Historia ya baada ya Uhuru Tanzania iko vipi?

Julius sasa ina maana hawa Waafrika wenye shule kama hizo za Ulaya wao sio wajinga?

JokaKuu hali mbaya ya 1980-1985 haiwezi kutumika kutetea hii hali mbaya ya 1985-2009:

shulembuyuuuuu.jpg
 
Hahahahahahaaa...kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti sana. Ni wapi nimesema Miafrika Ndivyo Ilivyo? Ukiangalia signature yangu inasema Miafrika Ndivyo Tulivyo. Na kila sehemu nitumiapo hiyo kauli mbiu natumia neno Tulivyo. Sasa unajua na kuelewa tofauti ya neno Ilivyo dhidi ya Tulivyo? Kama hujui sema, usione aibu, nitakujulisha!
Sorry Mkuu
Kumbe nawe umo..welcome to the uafrika.
 
Zakumi,
Mkuu naona unaingiza habari isiyohusu kabisa na badiko la Julius. Wewe unazungumzia sana Maazimio na Policy wakati Julius anazungumzia WATU wenyewe kuwa na Upungufu na mtaji wa AKILI..
Napopingana na Julius naelewa nachozungumza nje kabisa ya uwezo wa mtu mweusi ktk kufikia maendeleo, akiwa na maana zaidi kwamba hata kama tutapewa the best tools ktk maendeleo bado tuta fail kutokana na asili yetu. Wakati napobishana nawe huzingatia zaidi mawazo yako ktk itikadi pinzani kiuchumi.

Changamoto alotoa Julius linahitaji majibu yanayotokana na uwezo wetu kufanya haya pamoja na kwamba tumo ktk Ubepari mzito kuliiko hata ule wa Marekani. Na hii ndio inamsukuma Julius ku question uwezo wetu ikiwa ndani ya Ubepari tumeshindwa hata kuwa na mifano kama hiyo.. Hivyo sababu haiwezi kuwa Companero au Mkandara isipokuwa hata wewe ni mfano bora wa matokeo mabaya ya shule zetu.
 
Julius sasa ina maana hawa Waafrika wenye shule kama hizo za Ulaya wao sio wajinga?

JokaKuu hali mbaya ya 1980-1985 haiwezi kutumika kutetea hii hali mbaya ya 1985-2009:

shulembuyuuuuu.jpg

Companero...you're sick son! Why are you giving me more ammo? Haya hebu tuichanganue hii picha.

Huo mti inaelekea ni mbuyu huo. Cheki ubao. Dizaini umepigiliwa kwa misumari hapo. Sasa cheki ticha alivyochoka. Hivi huyo anaweza ku-impart ujuzi gani kwa hao watoto?

Hebu mcheki huyo dogo hapo kushoto. Sijui attention yake iko wapi maana wenzake wanamuangalia mwalimu wakati yeye kageuka kinyume. Sijui anawaza nini tu hapo. Au labda anamshangaa mpiga picha. I dunno.

Sasa hizo nguo walizovaa sijui ndo sare zao ama vipi. Regardless, inaelekea hazijafuliwa siku nyingi. Na mvua ikinyesha sijui ndo inakuwaje?

I can go on and on but I'll stop. If this pic doesn't break your heart and motivate you to do something, then you don't have a heart but a brick instead.
 
Mlimani iko juu. Harambee tushaitisha. Umeme tumeweka. Tuna Madawati Project. Makompyuta tutayajaza. Watch out this space: http://www.mlimani.org/

1_p7.jpg

banner.jpg

Wangapi kati ya hawa jamaa wako majuu? Kwanza...wait a minute...hii picha imepigwa majuu hii. Why....you may ask? Well, kwanza angalia jamaa walivyokwiva. Bongo mtu huwezi kuiva namna hii. Halafu cheki juu hapo kwenye mlango. Hiyo Exit sign ni tosha ku-suggest kwamba hapo sio bongo. In Bongo you'd be hard pressed to find signs like that.
 
u r not serious right?
1. Kuiva - jamani kumbe kuna hii misconception kuwa kuiva lazima ukae majuu? Ndio maana ukienda majuu watu hawaamnini kuwa mtu unaishi bongo!
2. Exit signs - hii imeniacha mdomo wazi! MBONA HIVI NI VITU VYA KAWAIDA SANA .
WHEN WERE YOU IN BONGO THE LAST TIME MKUU?
 
