Historia ya baada ya Uhuru Tanzania iko vipi?

kibaya zaidi watoto wa kizazi hiki cha dot.com sijui kama hata hizi historia za akina Mkwawa, warugaruga, majimaji rebellion wanazijua!
Mimi nataka kujua zaidi contemporary history tena kwenye maelezo mepesi ya kuvutia...yakiwa na nyama na juices lol.
 
Camarade, the problem is not writting, wameandika sana tena extensively, tatizo vitabu havipatikani, natafuta kitabu a short history of tanzania by kimambo lakini dukani hakuna.

Kwa ajili ya kutojua historia ya nchii hii na dunia kwa ujumla wengi wetu tunakwenda kichwa kichwa tu, lakini ukiangalia makosa waliofanya mababu zetu enzi hizo tutakuwa makini sana kwenye kila kitu.

I salute the academicians and i have very high respect on them let the books be distributed and people be encouraged to read them and when they see how colonialism came to our country and what the leaders are doing, at least now, the hatred to the so called chama itazidi. I swear.

Mkuu umeiweka vizuri sana, na nina imani hata VC issue yake ni kuwa matukio na watu wake hayaenziwi ipasavyo. kumbuka wenzetu waliendelea hata mkwenye mpira unaambiwa kijana alizaliwa lini, alicheza mechi ya kwanza lini alifunga goli la tano lini... au unaambiwa n mji fulani ulipata matukio lini uwanja ulifunguliwa lini, mechi ya kwanza ilichezwa vipi nk

Tuje kwenye simple example, uwanja mpya wa taifa ulifungiliwa lini na tukio la kwanza kubwa lilikuwa lipi na watu wangapi waliingia au goli la kwanza lilifungwa na nani nk.

Uamsho wa VC kweli unahitaji kazi ya ziada na ni lazma tuiweke vichwani
 
kibaya zaidi watoto wa kizazi hiki cha dot.com sijui kama hata hizi historia za akina Mkwawa, warugaruga, majimaji rebellion wanazijua!
Mimi nataka kujua zaidi contemporary history tena kwenye maelezo mepesi ya kuvutia...yakiwa na nyama na juices lol.

Contemporary History:

1991: Kupitishwa kwa Azimio la Zanzibar
1992: Kuuzwa kwa Loliondo kwa Mwekezaji
1993: Kuongezeka kwa Migomo ya Walimu
1994: Kutingishwa kwa Kiberiti cha Muungano
1995: Kuibwa kwa Kura nyingi za Wazanzibari
 
Haswaaa!
Sasa hebu tuanze kuangalia dondoo moja baada ya nyingine tuweke nyama na mchuzi wake...hata kama ni kwa kifupi - tujue ni katika muktadha gani, kipindi gani hasa, wahusika akina nani, issue zilikuwa nini..etc etc....
mwaga points basi mkuu maana darasa ndio linaanza.
 
Contemporary History:

1991: Kupitishwa kwa Azimio la Zanzibar
1992: Kuuzwa kwa Loliondo kwa Mwekezaji
1993: Kuongezeka kwa Migomo ya Walimu
1994: Kutingishwa kwa Kiberiti cha Muungano
1995: Kuibwa kwa Kura nyingi za Wazanzibari

this is good mkuu
1984: Kumpotez Sokoine
1985: smooth transition of leadership
1994: kufutwa kwa JKT
1994: Wanafunzi wa vyuo vikuu kuanza kuchangia elimu hiyo
1999: kumpoteza muasisi wa taifa
 
Wakuu Companero na MTM
aSANTE KWA TIMELINES mlizotoa... hebu tuendelee kupata zaidi kutoka kwa wengine na hatimaye tuanze kuangalia yaliyomo kama yamo.
 
kibaya zaidi watoto wa kizazi hiki cha dot.com sijui kama hata hizi historia za akina Mkwawa, warugaruga, majimaji rebellion wanazijua!
Mimi nataka kujua zaidi contemporary history tena kwenye maelezo mepesi ya kuvutia...yakiwa na nyama na juices lol.

Shule wanazosoma, St. something, hazina mtaala wa historia ya Tanzania ya kweli,wakitoka shule wenye bahati channel za tv za muziki, au redio muziki na matangazo ( ya kondom na bia for that matter) 24/ 7, taarifa ya habari hawasikilizi, hawajui elimu ya uraia, redio ya taifa iko busy na masuala ya biashara afadhali enzi za mwalimu ukulima wa kisasa, shule zilikuwa na vipindi vya elimu sijui vipo enzi, hivyo twaviita broadcasting, wakati wa kazi etc vipindi educative kibao.

