Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Sijui alikua kitengo gani ila alifanya kazi pale benki kuu kwa mda!!!!Benki kuu na division zero? Sema alikuwa karani wa kujitolea kupeleka barua
Sijui alikua kitengo gani ila alifanya kazi pale benki kuu kwa mda!!!!Benki kuu na division zero? Sema alikuwa karani wa kujitolea kupeleka barua
Wewe umewahi kuombwa kujitolea wapi?Benki kuu na division zero? Sema alikuwa karani wa kujitolea kupeleka barua
Vijana wana dharau wanawaza msabe na bange tuWewe umewahi kuombwa kujitolea wapi?
Acha dharau
yule rais wa madagasca kule mlikoenda kuchua juice mlioita dawa ya COVD ambayo mlikuwa mnai haipo alikuwa nani?Mbowe ni dj mstaafu waulize wazee wako wa mjini ambao ni vijana wa zamani
Posho bado hazitoja?Wakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!
ugolwe munyakaye veveVijana wana dharau wanawaza msabe na bange tu
Ni kawaida yao kupakazia watu majina mabaya kwa sababu wengi huwa hawawezi kujibu hoja kwa hoja !!Wakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!
Niko Dar kitambo sana bwashee, Mbowe hajawahi Kuwa DJ
Nawajua madj wa Mbowe hotel tokea akina Kalikali, Patalanks, J bure, Saydou nk
Enzi hizo 1980s nikiendaga Unyaluni pale Soweto club Uwanja wa Saba Saba Dj wetu alikuwa Felician na pale Railway hotel alikuwepo Abdul Msomali na baadae Kusaga
Freeman siyo DJ
Wewe ni mwongo nimecheza sana disco mbowe hotel sikuwahi mwona Freeman akiwa Dj
Kweli na mama yako alikuwa muuza bar yake
Tujaribu kuwa na mawazo mapana.Kwan ukiwa DJ hauwezi tena kuwa kiongozi wa nchi?Rais wa marekan ,Ronald Reagen alikuwa mcheza sinema maarufu.Lakin alikuja kuwa Rais wa Taifa kubwa la marekani.Kwa hiyokuwa DJ au kuwa. mwanamziki hakuzui uwe kiongoz ni mawazo mgando.Wakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!
Huyu ni Dj Richie Dillion , alafu kuwa DJ haishushi thamani ya mtu! Mbowe mtafutieni utani mwingine, huu kwa sisi wengine tunamuona mjanja! Mliokuja town kwa kimbunga ndio mnaona U DJ ni uhuni.Ujana una mengi lazima ujiachie .mbona mimi nilikuwa nakaba watu usikuView attachment 2469985
Kumbukumbu Safiiii sana..Niko Dar kitambo sana bwashee, Mbowe hajawahi Kuwa DJ
Nawajua madj wa Mbowe hotel tokea akina Kalikali, Patalanks, J bure, Saydou nk
Enzi hizo 1980s nikiendaga Unyaluni pale Soweto club Uwanja wa Saba Saba Dj wetu alikuwa Felician na pale Railway hotel alikuwepo Abdul Msomali na baadae Kusaga
Freeman siyo DJ
Hata angekuwa DJ miaka na mikaka kama ni kiongozi bora ataendelea kuwa kiongozi boraWakati huu ambao Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amebeba jukumu la kuhakikisha Watanzania wanapata Katiba Mpya kwa kushirikiana na Rais wa JMT mh Samia Pamoja na Chama tawala CCM napenda ieleweke Mbowe hajawahi kuwa DJ kama inavyovumishwa na Mataga wengi
Ni hilo tu kwa wale wa Kizazi cha Leo
Heri ya Mwaka Mpya!