Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

Shida kubwa iliyofanywa kikatiba ni polisi,magereza,uhamiaji na zimamoto kuwaita majeshi hilo nikosa kubwa hata kama zilikuwa ni sababu za kisiasa. Zile ni idara dunian huwezi kuta eti jeshi la zimamoto ama magereza ila ni idara ya magereza siasa imeharibu
Duniani kote majeshi ni army ambapo kwetu ni landforce ama askari wa miguu,navy ama wanamaji airforce marine na mengne ambayo yanajukumu ya kulinda nchi ila hizo idara za usalama wa raia haziwezi kuwa jeshi
 
Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

UTAPATA TAABU SANAAAAAA
Hakuna ilani inayo define UPYA majukumu ya kila siku ya jeshi la polisi. Kama kuna mapya/maboresho(kutoka kwenye ilani) juu ya uendeshwaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara yake, yatakuwa reflected kwenye sheria zilizopitishwa na bunge. Ukiacha ushamba na maono mafupi, akisi nyingine iliyowazi kwa wananchi ni kwamba huyu kiongozi wa umma atatenda zaidi kwa kupendelea waumini wa hicho kijitabu cha kijani,ambacho ungetegemea kukiona zaidi kwa kina Pole pole!
 
Ilani ya chama ndiyo imeeleza namna gani masuala ya ulinzi yatafanyika, humo ndimo kuna nyumba za askari, uboreshaji wa miundombinu ya vyombo vyetu vya ulinzi,vitendeakazi vya majeshi nk. Pia kumbuka serikali ni ya ccm na ndio inayopamga ,matumizi ya bajeti ambayo inapitishwa na bunge. Je kama wakuu wa vyombo vya ulinzi hawana ilani inayopangiwa bajeti, watatekelezaji majukumu yao?
babutuz jitafakari na vioja unavyoandika.
 
Mwanajeshi anaongozwa na sheria za nchi sio ilani mkuu.
Mambo ya ilani ni kwa watoa huduma za kijamii na wala sio massuala ya kulinda nchi. Nihatari sana wanajeshi kuanza kutembea na Ilani la sivyo hakutakuwa na usawa.
Hapo ndipo unakosea, mipango ya kuliimarisha jeshi yote ipo katika ilani ya miaka mitano ya ccm, Miradi yote mikubwa ya kimaendeleo ya vyombo vya ulinzi kwa miaka mitano ipo kwenye ilani ya ccm
 
Hapo ndipo unakosea, mipango ya kuliimarisha jeshi yote ipo katika ilani ya miaka mitano ya ccm, Miradi yote mikubwa ya kimaendeleo ya vyombo vya ulinzi kwa miaka mitano ipo kwenye ilani ya ccm
Unamaanisha kila baada ya miaka 5 jeshi nalo liwe linabadilika kama ilani inavyobadilika?

Kuna haja kubwa sana kwa mitaala ya elimu ya uraia kufanyiwa maboresho mambo haya hayatakiwi kuwa mageni kwa jamii.
 
Wanatekeleza Ilani ya CCM kisheria wala hakuna jipya hapo kila kitu kimeanishwa ndani ya Ilani ya CCM namna gani Serikali itafanya kazi za utekelezaji baada ya uchaguzi....kama ambavyo CHADEMA nayo kama ingeshinda Serikali ingetekeleza Ilani ya CHADEMA yakiwemo na hayo Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

UTAPATA TAABU SANAAAAAA
Ndege yetu ileeeee[emoji449][emoji351][emoji443][emoji444]
Raisi wetu yuleeee[emoji447][emoji448][emoji447]
 
Labda ndio kauli mbiu yake kaingia nayi
Si unajoa kila kiongozi ana style yake ya kuongoza
 
Watanzania tuna safari ndufu sana hapa duniani.
Yaani kila mtu aoneshe ilani ya chama
 
Huyu naona bado ana stress ya kufiwa na mke wake wangemuacha apumzike kwanza
 
Back
Top Bottom