Sasa hivi maisha plus, boda boda n.k inasaidia nini watanzania, nadhani haya yote pamoja na kutokuwa na history ya nchi ni calculated moves kuwafanya vijana wajue wametoka wapi, wapo wapi na wanaenda wapi.
 
Umenena Mkuu,
Ukute na wazazi wenyewe nao hawana muda na historia ya nchi yao..basi itafika mahali Watz hawajui tena historia wala jiografia ya nchi yao.
It is sad!
 
this is good mkuu
1984: Kumpotez Sokoine
1985: smooth transition of leadership
1994: kufutwa kwa JKT
1994: Wanafunzi wa vyuo vikuu kuanza kuchangia elimu hiyo
1999: kumpoteza muasisi wa taifa

Umesahau yafuatayo with no chronological order, kufutwa kwa Azimio la Arusha, Kilimo Kwanza, kubadili sheria ya madini na kukaribisha wageni kuchukua rasilimali zetu, CUF kumtambua karume, vurugu za Zanzibar, enzi za Salmini, Kuchafuka kwa hali ya hewa, tume ya richmond na kujiuzulu kwa PM, Mawaziri na wabunge kutukanana, vyeti feki vya mawaziri ( very important in what will happen 10 years ahead), kesi ya mikatiba ya madini iliyofunguliwa, etc, etc
 
Umenena Mkuu,
Ukute na wazazi wenyewe nao hawana muda na historia ya nchi yao..basi itafika mahali Watz hawajui tena historia wala jiografia ya nchi yao.
It is sad!

Najiuliza tunafanya nini na tunakwenda wapi, machozi yananitoka na hapo ndipo napomkumbuka Rev. Kishoka.A country without history is not worth its name.
 
Futa machozi maana we are already on the right path.... we are doing something that will save our children from the calamity of loosing their worth.Kumbuka kila safari ya mile 1000 huanza na hatua moja tu.
 
Ninamkumbuka sana Mama Lucy.S.Lameck ambaye alikuwa miongoni mwa Wabunge wa Kwanza Wanawake kuingia katika Bunge mwaka 1961,Mbunge Mwingine alikuwa ni Bibi Titi Mohamed.Mbunge Lameck pamoja na mabo mengine aliwahi pia kuwa naibu Waziri na Mtetezi Mkubwa wa Haki za Wanawake katika wakati huo ambao uwakilishi wa akina Mama ulikuwa mdogo mno.

Katika Kikao cha Bunge cha April/1970 Kuhusu Muswada wa Sheria za Ndoa...Mama Lameck alidai wanawake nao wapewe nafasi ya kuchagua/kuoa wanaume wengi kama ilivyo wanaume...kipindi hicho Mama Lameck alikuwa Mbunge wa Kilimanjaro Central,Bunge la wakati huo lilikuwa na wanaume 179 na wanawake 7 tu.Mama Lameck alizaliwa Mkoani kilimanjaro mwaka 1959.

Kwa kuukumbuka mchango wa Mama Lameck,Jiji la Dar-es-Salaam limeupa Mtaa mmoja huko Mikocheni B,Jina la Lucy Lameck.

Pamoja na Mama huyo Wanawake wengine wa mwanzo katika siasa za Tanzania baada ya uhuru ni;

Bibi Titi Mohamed.

Sophia Kawawa.

Julie Manning

Lily Monze.
 
Asante sana Mkuu kwa kutukumbusha wakongwe wa historia hasa wanawake.
Naomba kupata uhakikishio kuhusu tarehe ya kuzaliwa Lucy Lameck maana nasita kukubali kuwa alizaliwa 1959.Au unamaanisha 1949 au 1939?Nasema hivi kwa sababu Tanganyika ilipata uhuru 1961 na ni kipimdi ambacho mama Lucy na bibi Titi Mohamed walishakuwepo kwenye harakati na hata kuweza kupewa nyadhifa mbalimbali.Sheria ya Ndoa ambayo mama Lucy aliichangia ilipitiswha 1971 haiwezekani huyu mama (RIP) akiwa na umri wa miaka 12 awe tayari Mbunge!
 
