Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Dude, mimi nilikuwa naongea casually tu hapa. Sikumaanisha na sikusema Tanzania nzima hakuna hata Exit sign hata moja. Ningekuwa nimesema hivyo na wewe au Vera kunionyesha hata moja tu, tayari mnge defeat nilichosema. Pointi yangu ilikuwa, Tanzania sehemu nyingi hazina hizo alama. Haina maana alama hazipo kabisa.
Babu, siyo kila lazima tukijadili kama tuko darasani tukizifukuzia A.Tunapiga stori tu hapa.
Is that so?