ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,138
- 2,827
Sana ni aina ya wanaume wachache sana wenye damu ya kina Mandela,kwamenkrumah,samoraMachel,stiv bicco etc etc etc etc.Mungu azidi kumlinda
😀 ndo nini sasa hii
Hakuna kosa lolote lililofanyika kwasababu kuiondoa ccm madarakani kulipaswa zitumuke silaha zozote na usifikiri ni kitu rahisi bila wananchi kuelewa haki zao na nchi kua na katiba mpya inayotoa fursa sawa zakiuongozi.Faida ilipatikana kubwa kwasababu wananchi wanazidi kuelimika na kuunga mkono harakati zakisiasa.Uchaguzi uliopita ulionyesha taswira halisi ila wenye urithi wa nchi wakaamua kuhuaribu.ila majibu yatakuja siku moja kwasababu maisha lazima yandelee kwasababu safari ya mabadiliko sio kitu cha siku moja.Kosa kubwa la Mbowe ni kumkaribisha Lowassa - mtu ambaye walikuwa wakimshambulia kuwa ni fisadi nambari wani - kuwa mgombea urais wa chama. Tangu hapo CHADEMA hakijawahi kuwa na ajenda endelevu jumuishi mbali na kufanya siasa za kudandia dandia matukio tu. Alikinyang'anya chama ajenda muhimu ya mapambano dhidi ya ufisadi, ajenda ambayo ilikipa chama umaarufu mkubwa.
Kama kuna siku CHADEMA itatetereka basi chanzo chake kinaweza kuwa kosa hili la kumuweka Lowassa - japo chama kilipata faida za muda mfupi (mf. wingi wa wabunge na hivyo wingi wa ruzuku)
Vinginevyo jamaa ni mvumilivu na mwenye busara (mf. Maridhiano yake na mama n.k)
View attachment 2762598
Unadhani watu wote wana akili zakushikiwa kama wewe.Wajinga mnajijua,mbwembwe nyingi uku nchi inawashinda kila sekta.Mwenyekiti wa kudumu sultan mbowe ni mjanja mjanja anayemiliki nyumbu za kutosha hapo chadema, chadema nzima hakuna mwenye ujasiri wa kuhoji mapato na matumizi ya chama
Tunajua unamkubali mwamba kimya kimya,hata akikutongoza huwezi kuchomoa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787],ngoja nikubariki na picha yake kwanzaWewe utakuwa ni mchaga. Bomu hilo liwe hazina?
Hapana mimi sio mchaga na sijaoa bado.Wewe utakuwa ni mchaga. Bomu hilo liwe hazina?
well and good, inawezekana kwa jinsi ya uelewa wako dhidi yake.Muhuni kabisa!
Sehemu gani tumeshindwa babu?Unadhani watu wote wana akili zakushikiwa kama wewe.Wajinga mnajijua,mbwembwe nyingi uku nchi inawashinda kila sekta.
Jizi, tapeli, gaidi, findodindowell and good, inawezekana kwa jinsi ya uelewa wako dhidi yake.
To me, this gentlemen is not only the the best but also anafit for a powerful post and higher job in Tz.
haya sawa kwa mtazamaoJizi, tapeli, gaidi, findodindo
point muhimu sana hii💪👌katika figures tulizo nazo kisiasa na kiuongozi KWA SASA, he is the best, hata akisimama kwenye poll ya kugombea urais vs any other, namuona ana points nyingi tu., ni legend kwenye siasa na one of best leaders kutokea hapa tz.
vyama vyote vya upinzani vimetepeta, ila chadema mpaka leo ni headache kwa ccm, MWAMBA KABISA.
Huyu huyu makengeza?Huyu patriot,
Ni mtu wa maana sana nchini, Lakini pia ni mtu sahihi sana, muhimu mno kwa mustakabali wa amani, utulivu na utangamano miongoni mwa wa Tanzania nchini.
Njia anazopitia, njia anaozoingilia na kutokea kitaifa na kimataifa, ni ishara ya umakini na umuhimu wake kwa Taifa na kimataifa.
Freeman Aikael Mbowe anaaminika na kukubalika si tu ndani ya chama chake, bali pia nje ya chama chake, kitaifa na kimataifa, serikalini na miongoni mwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Licha ya mathila ya kisiasa, manyanyaso, uonevu na ukanadamizwaji alopitia, ni dhahiri mzalendo huyu amesamehe na amesahau. Hahitaji huruma ya mtu awaye yeyote kwa mathila alopitia ili kupata kitu au nafasi kisiasa au kijamii.
Anasonga mbele kuliunganisha Taifa na wenzake walio tayari kwa hilo.
Ni dhahiri mzalendo huyu anaweza kua kitu fulani kikubawa sana nchini Tanzania siku za usoni.
Umustahimilivu wake, Umvumilivu wake, Usikivu wake, Unyenyekevu wake, Subira zake, Kutokukata tama kwake, Kusamehe kwake, kujitolea kwake, Kusamehe kwake, Kutokua mchoyo na kutokua mbinafsi kwake, Utashi na Imani yake kwa Mungu na kwa Tanzania vitamlipa siku si nyingi.
Ni mtu wa kipekee sana na ndie pekee anaweza kuketi chini kujadiliana na kukubaliana wayforward na watesi wake kwa maslahi mapana ya walio wengi.
Keep it Up, stateman Freeman Aikael Mbowe.
Mungu Ibariki Tanzania na Viongozi Wake.
Umesajiliwa Jf Sept 13, 2023 ili uje kumtetea Mbowe!!Huyu patriot,

maoni yako ndo yameishia hapo mzee Makojo? sawa lakini nimekuelewaUmesajiliwa Jf Sept 13, 2023 ili uje kumtetea Mbowe!!
Kaa chini ujifunze kwanza bwashee!!! Siku 10 tu ulizokaa humu hazitoshi, HUJAKOMAA.
Wachaga bhana
Hapo kwenye Programme ya PPEya Uingeeza na MBA in Leadership ya Cumbria umechapia. Ungemuacha na hiyo elimu ya Kibaha Sec na Ihungo ingetosha. Hivyo vingine ni sawa na vyeti vya Amazon College ya Buguruni au Paradigm College ya Gongo la Mboto. Not accredired at allFREEMAN AIKAEL MBOWE na CHADEMA
Kwa Hisani ya Martin MM
Freeman Aikael Mbowe alizaliwa tarehe 14.09.1961 katika wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro.
Freeman Aikaeli Mbowe alisoma elimu ya msingi katika shule ya Msingi Lambo na kufanikiwa kufaulu kwenda shule ya Sekondari Kibaha mkoa wa Pwani.
Alipohitimu kidato cha 4 Kibaha Sekondari, alifanikiwa kujiunga na kidato cha 5 IHUNGO Sekondari Manispaa ya Bukoba. Baadae alielekea nchini Uingereza kwa masomo zaidi. Uingereza alisoma programu inaitwa PPE (Politics, Philosophy, and Economics).
Ni programu ambayo ilianzishwa na Uingereza kwa ajili ya watumishi serikalini. Baadaye nchi nyingine kama US na RSA zimeshaanzisha programu hiyo. Kwa UK inatolewa kama first degree tu. Mbowe akamalizia MBA in Leadership & Sustainability kutoka Chuo Kikuu cha Cumbria, UK.
Mambo ya Mbowe, mwisho yatakuja kukuua tu wewe! Hulali, unamuwaza yeye tu. Huna kazi?Kwa Siasa za Tanzania Freeman Mbowe amefikia ukomo kwani chama Cha upinzani hakiwezi kuongoza Nchi hadi tutakapopata Katiba Mpya
Wenzake Mbowe ni Dr Nchimbi, Nape Nnauye, Eng Masauni na Julius Mtatiro Hawa Bado Wana safari ya Kisiasa kuelekea kuongoza Nchi kwa sababu wako CCM
Nafasi pekee aliyobakiza Mbowe ni ile ya kuwa Rais wa Yanga Africa kule hata JK, Ridhiwani, Dr Mwigullu PhD, Mkuchika na Mavunde watampigia kampeni
Ahsanteni Sana [emoji209]
Mkuu ulipataje hili jina Tate mkuu? Au ulitaka kumaanisha Ntate ??Naona Mzee Mgaya ameamka na hangover ya ulanzi.