Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki

Ndio mfumo huo..wapo sawa kama hutaki basii..lakini ndio utaratibu..wao wanakuwa commissioned na PS wao kupitia tume ya Polisi na Magereza. Same ranking different commission..najua umbishi endelea tu na usini Quate..😊😊
hahahaha hahaa kupata vichekesho kama hivi Bonyeza nyota

kweli we magimbi kweli kweli
 
Sijamuelewa mleta Thread labda wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kiofisi msaidizi huyo Brigedia anapaswa kumpigia Saluti CP..? Mi naona hapo Rais aliona ampe mtu yule ambae ataweza kufanya mambo matatu kwa wakati mmoja kama alivyo muelezea Diwani kuwa ni Polis tena wa ngazi ya juu ambapo anaweza kwa wakati wowote kumuagiza polisi wa cheo cha chini yake amuweke ndani yeyote atakae muagiza amuweke kizuizini, Pia ni Mtu wa TISS ambapo alifikia kwenye ngazi kubwa ndani ya taasisi hiyo bado anaweza kupenya ata huko akawajua nani wanalihujumu Taifa pia akampa Brigedia usaidizi ata wafanye kazi ndani ya jeshi japo sina hakika kama DG ana mamlaka ya kumuagiza polisi amuweke mtu ndani.

Ndani ya TAKUKURU kama ofisi tu hakuna tatizo la kiutendaji kwani si taasisi ya kijeshi kwamba wanapoingia ofisi basi DG lazima apite kwa CP akadondoke salute bali wanasalimiana tu na kuendelea na kazi.
 
Wataalamu mtusaidie kwa seniority ya Kijeshi hapa! Je ni sawa naibu DG wa Takukuru ambaye ni Brigedia Jenarali halafu juu yake yupo Kamishna wa Polisi, je kiheshima ya kijeshi nani ni juu ya mwenzie?
au ni bora liende tuu! ina maana Brig Gen anampigia saluti CP?

Wataalamu mtujuze hapa

Katiba ya nchi yetu inampa rais kufanya apendavyo bila kujali hayo marank. Kama alipokea wanaccm kwenye hafla ya kijeshi itakuwa hizi nafasi? After all huyo mwanajeshi hajali hiyo rank bali anatukuza ulaji.
 
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
Acha upumbafu wewe
Yaani Major General kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ndio una m rank higher than IGP ama CGP ?
Mbona hiyo Wizara used to have Katibu Mkuu Raia ?
Jeshi lina Ranks zake , Police,Magereza etc wana Ranks zao na ni upuuzi kuzifananisha.

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
kwa hiyo kwa kuwa na elimu nzuri ma uzoefu hata angekuwa superintendent wa polisi angewekwa juu ya brigedia jenerali! acha ishabiki kwa kuwa wewe ni polisi! tufuate heshima ya kijeshi! INGEKUWA Diwani ni mstaafu sawa! angebebwa na huo u DG, sasa itakuwaje tena CP apigiwe saluti na watu level ya ujenerali?

NAKUPA MFANO MMOJA! huwezi kukuta mwanajeshi chini ya GENERAL wa nyota nne kwa tanzania kuongoza wizara ya ulinzi kama katibu mkuu! lakini kwa wizara ya mambo ya ndani ni sawa kabisa
hapo ndo utaelewa kuwa hivi nyeo na heshima zake kiitifaki
Kabla ya Diwani alikuwa Mlowola,he was just DCP acha ushamba Mkuu.
Kwanza hizo post ni za ki Raia,kumbuka Dr Edward Hosea hakuwa hata Mgambo.

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Nadhani Kamishna wa Polisi sio MTU mdogo kama itifaki ikizingatiwa pia .
Kwanza kuhusu suala la makosa ya kijinai yule bwana amebobea sana.

Nadhani kiitifaki pia huyo CP alikua yuko ngazi ya pili ukitoka IGP.

Nadhani hatujajua hata kitaaluma wako vipi lakini wote wana shule ya kutosha pia.
Kwenye utendaji wa kiserikali kw a pamoja hua watu hawatoki na vyeo vyao vya awali.

Unapochaguliwa na Rais unakua ni level ya juu kiutendaji. Ndio maana wanajeshi wenye nyota moja wana level ya juu kutokana na kuwa wanapewa na Rais .
Ishu hapo ni madaraka waliyopewa na Rais.

CP ni ngazi ya Rais na pia Brig.General ni ngazi hiyo hiyo. Wanafanya majukumu waliyopewa na Rais sio jeshi.

Wakati mwingine tusipoteze muda kwenye vitu ambavyo havilisaidii Taifa.

Labda tungekosoa kuwa ni kwa nini pameibuka mtindo wa sasa wa wale wanaohamishiwa idara nyingine wanapopewa nafasi wanavaa Jezi za majeshi wakati hii ni nchi ya kidemokrasia na kiraia.
Kikwete alikua Mjeda lakini hakuwahi kuvaa Jezi ya Jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha siasa ww brigedia sawa na Rais wa nchi kiprotocal na anaweza kuongoza nchi muda wowote endapo raisi akizingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
boss na mimi nataka majibu km mleta mada, ila kabla sijayapata naomba kujua nyota 4 ni cheo cha jeshi gani na nchi gani na kinaitwaje?? maana nyota3 kwa JWTZ n JKT ni Captain na magereza, polisi, 🔥 nk ni Assistant Superintendent of Prisons/Police

Jee nyota 4 ndio nani??
dogo acha kizabizabina kilichozungumziwa hapa ni General wa nyota nne
 
dogo acha kizabizabina kilichozungumziwa hapa ni General wa nyota nne
hivi unaelewa ata ivyo vyeo vinavyotiririka mkuu kwa majeshi yote hapa bongo?? nasifa kwa kila cheo??

au wewe ndio wale wanaoamini Kamishna Mkuu wa TRA ndio anajua kodi kuliko watu wote TRA au yeye ndio msomi kuliko wote TRA😊 wakati kuna vijana wana shule na wanajua kodi kuliko kamishna

mimi nmetaka kueleweshwa maana kwa jinsi nilivyouliza na nkaambiwa ni kuwa hakuna u special saaana kw haya majeshi ila majukumu ndio yanatofautiana kama ni wasomi wapo kote issue ni viongozi tuu
 
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
Una utaalam gan kwenye haya maswala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo kwa kuwa na elimu nzuri ma uzoefu hata angekuwa superintendent wa polisi angewekwa juu ya brigedia jenerali! acha ishabiki kwa kuwa wewe ni polisi! tufuate heshima ya kijeshi! INGEKUWA Diwani ni mstaafu sawa! angebebwa na huo u DG, sasa itakuwaje tena CP apigiwe saluti na watu level ya ujenerali?

NAKUPA MFANO MMOJA! huwezi kukuta mwanajeshi chini ya GENERAL wa nyota nne kwa tanzania kuongoza wizara ya ulinzi kama katibu mkuu! lakini kwa wizara ya mambo ya ndani ni sawa kabisa
hapo ndo utaelewa kuwa hivi nyeo na heshima zake kiitifaki
Hili suala waliangalie kwa upana wake haijakaa sawa kbsa ila naota tu eti cjui kwann hawa watabe waetu wamepoteza heshima yao kama miaka mingine ..naota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
Huna unachokijua kausha
 
Kwa kiprotokali..Brigedia Generali yupo Chini ya Kamishina wa Polisi/Zimamoto/Uhamiaji/Magereza. Bregidia ni cheo sawa na Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi/Magereza au Zimamoto (SACP). Meja Generali ni sawa Deputy Commissioner au DCP, Luteni Generali ni sawa na Commissioner wa Magereza au Polisi..IGP na CGP hawa wako sawa ila wako cheo chini ya Mkuu wa Majeshi kiutendaji na protokali. Ukitaka kunielewa sawa kama hautaki basii..
Umejibu muruwa kabisa wengine hawajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu mtusaidie kwa seniority ya Kijeshi hapa! Je ni sawa naibu DG wa Takukuru ambaye ni Brigedia Jenarali halafu juu yake yupo Kamishna wa Polisi, je kiheshima ya kijeshi nani ni juu ya mwenzie?
au ni bora liende tuu! ina maana Brig Gen anampigia saluti CP?

Wataalamu mtujuze hapa

Takukuru siyo jeshi..vyeo vya kijeshi havifuatwi..
 
Kwa taarifa tu kijeshi,

Major General wa JWTZ yuko juu ya IGP ndio maana Katibu Mkuu wa W/Mambo ya Ndani ni Mwanajeshi (Maj. Gen) na anawasimamia IGP, Commissioner Generals wa Magereza, Uhamiaji na Zimamoto.

Wakati huo, IGP yupo juu kidogo ya Brig. General wa JWTZ.

Aidha, Commissioner wa Polisi yuko rank ya CHINI KIDOGOOO kuendana na Brig. Gen. wa JWTZ

NB: Awamu hii Protocol zinavunjwa muda wowote kadri tunavyoenda mbele ya safari.
Inawezekanaje vyeo vya kada tofauti uvilinganishe au ukisikia jeshi la polisi unalipa hadhi sawa na jwtz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom