Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

Wataalamu mtusaidie kwa seniority ya Kijeshi hapa! Je ni sawa naibu DG wa Takukuru ambaye ni Brigedia Jenarali halafu juu yake yupo Kamishna wa Polisi, je kiheshima ya kijeshi nani ni juu ya mwenzie?
au ni bora liende tuu! ina maana Brig Gen anampigia saluti CP?

Wataalamu mtujuze hapa
Mkuu wa mkoa wa kagera ni mdogo kicheo ila ulishawahi kujiuliza Afande Mabeyo akienda Kagera nn hutokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiprotokali..Brigedia Generali yupo Chini ya Kamishina wa Polisi/Zimamoto/Uhamiaji/Magereza. Bregidia ni cheo sawa na Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi/Magereza au Zimamoto (SACP). Meja Generali ni sawa Deputy Commissioner au DCP, Luteni Generali ni sawa na Commissioner wa Magereza au Polisi..IGP na CGP hawa wako sawa ila wako cheo chini ya Mkuu wa Majeshi kiutendaji na protokali. Ukitaka kunielewa sawa kama hautaki basii..
Daaaa, aisee. Ni vizuri kujipa muda wa kuongeza elimu kuliko kuropoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom