Hili halisemwi na Ikulu

Hili halisemwi na Ikulu

Tuoneshe mmoja kati ya waliopita aliyefanya zaidi ya Kikwete chochote kile ukipendacho, tukimaliza tutaenda kingine, anza na kimoja tu.

This is a challenge.

Enzi za mkapa fedha ilikuwa na thamani sana na hasa dollars... one dollar sawa na 700 hadi 900 sasa hadi 1750 huu ni upuuz!

Pia ulikuwa ukitoa mwekundu unanunua ktu watu walikuwa wanastaajabu sasa hv unatoa mwekundu unanunua vocha ya mia tano man change unapata bila mguno...

Shame on You
 
Mkumbushie pia bei ya sukari na mchele wakati wa Mkapa na bei ya bidhaa hizo sasa chini ya Kikwete. Unaweza kuongezea ni kwa nini serikali ya Kikwete imelazimika kukopa ili kulipa mishahara ya wafanyikazi. Enzi za Mwalimu licha ya kwamba tulikuwa na matatizo yanayoeleweka mishahara ya wafanyikazi ililipwa on time tena bila kukopa benki yeyote ile. Mkumbushie yote hayo.
 
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.

Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.

MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.

Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.

Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl.

Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Duh! Mbona umekuwa mkali ghafla?
 
Jeshi la polisi lililochini ya chama ambacho wewe ni katibu mwenezi lilisema hii pale tulipokutanishwa na Zitto katika kesi aliyosema mimi nimemtishia maisha!,

Uongozi wa JF uliheshimu hili tangu siku hiyo, mimi pia niliheshimu hilo tangu siku nilipoambiwa ni id yangu, Nakushangaa wewe huheshimu hilo na unavunja sheria za jf ulizokubali kuzifuata pindi uwapo hapa.

Jisomee hapa.

Mistaken Identity.
 
Elimu ya Msingi.

Elimu ya msingi imefanya nini?

Pata darsa kidogo;

Nyerere 1984:

[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[/TABLE]
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils [/TD]
[TD] 3.49 million [/TD]
[TD]1984[/TD]
[TD] 30th out of 161[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kikwete 2012:

[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils [/TD]
[TD] 8.25 million [/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD] 4th out of 88
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source:

Tanzania Education Stats: NationMaster.com

Tanzania Education Stats: NationMaster.com

Nani zaidi?
 
Daa nilivyo ona jina mtoa mada basi ....... huyu ni mtunzi yule yule wa uongo kutoka pale ufipa.
Kijana ana shahada ya uongo!
 
Enzi za mkapa fedha ilikuwa na thamani sana na hasa dollars... one dollar sawa na 700 hadi 900 sasa hadi 1750 huu ni upuuz!

Pia ulikuwa ukitoa mwekundu unanunua ktu watu walikuwa wanastaajabu sasa hv unatoa mwekundu unanunua vocha ya mia tano man change unapata bila mguno...

Shame on You

Una matatizo ya uelewa.

Dollar zinakuhusu nini wewe?
 
Jengo likiungua ni ufisadi umeunguzwa Faiza! Majengo yote yanayoungua hata huko uswekeni nayo ni ufisadi! Yale yanayoungua huko Ulaya na kwingineko?

Hatuongelei jengo, tunaongelea BOT, Bank of Tanzania! aliyowachiwa Mwinyi haina fedha za kigeni kabisa. Zilienda wapi? au ndiyo ziliunguwa na moto?
 
mkuu bila kuwa chizi huwezi kuwa ccm embu angalia hapo chizi anamuita timamu chizi....hahahaha ccm maisha bora nisiwe na chama

Kati ya MwanaDiwani, FaizaFoxy na Yericko Nyerere ni nani anajitambulisha kwa jina lake halali tena kwa image yake halisi? Mkipata majibu tumieni wasaa huo kutafakari uwezo wenu kiakili. Msijaribu kujenga hoja ambazo zinawasuta wenyewe. Hoja hujibiwa kwa hoja tena kwa fikra huru.
cc: MwanaDiwani, FaizaFoxy.
 
Mkumbushie pia bei ya sukari na mchele wakati wa Mkapa na bei ya bidhaa hizo sasa chini ya Kikwete. Unaweza kuongezea ni kwa nini serikali ya Kikwete imelazimika kukopa ili kulipa mishahara ya wafanyikazi. Enzi za Mwalimu licha ya kwamba tulikuwa na matatizo yanayoeleweka mishahara ya wafanyikazi ililipwa on time tena bila kukopa benki yeyote ile. Mkumbushie yote hayo.
Huyo hata asipokumbushwa hakuna asichokijua tatizo lake ni udini zaidi hana cha maana anachotetea,ukiangalia michango yake inaegemea hukohuko.
 
saikologia unaonekana unamkubali nyerere ila udini unakusumbua faiza.

