Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

Kuna kipindi wakati wa Rais Mwinyi Kinana(akiwa kanali) alikuwa waziri wa ulinzi na jkt,unasemaje kuhusiana na hilo?
kwani nimezungumzia uwaziri hapa! au unashoboka tuu! je unajua waziri anavopatikana? na katibu mkuu je?
 
kwa hiyo kwa kuwa na elimu nzuri ma uzoefu hata angekuwa superintendent wa polisi angewekwa juu ya brigedia jenerali! acha ishabiki kwa kuwa wewe ni polisi! tufuate heshima ya kijeshi! INGEKUWA Diwani ni mstaafu sawa! angebebwa na huo u DG, sasa itakuwaje tena CP apigiwe saluti na watu level ya ujenerali?

NAKUPA MFANO MMOJA! huwezi kukuta mwanajeshi chini ya GENERAL wa nyota nne kwa tanzania kuongoza wizara ya ulinzi kama katibu mkuu! lakini kwa wizara ya mambo ya ndani ni sawa kabisa
hapo ndo utaelewa kuwa hivi nyeo na heshima zake kiitifaki

boss na mimi nataka majibu km mleta mada, ila kabla sijayapata naomba kujua nyota 4 ni cheo cha jeshi gani na nchi gani na kinaitwaje?? maana nyota3 kwa JWTZ n JKT ni Captain na magereza, polisi, 🔥 nk ni Assistant Superintendent of Prisons/Police

Jee nyota 4 ndio nani??
 
Kuna kipindi wakati wa Rais Mwinyi Kinana(akiwa kanali) alikuwa waziri wa ulinzi na jkt,unasemaje kuhusiana na hilo?
kwani nimezungumzia uwaziri hapa! au unashoboka tuu! je unajua waziri anavopatikana? na katibu mkuu je?
Ujinga aliekubali cheo chakuteuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
atakataaje na yeye ni mwanajeshi mtiifu kwa amiri jeshi mkuu
 
boss na mimi nataka majibu km mleta mada, ila kabla sijayapata naomba kujua nyota 4 ni cheo cha jeshi gani na nchi gani na kinaitwaje?? maana nyota3 kwa JWTZ n JKT ni Captain na magereza, polisi, 🔥 nk ni Assistant Superintendent of Prisons/Police

Jee nyota 4 ndio nani??
we uwe unasoma vizuri sentensi, nimesema ni Jenarali wa nyota 4 (4 star general)
we mpuuzi kweli
 
Wataalamu mtusaidie kwa seniority ya Kijeshi hapa! Je ni sawa naibu DG wa Takukuru ambaye ni Brigedia Jenarali halafu juu yake yupo Kamishna wa Polisi, je kiheshima ya kijeshi nani ni juu ya mwenzie?
au ni bora liende tuu! ina maana Brig Gen anampigia saluti CP?

Wataalamu mtujuze hapa
Watanzania acheni kushughulika na mambo yasio ya msingi,mambo ya seniority na juniority yana umuhimu gani kwako au kwa mlalahoi katika nchi hii.
Achaneni na petty issues,kuna mambo ya muhimu zaidi ya haya.

Loyalty To country Always,To government When it deserves
 
Kwa kiprotokali..Brigedia Generali yupo Chini ya Kamishina wa Polisi/Zimamoto/Uhamiaji/Magereza. Bregidia ni cheo sawa na Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi/Magereza au Zimamoto (SACP). Meja Generali ni sawa Deputy Commissioner au DCP, Luteni Generali ni sawa na Commissioner wa Magereza au Polisi..IGP na CGP hawa wako sawa ila wako cheo chini ya Mkuu wa Majeshi kiutendaji na protokali. Ukitaka kunielewa sawa kama hautaki basii..😊😊😊
 
Vipi wakati katibu mkuu wa mambo ya ndani sio polisi au mwanajeshi kabisa?Bado anaweza kumsimamia IGP?
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.

Loyalty To country Always,To government When it deserves
 
Itifaki ipi kisheria au katiba ya nchi?
Nadhani Kamishna wa Polisi sio MTU mdogo kama itifaki ikizingatiwa pia .
Kwanza kuhusu suala la makosa ya kijinai yule bwana amebobea sana.

Nadhani kiitifaki pia huyo CP alikua yuko ngazi ya pili ukitoka IGP.

Nadhani hatujajua hata kitaaluma wako vipi lakini wote wana shule ya kutosha pia.
Kwenye utendaji wa kiserikali kw a pamoja hua watu hawatoki na vyeo vyao vya awali.

Unapochaguliwa na Rais unakua ni level ya juu kiutendaji. Ndio maana wanajeshi wenye nyota moja wana level ya juu kutokana na kuwa wanapewa na Rais .
Ishu hapo ni madaraka waliyopewa na Rais.

CP ni ngazi ya Rais na pia Brig.General ni ngazi hiyo hiyo. Wanafanya majukumu waliyopewa na Rais sio jeshi.

Wakati mwingine tusipoteze muda kwenye vitu ambavyo havilisaidii Taifa.

Labda tungekosoa kuwa ni kwa nini pameibuka mtindo wa sasa wa wale wanaohamishiwa idara nyingine wanapopewa nafasi wanavaa Jezi za majeshi wakati hii ni nchi ya kidemokrasia na kiraia.
Kikwete alikua Mjeda lakini hakuwahi kuvaa Jezi ya Jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Loyalty To country Always,To government When it deserves
 
Kwa kiprotokali..Brigedia Generali yupo Chini ya Kamishina wa Polisi/Zimamoto/Uhamiaji/Magereza. Bregidia ni cheo sawa na Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi/Magereza au Zimamoto (SACP). Meja Generali ni sawa Deputy Commissioner au DCP, Luteni Generali ni sawa na Commissioner wa Magereza au Polisi..IGP na CGP hawa wako sawa ila wako cheo chini ya Mkuu wa Majeshi kiutendaji na protokali. Ukitaka kunielewa sawa kama hautaki basii..😊😊😊
mnavopenda kujikweza! kwenye mambo ya kijeshi kuna kozi na mapitio mengi ambayo Polisi hawapitii!
hiv unafahamu kuwa nyota moja ya JW (luteni usu) ni kamisheni ya raisi? haya nyota moja ya polisi anapewa na nani?
 
Ndio mfumo huo..wapo sawa kama hutaki basii..lakini ndio utaratibu..wao wanakuwa commissioned na PS wao kupitia tume ya Polisi na Magereza. Same ranking different commission..najua umbishi endelea tu na usini Quate..😊😊
 
Nafikiri swali limekuzidi uwezo kwa sababu hujui lolote
wewe ndio umezidiwa uwezo, tofautisha nafasi za kisiasa na za kitaaluma/ Kiutendaji. Rais hajawahi kuwa mwanajeshi lakini ni mkubwa kuliko CDF katika maamuzi ya kijeshi lakini hiyo haimfanyi rais kutopokea taarifa za kitaalamu kutoka kwa CDF.

Kinana alikuwa katika nafasi ya kisiasa na hao wanaozungumziwa wapo katika nafasi za kiutendaji.
 
Back
Top Bottom