Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,953
- 10,037
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.
Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.
MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.
Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.
Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.
Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Mkuu MwanaDiwani hiyo tafsida yako mbona ipo wazi!!!! Nimeunganisha Nyerere tu basi nikang'amua!!