Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

asante Mdharuba, huduma yako ni njema. Kwahiyo wiki ijayo ni mfululizo kama maji yanavyotiririka bombani. Nitakupenda zaidi mkuu Mdharuba.
 
asante Mdharuba, huduma yako ni njema. Kwahiyo wiki ijayo ni mfululizo kama maji yanavyotiririka bombani. Nitakupenda zaidi mkuu Mdharuba.

Yaanii wala uctie shaka, hadi utazichoka!!. Kwakwel ww Nipende tu
 
nimeanza jana kusoma episode ya kwanza hadi ya mwisho ni nzuri sana.

kwa hiyo huwa inawekwa muda gani?
 
Asante sana mdharuba..
Mwaga mambo mwaga mambo.
 
Poa mdharuba umeeleweka kiongozi ..mtihani mwema...sema usigelezee.
 
TAARIFA:
Saikolojia inatuambia kuwa ”Ikibidi wasubiri, basi wajulishe kuwa unajua wanakusubiri”.
Hivyo basi nafahamu kuwa mnasubiri, na mimi natoa taarifa rasmi kuwa najua mnanisubiri.

Panapo uzima, nitarudi hapa tarehe 15/07/2015 kwa ajili ya Episode 24 na zinazoendelea.. Save the date.
Watu wengi sana wamekua wakiniulizia kuwa episode zimeisha? Au ni vipi?? Nadhani nilishatoa sababu kuwa ni UE tu, nothing else,, Asanteni kwa uvumilivu wenu..
Dua zenu pia ni muhimu ili nikamilishe salama safari ya Bachelor.
Nice moment..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom