Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

Kweli. TLP, UDP, NRA, TADEA na CUF wamejenga taasisi imara zaidi. Na CCM wao walijengewa na serkali wakati wa chama kimoja. Watu wajinga siyo wa kubishana nao. Wakubalie tu ujinga wao ili wajisikie vizuri.
CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka!
 
Back
Top Bottom