Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

Kila anayeteuliwa anachanganyikiwa fasta [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Juzi wakati Mheshimiwa Waziri wa ndani akihutubia maafisa wa juu wa vyombo vya ulinzi aliwauliza ni wangapi wana ilani ya chama na wanyooshe juu.

Wakabaki kutazamana tu kila mtu anamuangalia mwenzake.

Hivi jamani Afisa wa polisi, magereza, uhamiaji au zimamoto anatakiwa kutembea na Ilani ya chama?

Maana kwa mujibu wa katiba wao wanatumia sheria ya kulinda serikali na wananchi bila kufuata ilani yoyote.

Je, huyu waziri anajua majukumu ya jeshi au ndio utaratibu Mpya?

Alloooo!!!!!!!
 
Ilani ya chama ndiyo imeeleza namna gani masuala ya ulinzi yatafanyika, humo ndimo kuna nyumba za askari, uboreshaji wa miundombinu ya vyombo vyetu vya ulinzi,vitendeakazi vya majeshi nk. Pia kumbuka serikali ni ya ccm na ndio inayopamga ,matumizi ya bajeti ambayo inapitishwa na bunge. Je kama wakuu wa vyombo vya ulinzi hawana ilani inayopangiwa bajeti, watatekelezaji majukumu yao?
Hahaha acha vituko wewe

Ndiyo maana mkapa anampa jamaa ushauri wa kipuuzi kwasababu anajua wapuuzi mko wengi
 
Lazima watekeleze sera ya CCM katika ulinzi na usalama
 
Mwanajeshi anaongozwa na sheria za nchi sio ilani mkuu.
Mambo ya ilani ni kwa watoa huduma za kijamii na wala sio massuala ya kulinda nchi. Nihatari sana wanajeshi kuanza kutembea na Ilani la sivyo hakutakuwa na usawa.
Sasa huyu mvaa mabendera anamsweka askari rumande akimkuta hatembei na ilani ya ccm
 
Juzi wakati Mheshimiwa Waziri wa ndani akihutubia maafisa wa juu wa vyombo vya ulinzi aliwauliza ni wangapi wana ilani ya chama na wanyooshe juu.

Wakabaki kutazamana tu kila mtu anamuangalia mwenzake.

Hivi jamani Afisa wa polisi, magereza, uhamiaji au zimamoto anatakiwa kutembea na Ilani ya chama?

Maana kwa mujibu wa katiba wao wanatumia sheria ya kulinda serikali na wananchi bila kufuata ilani yoyote.

Je, huyu waziri anajua majukumu ya jeshi au ndio utaratibu Mpya?

Alloooo!!!!!!!
Hichi ni kituko chengine nacho, Huyu ni tawi jengine style ya Bashite mkulu amejitengenezea...inasikitisha kwa kweli Tanzania sijui tunapelekwa wapi!
 
Juzi wakati Mheshimiwa Waziri wa ndani akihutubia maafisa wa juu wa vyombo vya ulinzi aliwauliza ni wangapi wana ilani ya chama na wanyooshe juu.

Wakabaki kutazamana tu kila mtu anamuangalia mwenzake.

Hivi jamani Afisa wa polisi, magereza, uhamiaji au zimamoto anatakiwa kutembea na Ilani ya chama?

Maana kwa mujibu wa katiba wao wanatumia sheria ya kulinda serikali na wananchi bila kufuata ilani yoyote.

Je, huyu waziri anajua majukumu ya jeshi au ndio utaratibu Mpya?

Alloooo!!!!!!!
Yani naamini mpk dakika hii Rais anajuta kumteua huyo mzee,amebugi sana.....dingi hajiwezi kabisa
 
Hata mm Nahisi tabu sana, embu fafanua ilani ya chama kwa wanajeshi ikoje mpaka watembee nayo kama katiba!!
Hujaambiwa kutembea nayo bwana mbona mnapenda sana kubadili maneno.....ila kazi zao zipo ambazo wanatakiwa kufuata ilani ya CCM kwasababu kuna mambo yaliyoainishwa mle ili kuyatekeleza.Liko wazi tu kuhusu ulinzi na usalama wa nchi pamoja na GO walizonazo.
 
Hakuna ilani inayo define UPYA majukumu ya kila siku ya jeshi la polisi. Kama kuna mapya/maboresho(kutoka kwenye ilani) juu ya uendeshwaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara yake, yatakuwa reflected kwenye sheria zilizopitishwa na bunge. Ukiacha ushamba na maono mafupi, akisi nyingine iliyowazi kwa wananchi ni kwamba huyu kiongozi wa umma atatenda zaidi kwa kupendelea waumini wa hicho kijitabu cha kijani,ambacho ungetegemea kukiona zaidi kwa kina Pole pole!
Naona unatumia nguvu nyingi kupinga taratibu na sheria za nchi....Serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya CCM baada ya uchaguzi wa mwaka 2015....sasa sijui unaongea nini na unapinga nini.
 
Juzi wakati Mheshimiwa Waziri wa ndani akihutubia maafisa wa juu wa vyombo vya ulinzi aliwauliza ni wangapi wana ilani ya chama na wanyooshe juu.

Wakabaki kutazamana tu kila mtu anamuangalia mwenzake.

Hivi jamani Afisa wa polisi, magereza, uhamiaji au zimamoto anatakiwa kutembea na Ilani ya chama?

Maana kwa mujibu wa katiba wao wanatumia sheria ya kulinda serikali na wananchi bila kufuata ilani yoyote.

Je, huyu waziri anajua majukumu ya jeshi au ndio utaratibu Mpya?

Alloooo!!!!!!!
Acha uwongo wako ndugu mtoa mada.....nakumbuka Waziri aliwauliza nani ana mpango kazi yaani work plan ambayo inatokana na kilichoahidiwa ndani ya Ilani ya CCM na wala hawakuulizwa kuwa nani ana Ilani.Tusibadili maneno
 
Back
Top Bottom