Now you are talking. What/who triggered the following events:

1. Kuanzishwa kwa sheria mpya ya uwekezaji na kuuzwa kwa Nyara za Taifa mara tu baada ya kupitishwa kwa Azimio la Zanzibar?
2. Kukithiri kwa Rushwa iliyopelekea wafadhali wagome kutoa hela mpaka Ripoti ya Jerry Helleiner na ile ya Jaji Warioba zilipotoka?

Sir I am not a liberal and I don't believe that foreign aid in any form would help the country. Hivyo swala la wafadhili kugomea kutoa hela I think it is time to ask them why the country is still in a huge pile of sh!t despite their enormous contribution.

Kwa maoni yangu rushwa Tanzania was a phenomena. Baada ya kuvunjika kwa Berlin Wall, kukithiri kwa rushwa ilikuwa ni Phenomena kwa nchi zote zilizojaribu kujenga utopian society. Na hata ukiangalia corruption index bado nchi hizi zina-lag behind kwa mambo ya rushwa. Therefore Tanzania wasn't an isolate case.

Rushwa inakuwa katika kiwango cha chini pale nchi inapokuwa na institutions ambazo ni transparent katika matumizi na uongozi. Hizo taasisi hazikuwepo wakati taifa linaziitaji. Kilichokuwepo ni maazimio na sheria tu.
 
u r not serious right?

I am serious.

1. Kuiva - jamani kumbe kuna hii misconception kuwa kuiva lazima ukae majuu? Ndio maana ukienda majuu watu hawaamnini kuwa mtu unaishi bongo!

Call it whatever you want to call it but there is an element of truth in what I'm saying. Ukiangalia picha nyingi za before and after za watu watokao Afrika (weusi) kwenda majuu utaona kuna tofauti katika mwonekano wao. Mara nyingi utaona wanakuwa wamenona na kupendeza wafikapo na kuishi majuu. I don't know if it's the diet, weather, clothes, or whatever but the difference is usually very visible. And I suspect deep down you know it to be the case.

2. Exit signs - hii imeniacha mdomo wazi! MBONA HIVI NI VITU VYA KAWAIDA SANA .
WHEN WERE YOU IN BONGO THE LAST TIME MKUU?

Muda si mrefu uliopita nilikuwa Sengerema, Nyambiti, na Shinyanga mjini na sikuona hizo alama za Exit. Pia nilipitia Singida na Longido na sikuziona. Labda uniambie kuwa hizi sehemu sio bongo. Lakini wewe kama unaongelea Darisalama tu peke yake, here's some newsflash for ya, Dar is only a small fraction of the entire country.
 
I am serious.

Call it whatever you want to call it but there is an element of truth in what I'm saying. Ukiangalia picha nyingi za before and after za watu watokao Afrika (weusi) kwenda majuu utaona kuna tofauti katika mwonekano wao. Mara nyingi utaona wanakuwa wamenona na kupendeza wafikapo na kuishi majuu. I don't know if it's the diet, weather, clothes, or whatever but the difference is usually very visible. And I suspect deep down you know it to be the case.

Muda si mrefu uliopita nilikuwa Sengerema, Nyambiti, na Shinyanga mjini na sikuona hizo alama za Exit. Pia nilipitia Singida na Longido na sikuziona. Labda uniambie kuwa hizi sehemu sio bongo. Lakini wewe kama unaongelea Darisalama tu peke yake, here's some newsflash for ya, Dar is only a small fraction of the entire country.

Honestly ulitegemea exit signs uzione Mipa- Shinyanga?!
Hiyo picha hakika haikupigwa Longido.Hata majuu kuna maeneo utashangaa maana ombaomba wapo na uchafu uliokithiri..,siyo kila kitu ni tambarare eti.
 
Julius,

Uki employ set theory na logic vis a vis exit sign na Tanzania argument yako itashindwa kirahisi sana. Labda useme mengine.
 
Honestly ulitegemea exit signs uzione Mipa- Shinyanga?!
Hiyo picha hakika haikupigwa Longido.Hata majuu kuna maeneo utashangaa maana ombaomba wapo na uchafu uliokithiri..,siyo kila kitu ni wadiri eti.

Kama mimi Julius niliyezaliwa Ntuzu na baadaye kuja majuu na nina do okay, sembuse watu waliozaliwa majuu? Huku majuu mtu maisha yakikushinda basi wewe hata ungezaliwa wapi maisha yangekushinda tu.

Na tofauti ya majuu na Afrika ni kwamba majuu wanajali sana watu wao. Kwa mfano, majuu kuna mi homeless shelters kibao. Ukiwa homeless na huna sehemu ya kula, tafuta homeless shelter na food bank kitu na boksi. Utalala na utakuwa bure.

Majuu kuna welfare. Kuna low income housing. Kuna social security disability. Yaani kuna huduma lukuki kwa ajili ya watu waiojiweza. Sasa wewe Vera unataka kulinganisha majuu na Afrika? Vera please....

NB: Halafu kwa nini nisitegemee kuona Exit signs Mipa? Kama Exit signs ziko Tuscaloosa, Alabama na Hollywood, California, kwa nini zisiwe Dar na Mipa?
 
Julius,

Uki employ set theory na logic vis a vis exit sign na Tanzania argument yako itashindwa kirahisi sana. Labda useme mengine.

Bhebhe nang'ho ginehe shi? Nani uguwelaga ahenaha duliyombela ma theory? Hapa tunazungumzia real life in the real world. Siyo kila kitu lazima ukichanganue kwa kutumia mi theory bana.....
 
Zakumi,
Mkuu naona unaingiza habari isiyohusu kabisa na badiko la Julius. Wewe unazungumzia sana Maazimio na Policy wakati Julius anazungumzia WATU wenyewe kuwa na Upungufu na mtaji wa AKILI..
Napopingana na Julius naelewa nachozungumza nje kabisa ya uwezo wa mtu mweusi ktk kufikia maendeleo, akiwa na maana zaidi kwamba hata kama tutapewa the best tools ktk maendeleo bado tuta fail kutokana na asili yetu. Wakati napobishana nawe huzingatia zaidi mawazo yako ktk itikadi pinzani kiuchumi.

Changamoto alotoa Julius linahitaji majibu yanayotokana na uwezo wetu kufanya haya pamoja na kwamba tumo ktk Ubepari mzito kuliiko hata ule wa Marekani. Na hii ndio inamsukuma Julius ku question uwezo wetu ikiwa ndani ya Ubepari tumeshindwa hata kuwa na mifano kama hiyo.. Hivyo sababu haiwezi kuwa Companero au Mkandara isipokuwa hata wewe ni mfano bora wa matokeo mabaya ya shule zetu.

I'm a little bit stupid here, please enlight me Sir. Kwani maazimio na policies ni products za watu au zinashuka kutoka mbinguni.

Kama zitakuwa ni products za watu basi nitakuwa inline na yale anayosema Juli.

Kuhusu ubepari: Kama anavyosema Noam Chomsky hauwezi ku-survive kwa wenyewe. Hivyo Tanzania sio nchi ya kibepari. Na kama ingekuwa, tayari mngepigana mapanga.
 
Kama mimi Julius niliyezaliwa Ntuzu na baadaye kuja majuu na nina do okay, sembuse watu waliozaliwa majuu? Huku majuu mtu maisha yakikushinda basi wewe hata ungezaliwa wapi maisha yangekushinda tu.

Na tofauti ya majuu na Afrika ni kwamba majuu wanajali sana watu wao. Kwa mfano, majuu kuna mi homeless shelters kibao. Ukiwa homeless na huna sehemu ya kula, tafuta homeless shelter na food bank kitu na boksi. Utalala na utakuwa bure.

Majuu kuna welfare. Kuna low income housing. Kuna social security disability. Yaani kuna huduma lukuki kwa ajili ya watu waiojiweza. Sasa wewe Vera unataka kulinganisha majuu na Afrika? Vera please....

Julius... usemacho ni kweli lakini pia kubali kuwa mifumo ya social security ni tofauti.Majuu kweli systems rasmi za serikali zipo na zinafanya kazi kutegemeana na kodi za wananchi ...Afrika sytems zilizopo ni zile za kifamilia - social support thru extended family bado zinafanya kazi japo polepole ubinafsi unaanza kutawala.Afrika ukifulia unaweza kukimbilia kwa mjomba ukajihifadhi.Majuu ukifulia ndio hivyo tena uanza kufuata food stamps na kulala kwenye nyumba za homeless - kwa mwafrika hii ni noma lol!
 
Lipi bora? Kufulia na kukimbilia kwa mjomba au shangazi na ku risk kunyanyaswa na kusimangwa au kuchukua food stamps na SSI kila mwezi zinazotumwa kwenye mail?
 
Bhebhe nang'ho ginehe shi? Nani uguwelaga ahenaha duliyombela ma theory? Hapa tunazungumzia real life in the real world. Siyo kila kitu lazima ukichanganue kwa kutumia mi theory bana.....

Tatizo unafikiri theory ni "academic" na "unreal"

Hata ukitaka kuhesabu una maembe mangapi unatumia "number theory" sasa unataka kusema "number theory" ni "academic" na "unreal" ?

Mimi nilitaka kukuonyesha kwamba hata ukitaka kwenda kwenye basics, hilo swala la "Tanzania hakuna exit sign ni rahisi sana kulionyesha kama fallacy.

Na ingawa overtheorizing si nzuri, hususan kama mtu ana fanya some highfallutin hyperboles, lakini there is also such a thing as undertheorizing pia.
 
Lipi bora? Kufulia na kukimbilia kwa mjomba au shangazi na ku risk kunyanyaswa na kusimangwa au kuchukua food stamps na SSI kila mwezi zinazotumwa kwenye mail?

Companero anaita kukimbilia kwa mjomba au shangazi ni Ujamaa.
 
Lipi bora? Kufulia na kukimbilia kwa mjomba au shangazi na ku risk kunyanyaswa na kusimangwa au kuchukua food stamps na SSI kila mwezi zinazotumwa kwenye mail?
Yote mbaya tu.
Unajua kwa vile tunaongelea historia, tusisahau pia kuwa hili swala la insecurity nalo limechangia sana kuongeza ufisadi kwa maana mtu anajihami mpaka anapitiliza inakuwa siyo kujihami tena bali ulafi.
Nashukuru umeleta hii dimension maana huenda tunaweza kuichambua zaidi kama sehemu ya historia yetu.
 
Tatizo unafikiri theory ni "academic" na "unreal"

Hata ukitaka kuhesabu una maembe mangapi unatumia "number theory" sasa unataka kusema "number theory" ni "academic" na "unreal" ?

Mimi nilitaka kukuonyesha kwamba hata ukitaka kwenda kwenye basics, hilo swala la "Tanzania hakuna exit sign ni rahisi sana kulionyesha kama fallacy.

Na ingawa overtheorizing si nzuri, hususan kama mtu ana fanya some highfallutin hyperboles, lakini there is also such a thing as undertheorizing pia.

Dude, mimi nilikuwa naongea casually tu hapa. Sikumaanisha na sikusema Tanzania nzima hakuna hata Exit sign hata moja. Ningekuwa nimesema hivyo na wewe au Vera kunionyesha hata moja tu, tayari mnge defeat nilichosema. Pointi yangu ilikuwa, Tanzania sehemu nyingi hazina hizo alama. Haina maana alama hazipo kabisa. Siyo kila lazima tukijadili kama tuko darasani tukizifukuzia A.Tunapiga stori tu hapa.
 
Back
Top Bottom