Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 3,772
- 4,913
Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali
Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni
Umaskini na njaa
Kodi kubwa
Kokosekana Kwa haki na usawa
Kuupuuza matatizo ya wananchi
Kwa upande wa kiongozi wa uingereza sababu kuu ni kutaka kutawala PEKEE bila kufuata ushauri wa bunge la wakati huo .
Kwa kifupi hakutaka upinzani wowote nchini kwake .
Wananchi wakamwibukia mwisho akanyongwa kikatili .
Kwa upande wa urusi Tsar alipigwa Risasi na watoto wake , na sababu kuu ilikuwa kukataa mabadiliko ya wakati ule
WAswahili wanasema historia Huwa Ina tabia ya kujirudia