Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,509
Kuweni na Imani na Wazee 🤗Umekuwa mzee wa hovyo😂😂😂
Kuweni na Imani na Wazee 🤗Umekuwa mzee wa hovyo😂😂😂
Udugu nimechoka toka juzi niko kusamaraizi mtaniua 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisamaraizie.
Umeona nini?? Leo nimechoka kusamaraizi wifi 😂😂😂😂Imebidi nirudi kusoma 😀😀😀
Msaidieni dada mwenzenu anzisheni chama chenu cha wanawake na maendeleo😂😂😂😂😂 mshamba_hachekwi umemsikia babu?? Uache kumsema da mau kimevunda
Ngoja nianze kuyahesabu, kesho nitaleta majibu 😜Kwani mabwawa yako mangapi? 😂😂😂
Tumechoka kweliAna hoja asikilizwe…!!
Sema kaileta muda mbaya watu wamechoka.!! 😂😂😂😂
YesNa inatesa watu wengi bila kujua, wengi wanasingizia kurogwa ,kumbe wamejiroga wenyewe na wanaendelea kujiroga
Yeye hataki maendeleo, anataka mume wa kumpenda na kuacha kumrogaMsaidieni dada mwenzenu anzisheni chama chenu cha wanawake na maendeleo
Ila babu 😂😂😂Ngoja nianze kuyahesabu, kesho nitaleta majibu 😜
Ila halipungui moja 🏃🏃🏃
Tuko hoi 😂😂😂Tumechoka kweli
Maana kusoma zile comment kule page 106+ sio kitoto🤣🤣
Nacheka🤣🤣🤣Tuko hoi 😂😂😂
Couple pendwa ya jf ile lazima jiji la jf litetemeke
Sasa si muende pm.!! 😂😂😂Tutafunga comments tuwe tunacomment wawili tu hatutaki nzi 🤣🤣🤣
Umemaliza story yako kule jukwaa pendwa? 🤭Swadakta
Tukienda pm mods wanafaidi peke yaoSasa si muende pm.!! 😂😂😂
Wapambe lazima tuwepo wa kuchachua shughuli wee vipi?? Au unaogopa kupinduliwa??
Story ipi hiyo madameUmemaliza story yako kule jukwaa pendwa? 🤭
Ndio muache tutoe maoni, uone mishangazi ya shem itakavyotutupia mawe siku hiyo 😂😂😂😂Tukienda pm mods wanafaidi peke yao
Bora tuyamwage humu waja wasikose la kusema
Ile ya Kenya au sio wewe jamani....kule kwa Riki boyStory ipi hiyo madame