Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,968
- 96,021
Jamani mkitoka uko mlikokua naomba mpitie hapa kuna ushauri wa bure kutoka kwa da mau 😂😂😂😂
Joannah Tayana-wog Mahondaw
Joannah Tayana-wog Mahondaw
Mpaka aseme, na atasema 😂😂😂😂Bado hujasemaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] akati cna, ntachangia mashudu buree.Changia hata kidogo bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan hapo badoo [emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka aseme, na atasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Changia hayo hayo udugu kikubwa usiondoke bila kuchangia 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] akati cna, ntachangia mashudu buree.
Ni kamzozo😂😂😂😂 Jamani
Mpaka ateme ndoano 😂😂😂😂Yaan hapo badoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli na mi nimeona 😂😂😂😂Ni kamzozo
😂😂😂😂😂🙌🙌Kwa namna tulivyomlea huyu Mjukuu, hawezi kumiliki Bwawa la Nyerere.
Vijana waache kumsema Mjukuu wangu
Marahaba Mjukuu, nimefurahi kusikia uko poa.Shikamoo babu sina shida nipo okay kabisa
Huyu lazima mumewe amkute na bikra zote mbili.😂😂😂😂😂🙌🙌
Na mi nimeshangaa da mau binti mbichi hana kidatu
Mna Zile dawa zenu za kufanya ibane. Tumia hizo. Hujachelewa sana. LNadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Hiki ulichokiandika wengi hawatakuelewa ,ila ujumbe wako ni muhimu sanaNadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
🤣🙌Khaaaa jmnKwan k imetanuka sana?
Muombee mwenzio hayuko sawaHongera kwa kulijua...
Tuombe watuchangie maspika tu..
Maana naona mama Mchungaji ujae Unique Flower
Kabisaa nakazia 😂😂😂Huyu lazima mumewe amkute na bikra zote mbili.
Mume ashindwe mwenyewe tu kujihomoloa asali 🤗🏃🏃🏃
😂😂😂😂😂🤣🙌Khaaaa jmn
Ni kweli kabisa,it's spiritual thingHiki ulichokiandika wengi hawatakuelewa ,ila ujumbe wako ni muhimu sana