Jamani ina maana matukio mengi yanahusiana na siasa tu? hawa watoto wetu tutawaonyesha nini five years from now?? Yaani nimejaribu hata ku-google some national memento, na calendar nk kweli tuna hali ngumu

Maana tumeanza na kubomoa historical buildings yaani ndio tunamaliza kabisa histoiry

BTW (sorry off point though), kuna yale makaburi mawili barabara ya kutoka inringa kwenye mafinga yako upande wa kulia ambapo hata tanesco wameyapisha wanasema umeme hauwaki wakipitisha juu yake... ni ya nani?? ile ni baadhi ya ingredients za history kama tutaestablish ukweli wake... Halafu kuna ule mlima ****** ukiwa unatoka arush kwenda namanga (kabla hujafika monduli)
 
Una maana makaburi ya familia ya Kiyeuyeu?
Mlima upi huo MTM uliouwekea nyota?
 
Nadhani ndiyo hayo makaburi yapo mawili... one can wrtie a good history kuanzia enzi hizo hadi leo ile family ikoje na nafasi yao kwenye jamii

Huo mlima tuuache una shepu ya ajabu mbele ya ngarmtoni kama unaelekea longido
 
ZA10..NA ndio sababu haswa ninataka kujua zaidi.
Lete story!

Kipindi hiki White liberals ambao walitaka kufuta makosa ya wazungu kwa nchi za ulimwengu wa tatu walianzisha sera za kutoa misaada na mikopo kwa nchi masikini.

Mikopo ili-set fire policies and projects that were poorly funded, unsustainable, unmanageable, and above all unprofessionally executed.

Matokeo: Madeni makubwa kuliko kipato cha nchi, Umasikini wa kutupwa, kuuzwa kwa natural resources kwa bei ya kutupwa, watu wengi wanaojua kusoma na kuandika lakini wanazungumza BS kila siku, watu kutegemea serikali kutatua matatizo yao, authoritarian and autocrat regimes, and many more.

Hivyo kuhusu michango ya kihistoria, wakina Companero wana-invent tu lakini hakuna cha maana zaidi ya kuchapana virugu.
 
Jamani ina maana matukio mengi yanahusiana na siasa tu? hawa watoto wetu tutawaonyesha nini five years from now?? Yaani nimejaribu hata ku-google some national memento, na calendar nk kweli tuna hali ngumu

Maana tumeanza na kubomoa historical buildings yaani ndio tunamaliza kabisa histoiry

BTW (sorry off point though), kuna yale makaburi mawili barabara ya kutoka inringa kwenye mafinga yako upande wa kulia ambapo hata tanesco wameyapisha wanasema umeme hauwaki wakipitisha juu yake... ni ya nani?? ile ni baadhi ya ingredients za history kama tutaestablish ukweli wake... Halafu kuna ule mlima ****** ukiwa unatoka arush kwenda namanga (kabla hujafika monduli)

The only country in the world ambayo haina new City na Old City. Nchi zingine zinakuwa proud na historia yao. Jamani CBD ya Dar ya enzi hizo inakwisha polepole architecture ya kiarabu inatoweka, ya kijerumani, kiingereza na kihindi haipo ni nyundo kwenda mbele na kuweka vioo.
 
Asante sana Mkuu kwa kutukumbusha wakongwe wa historia hasa wanawake.
Naomba kupata uhakikishio kuhusu tarehe ya kuzaliwa Lucy Lameck maana nasita kukubali kuwa alizaliwa 1959.Au unamaanisha 1949 au 1939?Nasema hivi kwa sababu Tanganyika ilipata uhuru 1961 na ni kipimdi ambacho mama Lucy na bibi Titi Mohamed walishakuwepo kwenye harakati na hata kuweza kupewa nyadhifa mbalimbali.Sheria ya Ndoa ambayo mama Lucy aliichangia ilipitiswha 1971 haiwezekani huyu mama (RIP) akiwa na umri wa miaka 12 awe tayari Mbunge!

Asante Vera.. Mama Lameck alizaliwa mwaka 1939 na sio 1959.Nashukuru tena kwa masahihisho yako.samahani sana kwa usumbufu wowote uliosababishwa na bandiko langu.
 
Nadhani ndiyo hayo makaburi yapo mawili... one can wrtie a good history kuanzia enzi hizo hadi leo ile family ikoje na nafasi yao kwenye jamii

Huo mlima tuuache una shepu ya ajabu mbele ya ngarmtoni kama unaelekea longido

Ina maana jina la mlima huo halitamkiki? ninauona huo mlima lakini sikumbuki jina...
mlima wenye historia ni ule ulioko Loliondo Oldonyo Lengai au Mlima wa Mungu kama wanavyouita wamaasai.Huu ulikuwa inactive volcano lakini ukalipuka 2007-08... na madhara yake nadhani wengi tuliyasikia.
 
Back
Top Bottom