Hatuongelei jengo, tunaongelea BOT, Bank of Tanzania! aliyowachiwa Mwinyi haina fedha za kigeni kabisa. Zilienda wapi? au ndiyo ziliunguwa na moto?
 
Wewe naona unaupungufu wa kifaa cha kufikiri na kutambua mambo kilichopo ndani ya kichwa chako, hivi hili sakata la Riz 1 kukamatwa na sembe China kama ingekuwa ni uongo imekuwaje hadi Baba yake amelikana hili mwezi 7 2014 na sio kipindi kile tena lingekanwa nadani ya nchi na sio nje kama alivyofanya.

Duh Tanzania mabogus ni wengi sana, moja wapo ni wewe. Kumbuka Rais alikuwa akijibu swali lililoulizwa kwa Mhe. Rais na si vinginevyo. Wewe ninamashaka hata kama dozi ya milembe ulimaliza
 
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.

Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.

MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.

Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.

Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.

Mbio za mlaghai huishia ukingoni.

hata kama ni hoja ya kutunga kuna kajimantiki kakujiuliza, Je mafisadi wanaweza kupambana na mafisadi wenzao? Hili sali ni gumu sana na linahitaji uchambuzi wa kisayansi yaani siasa-uchumi aka "political economy". Suala la ufisadi katika nchi yetu laweza chambuliwwa vizuri kwa kuangalia mahusiano yaliyopo kati ya watawala, jammii, wafanya biashara, taasisi za uma, taasisi binafsi na asasi za kilaia. Ukiangalia uhusiano uliopokati ya wadau tajwa ni dhahiri ya kwamba unaegemea na kutawaliwa na wanasiasa (watawala) ambao kwa kiasi kikubwa ndio wafanyabiashara; hivyo basi kwa minajili hiyo tusitegemee kwamba fisi atalinda bucha.

Rai yangu:
Ufisadi utakomeshwa pale tu ambapo taasisi za kupamba na ufisadi kama vile PCCB, nk zitakuwa huru na zenye mamlaka kamili bila kutii shuruti za watawala. Mabadiliko yanawezekana pawapo na viongozi wanaojitambua
 
Porojo, ufisadi ulianzia kwa Nyerere, umesahau BOT ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Umesahau wizara ya mambo ya ndani ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Umesahau nchi ilikuwa masikini wa mwisho duniani? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Eti "Washington walimweka kitako juzi".

Huo ni uongo usio na mfano.

Punguani wahed.

cc Yericko Nyerere

Hoja nzito - hongera dada! Ila naomba nikumbushe hapo kwenye red hivi sasa hivi sisi ni masikini au matajiri wa ngapi vile?
 
Elimu ya msingi imefanya nini?

Pata darsa kidogo;

Nyerere 1984:

[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils[/TD]
[TD] 3.49 million[/TD]
[TD]1984[/TD]
[TD] 30th out of 161[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kikwete 2012:

[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils[/TD]
[TD] 8.25 million[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD] 4th out of 88[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source:

Tanzania Education Stats: NationMaster.com

Tanzania Education Stats: NationMaster.com

Nani zaidi?

Unasikitisha sana bibi yangu, wale waliosoma mpaka darasa la saba wakati wa nyerere waliweza kufanya mambo makubwa kwa taifa hili, hawa wanaomaliza sasa wakati wa Kikwete wakiwa hawajui kusoma na kuandika mnawaandaa kwa lipi katika maisha yao? kuwapigia kura?
 
Elimu ya msingi imefanya nini?

Pata darsa kidogo;

Nyerere 1984:

[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[/TABLE]
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils [/TD]
[TD] 3.49 million [/TD]
[TD]1984[/TD]
[TD] 30th out of 161[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kikwete 2012:

[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils [/TD]
[TD] 8.25 million [/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD] 4th out of 88
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source:

Tanzania Education Stats: NationMaster.com

Tanzania Education Stats: NationMaster.com

Nani zaidi?

Tungejua population iliyokuwepo mwaka 1984 na ile ilyokuwepo mwaka 2012 ingetusaidia zaid!!
 
Back
Top Bottom