Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

Ilani ya chama ndiyo imeeleza namna gani masuala ya ulinzi yatafanyika, humo ndimo kuna nyumba za askari, uboreshaji wa miundombinu ya vyombo vyetu vya ulinzi,vitendeakazi vya majeshi nk. Pia kumbuka serikali ni ya ccm na ndio inayopamga ,matumizi ya bajeti ambayo inapitishwa na bunge. Je kama wakuu wa vyombo vya ulinzi hawana ilani inayopangiwa bajeti, watatekelezaji majukumu yao?
Sheria zilizotungwa kutokana na katiba ndizo zina mwelekezo wa uendeshaji wa hayo majeshi yote siyo ilani ya CCM. Na katiba ni ya wananchi wote siyo wanachama wa CCM. Ndiyo maana tunahitaji katiba iliyo bora. Nyinyi CCM mnafikiri kila kitu cha nchi hii ni cha CCM. Ni ujinga wa hali ya juu na huyu waziri wenu wa mambo ya ndani ni mpuuzi pia. Ameulizwa swali la kupotea mwandishi wa habari yeye kajibu utumbo mtupu.
 
Hujaambiwa kutembea nayo bwana mbona mnapenda sana kubadili maneno.....ila kazi zao zipo ambazo wanatakiwa kufuata ilani ya CCM kwasababu kuna mambo yaliyoainishwa mle ili kuyatekeleza.Liko wazi tu kuhusu ulinzi na usalama wa nchi pamoja na GO walizonazo.
mfano............... (twende taratibu) kipi kipya kwao kwenye hiyo ilani katika majukumu yao ambacho hakipo kwenye KATIBA MPAKA WAANZE kubeba ilani. Tusidanganyane WAO HAWAWAJIBIKI KWA ILANI. NDIO MANA HAWANA siasa jeshini. Mambo ya ilani ni siasa pure.
 
Kangi atakoma na aina ya mavazi yake na matamko ..atakua kituko wa karne!
Kaenda kuchana chana bendera ya taifa na kuifanya ndiyo mifuko ya suti yake lakini kwa kutojua kajikuta kaigeuza kichwa chini. Nyerere mwenye chama hakuwa anatembea na ilani ya chama wala hakuzikwa nayo sasa huyo wa kukurupuka ndio anajifanya mkereketwa eti azikwe nayo. Ili iweje akaihubiri kuzimu? Nyerere alikuwa anatembea na kitabu cha Azimio la Arusha na Biblia siyo ilani ya chama. Kesha chemsha na matamko yake mara bodaboda eti ziwe pulling ili kupunguza ajali. Jamani! Mbona kazi kubwa mwaka huu. Wapiga kelele wameongezeka tulikuwa dab sasa kaja ninja wa kuchongwa
 
Sasa huyu mvaa mabendera anamsweka askari rumande akimkuta hatembei na ilani ya ccm
mkumbusheni kuwa ILANI ni siasa (mikakati ya kisiasa) na JESHINI HATUNA SIASA ni KUTII sheria za kijeshi na jukumu lililopewa na KATIBA ya nchi (sio mikakati ya kisiasa ama ilani)
 
Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

UTAPATA TAABU SANAAAAAA
Hahahaha wewe jamaa eti ndo ulisema unafanya kazi kwenye mashirika ya UN hahaha
 
mfano............... (twende taratibu) kipi kipya kwao kwenye hiyo ilani katika majukumu yao ambacho hakipo kwenye KATIBA MPAKA WAANZE kubeba ilani. Tusidanganyane WAO HAWAWAJIBIKI KWA ILANI. NDIO MANA HAWANA siasa jeshini. Mambo ya ilani ni siasa pure.
Kasome Ilani utaelewa naona hutaki kuamini kuwa Serikali inatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani.....UTAPATA TABU SANA kwa kutoelewa somo rahisi kama hilo.
 
Huu uvaaji unaakisi akili zake, huo msuruali ulivyojikunja kunja kama kafunga mkwiji
kujikunja kwangu sio tatizo, ni pale alipokabidhiwa na fundi akaangalia BENDERA imepinduliwa asitambue hilo hapo! ndipo panaponipa tabu sana, tena akaamua kuivaa pale kwenye kuipokea dreamliner!! hapo ndipo panapoongea tabu zaidi
 
Uwezo wa kutambua haraka hana pia shule ni tatizo,wakati haya mambo ya bendera tulifundishwa shule ya msingi (uraia) na secondary (civics), yeye anaonà sawa tu
 
Kasome Ilani utaelewa naona hutaki kuamini kuwa Serikali inatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani.....UTAPATA TABU SANA kwa kutoelewa somo rahisi kama hilo.
Serikali inatekeleza ilani sina tatizo na hilo, Jeshi lipo kulinda serikali na nchi kikatiba lakini haijifungi kwenye Ilani (mikakati ya kisiasa ama ilani za chama tawala). Ndio mana inaweza kuitoa serikali ikivulunda katiba katika utekelezaji wake wa ILANI. utapata tabu sana kwa kuchanganya dhana ya ilani/katiba
 
Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

UTAPATA TAABU SANAAAAAA
Ilani ya chama ndiyo imeeleza namna gani masuala ya ulinzi yatafanyika, humo ndimo kuna nyumba za askari, uboreshaji wa miundombinu ya vyombo vyetu vya ulinzi,vitendeakazi vya majeshi nk. Pia kumbuka serikali ni ya ccm na ndio inayopamga ,matumizi ya bajeti ambayo inapitishwa na bunge. Je kama wakuu wa vyombo vya ulinzi hawana ilani inayopangiwa bajeti, watatekelezaji majukumu yao?
Nawaona wapiga vigelegele na makofi wa jiwe katika ubora wenu, nyie hata jiwe akiwaambia awashikishe ukuta mtakubali
 
Huko nilishapita miaka kibao
upo wapi sasa wakati ndugu yako anageuza bendera/alama ya nchi yeye anaibinua! binua! MTAPATA TABU SANA KWA HILI. Nasfsi zenu na ziwasute japo mtajitia kibri
 
Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

UTAPATA TAABU SANAAAAAA
 
Attachments

  • E-0081.jpg
    E-0081.jpg
    51 KB · Views: 29
Kasome Ilani utaelewa naona hutaki kuamini kuwa Serikali inatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani.....UTAPATA TABU SANA kwa kutoelewa somo rahisi kama hilo.

Kwa hiyo Majeshi yote yaliapa kwa kutumia Katiba au Ilani ya Chama ?
 
Back
Top Bottom