kitaifa na kimataifa, ni ishara ya umakini na umuhimu wake kwa Taifa na kimataifa.
Freeman Aikael Mbowe anaaminika na kukubalika si tu ndani ya chama chake, bali pia nje ya chama chake, kitaifa na kimataifa, serikalini na miongoni mwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Licha ya mathila ya kisiasa, manyanyaso, uonevu na ukanadamizwaji alopitia, ni dhahiri mzalendo huyu amesamehe na amesahau. Hahitaji huruma ya mtu awaye yeyote kwa mathila alopitia ili kupata kitu au nafasi kisiasa au kijamii.
Anasonga mbele kuliunganisha Taifa na wenzake walio tayari kwa hilo.
Ni dhahiri mzalendo huyu anaweza kua kitu fulani kikubawa sana nchini Tanzania siku za usoni.
Umustahimilivu wake, Umvumilivu wake, Usikivu wake, Unyenyekevu wake, Subira zake, Kutokukata tama kwake, Kusamehe kwake, kujitolea kwake, Kusamehe kwake, Kutokua mchoyo na kutokua mbinafsi kwake, Utashi na Imani yake kwa Mungu na kwa Tanzania vitamlipa siku si nyingi.
Ni mtu wa kipekee sana na ndie pekee anaweza kuketi chini kujadiliana na kukubaliana wayforward na watesi wake kwa maslahi mapana ya walio wengi.
Keep it Up, stateman Freeman Aikael Mbowe.
Mungu Ibariki Tanzania na Viongozi Wake.
Wewe utakuwa ni mchaga. Bomu hilo liwe hazina?Huyu patriot,