Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,561
- 39,542
Unazusha kwa faida ya nani?Ujana una mengi lazima ujiachie .mbona mimi nilikuwa nakaba watu usikuView attachment 2469985
Unazusha kwa faida ya nani?Ujana una mengi lazima ujiachie .mbona mimi nilikuwa nakaba watu usikuView attachment 2469985
Aliwahi kununua master TDK CassetteTape 90min kupitia mgongo wangu niliyotokanayo nayo UK.Wakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!
Huyu kwenye picha ndiye Mbowe?Ujana una mengi lazima ujiachie .mbona mimi nilikuwa nakaba watu usikuView attachment 2469985
Aliwahi kununua master TDK CassetteTape 90min kupitia mgongo wangu niliyotokanayo nayo UK.Wakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!
Siyo kweliMbowe ni dj mstaafu waulize wazee wako wa mjini ambao ni vijana wa zamani
Unazusha kwa faida ya nani?
Wewe ni mwongo nimecheza sana disco mbowe hotel sikuwahi mwona Freeman akiwa DjMbowe ni dj mstaafu waulize wazee wako wa mjini ambao ni vijana wa zamani
Bwashee uko sahihi KabisaWewe ni mwongo nimecheza sana disco mbowe hotel sikuwahi mwona Freeman akiwa Dj
Tutafute mabraza waliokua wanamuona dogo pale mbowe anasimamia issue za baba yake!!!Nasikia siku moja moja alikua anacheza na santuri!!!Tuwatafute mabraza kama Dj Young milionea atuambie!!!!Nina wasiwasi hata wewe mleta uzi ulikua huijui dar miaka ya 85,s kuja mpaka 92,s!!Wakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!
Bro pale mbowe ulikua unaenda lini na lini??????Ebu tumtafute Slim shaggy au J Kusaga au Dj JD watusaidie hii issue tujueWewe ni mwongo nimecheza sana disco mbowe hotel sikuwahi mwona Freeman akiwa Dj
Niko Dar kitambo sana bwashee, Mbowe hajawahi Kuwa DJTutafute mabraza waliokua wanamuona dogo pale mbowe anasimamia issue za baba yake!!!Nasikia siku moja moja alikua anacheza na santuri!!!Tuwatafute mabraza kama Dj Young milionea atuambie!!!!Nina wasiwasi hata wewe mleta uzi ulikua huijui dar miaka ya 85,s kuja mpaka 92,s!!
Mtoto wa jana anajua nini anataka kujionyesha kuwa analijua jiji mpumbavu huyoWewe ni mwongo nimecheza sana disco mbowe hotel sikuwahi mwona Freeman akiwa Dj
Tunaweka kumbukumbu sawa bwasheeKwani kuwa dj ni kitu kibaya
Nasikia siku moja moja alikua anapiga na mabraza walikua wanamuona wa kishua tu enzi hizo kaacha kazi benki kuu!!!Ebu tumtafute Braza Saydou atusaidie maana yeye mkongwe since 75,s hapa town!!Niko Dar kitambo sana bwashee, Mbowe hajawahi Kuwa DJ
Nawajua madj wa Mbowe hotel tokea akina Kalikali, Patalanks, J bure, Saydou nk
Enzi hizo 1980s nikiendaga Unyaluni pale Soweto club Uwanja wa Saba Saba Dj wetu alikuwa Felician na pale Railway hotel alikuwepo Abdul Msomali na baadae Kusaga
Freeman siyo DJ
Mtaani Freeman alikuwa level ya akina Madaraka na Makongoro isimchukulie poa bwasheeNasikia siku moja moja alikua anapiga na mabraza walikua wanamuona wa kishua tu enzi hizo kaacha kazi benki kuu!!!Ebu tumtafute Braza Saydou atusaidie maana yeye mkongwe since 75,s hapa town!!
Bro uzi unasema alikua dj au hakua DJ?????Sasa tuulize mabraza akina Kalikali au Young milionea ila mimi nadhani jibu kamili analo braza Dj Saydou katika hili!!!Lakini mimi najua siku moja moja Freeman alikua anapiga muziki!!!Au mleta uzi unapenda ligi za kisiasa????Mtaani Freeman alikuwa level ya akina Madaraka na Makongoro isimchukulie poa bwashee
Freeman angekuwa ni mtu wa " misifa" kwa sasa angekuwa Kiongozi mkubwa tu CCM
Hapa JF tunamtania na kumdhihaki kwa sababu Ndio Siasa lakini kwa tunaomjua Jamaa yuko vizuri sana " akilini"
Benki kuu na division zero? Sema alikuwa karani wa kujitolea kupeleka baruaNasikia siku moja moja alikua anapiga na mabraza walikua wanamuona wa kishua tu enzi hizo kaacha kazi benki kuu!!!Ebu tumtafute Braza Saydou atusaidie maana yeye mkongwe since 75,s hapa town!!
Shida ni elimuMtaani Freeman alikuwa level ya akina Madaraka na Makongoro isimchukulie poa bwashee
Freeman angekuwa ni mtu wa " misifa" kwa sasa angekuwa Kiongozi mkubwa tu CCM
Hapa JF tunamtania na kumdhihaki kwa sababu Ndio Siasa lakini kwa tunaomjua Jamaa yuko vizuri sana " akilini"