Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

Tatizo anaogopaogopa mtoto mwenyewe

jaman unajua ile ingine uliikatisha
ikawa sawa na ku........ dole afu usi ni ..........
na sasa hii tena utamm unakuja utam unakata............lol!!
 
Zote zinaendelea..hakuna story niliyokatisha..
Trust me..
 
Mdharuba: big up you are tallented keept it up

Changamoto naiona kwenye idadi ya wahusika wamekuwa wengi MNO inapunguza ladha ya story yako maana kila episode una ongeza wahusika wapya kiasi Cha msomaji kushindwa kuwa na mtiririko MZURI

Umenena vyema mkuu,wahucka ni wengi pia na majina yao ni magumu
 
Mdharuba: big up you are tallented keept it up

Changamoto naiona kwenye idadi ya wahusika wamekuwa wengi MNO inapunguza ladha ya story yako maana kila episode una ongeza wahusika wapya kiasi Cha msomaji kushindwa kuwa na mtiririko MZURI

Mkuu kwangu mimi sioni kama ni tatizo characters kuwa wengi, just assume kama unaangalia movie, maana kuna main characters ambao wapo kuda wote na wale ambao wanakuja na kupotea. Kinachohitajika ni umakini tu. Jamaa kaamua kuwa tofauti which is good thing.

Hadithi nimeipenda kwa kweli.
 
Umenisaidia sana..asante..haya maelezo ningeyatoa mimi nisingeeleweka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom