Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

Wataalamu mtusaidie kwa seniority ya Kijeshi hapa! Je ni sawa naibu DG wa Takukuru ambaye ni Brigedia Jenarali halafu juu yake yupo Kamishna wa Polisi, je kiheshima ya kijeshi nani ni juu ya mwenzie?
au ni bora liende tuu! ina maana Brig Gen anampigia saluti CP?

Wataalamu mtujuze hapa
.
tapatalk_1553404059936.jpeg

Jr
 
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
 
hii mie sijaipenda kwa kweli! Rank za majenerali si za kuzichukulia mzaha mzaha
 
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
Je yapi Madhara ya uvunjaji wa protocol Mkuu

OVA
 
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
IGP sio cheo cha kijeshi nakukumbusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Kamishna wa Polisi sio MTU mdogo kama itifaki ikizingatiwa pia .
Kwanza kuhusu suala la makosa ya kijinai yule bwana amebobea sana.

Nadhani kiitifaki pia huyo CP alikua yuko ngazi ya pili ukitoka IGP.

Nadhani hatujajua hata kitaaluma wako vipi lakini wote wana shule ya kutosha pia.
Kwenye utendaji wa kiserikali kw a pamoja hua watu hawatoki na vyeo vyao vya awali.

Unapochaguliwa na Rais unakua ni level ya juu kiutendaji. Ndio maana wanajeshi wenye nyota moja wana level ya juu kutokana na kuwa wanapewa na Rais .
Ishu hapo ni madaraka waliyopewa na Rais.

CP ni ngazi ya Rais na pia Brig.General ni ngazi hiyo hiyo. Wanafanya majukumu waliyopewa na Rais sio jeshi.

Wakati mwingine tusipoteze muda kwenye vitu ambavyo havilisaidii Taifa.

Labda tungekosoa kuwa ni kwa nini pameibuka mtindo wa sasa wa wale wanaohamishiwa idara nyingine wanapopewa nafasi wanavaa Jezi za majeshi wakati hii ni nchi ya kidemokrasia na kiraia.
Kikwete alikua Mjeda lakini hakuwahi kuvaa Jezi ya Jeshi.

kwa hiyo kwa kuwa na elimu nzuri ma uzoefu hata angekuwa superintendent wa polisi angewekwa juu ya brigedia jenerali! acha ishabiki kwa kuwa wewe ni polisi! tufuate heshima ya kijeshi! INGEKUWA Diwani ni mstaafu sawa! angebebwa na huo u DG, sasa itakuwaje tena CP apigiwe saluti na watu level ya ujenerali?

NAKUPA MFANO MMOJA! huwezi kukuta mwanajeshi chini ya GENERAL wa nyota nne kwa tanzania kuongoza wizara ya ulinzi kama katibu mkuu! lakini kwa wizara ya mambo ya ndani ni sawa kabisa
hapo ndo utaelewa kuwa hivi nyeo na heshima zake kiitifaki
 
Baba mwenye nyumba akiamua hata mke wa mpangaji anaweza kuwa mama mwenye nyumba, ilimradi balaa tu!protocol is dead.

ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom