Hili halisemwi na Ikulu

Hili halisemwi na Ikulu

Jason Bourne

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2011
Posts
200
Reaction score
438
Kufuatia hali ya ufisadi nchini kushamiri tangu enzi za serikali ya BWM na serika ya JK kuingizwa madarakani kwa nguvu ya ufisadi kitendo kinachoifanya serikali ya jk kutoonyesha uwajibikaji wowote juu ya ufisadi nchini,

Washington na Ulaya walimuweka kitako jk majuzi baada tu ya kufika USA, Wakuu wa kanda ya Afrika wa USA na Ulaya walionyesha kukerwa na hali ya mambo nchi Tz huku kukiwa hakuna juhudi zozote za kupambana na ufisa,

Mabadiliko yaliyofanywa pccb na dpp ni pressure ya Ulaya na US kwa JK kuhusu vita ya ufisadi

USA ilikuwa ikitambua kuwa felishi ameonekana akilinda ufisadi tangu epa kaondolewa

Sahivi Hossea atakuwa amefurahi, maana wabaya wake ndani ya DPP na PCCB wote wametolewa
 
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.

Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.

MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.

Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.

Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.

Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
 
Last edited by a moderator:

Hoja za kutunga hazijibiwi namna hii....bali ujibiwa kwa kuonyesha ushahidi wa kutungwa kwa hoja hizo. Mfano...ungesema/andika kuwa hili limetungwa...na kudhibitisha kuwa hili limetungwa...ukweli ni huu na ule...! Vinginevyo utazidi kuimarisha imani ya kuwa mleta uzi anasema ukweli.
 
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.

Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.

MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.

Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.

Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.

Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Huwezi kusema mleta Mada anasema uongo bila kusema ukweli ni hupi. Jaribu kujibu hoja.
 
Last edited by a moderator:
hako ka jamaa ni ka YERICKO nyerere ( la kujitungia) kapiga dili ka dr slaa na mbowe ambako hata uchaguzi wa kata kameshindwa huko kigamboni
 
Mwanadiwani unatumika hadi ncha ya mwisho,unatakiwa uweke ushahidi hapa kuhusu hayo unasema la sivyo,tutaendelea kuamini utumwa kuwatetea mitandaoni bila kushirikisha akili japo kidogo.
 
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.

Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.

MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.

Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.

Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.

Mbio za mlaghai huishia ukingoni.

Jeshi la polisi lililochini ya chama ambacho wewe ni katibu mwenezi lilisema hii pale tulipokutanishwa na Zitto katika kesi aliyosema mimi nimemtishia maisha!,

Uongozi wa JF uliheshimu hili tangu siku hiyo, mimi pia niliheshimu hilo tangu siku nilipoambiwa ni id yangu, Nakushangaa wewe huheshimu hilo na unavunja sheria za jf ulizokubali kuzifuata pindi uwapo hapa.

Jisomee hapa.
Taarifa ya gazeti la majira la mwezi wa 11 (sikumbuki tarehe) iliyosema Zitto katishiwa maisha, ilipelekea jeshi la polisi kufanya uchunguzi, Zitto alipofika mbele ya idara ya ujasusi ya polisi makao, alimtaja Yericko Nyerere kama mtuhumiwa wake namba moja, hivyo nikawa chini ya uchunguzi kwa miezi hiyo yote, na jana niliitwa Makao Makuu ya Polisi ambapo leo nimefika na kuambiwa kuwa wamejiridhisha katika uchunguzi wao kuwa SIKUMTISHIA wala kuhusika kwa aina yoyote ile, hivyo ni mtu huru na safi katika jamii ya kiswahili nchini. Na wakanirudishia nyaraka zangu zilizokuwa zimeshikiliwa kwa uchunguzi zaidi,

Licha ya kesi ya msingi kuwa ni "Kumtishia maisha Mh Zitto Kabwe akiwa kwenye harakati za kufuatilia Mabilioni ya Uswisi", pia ilihusisha uchunguzi wa kile kilichoitwa " Ripoti ya Siri dhidi ya Zitto Kabwe". Hapa walitaka kujiridhisha madai yakuwa mwanachama wa Jamiiforums.com aitwae Jason Bourne ndie Yericko Nyerere?

Hii ilikuja kufiatia uongozi wa Jamiiforums.com kuunganisha(kimakosa) jina langu na la mwanachama huyo aitwae Jason Bourne na kuonekana kuwa ripoti ile iliwekwa na mimi (Yericko Nyerere) katika mtandao wa Jamiiforums.com.

Idara ya Ujasusi wa uhalifu wa kimtandao chini ya Kamanda mweledi wa kiwango cha juu kabisa ACP Mbuta imejiridhisha kuwa Yericko Nyerere hakutenda kosa lolote la jinai ama la madai na hahusiki kwa aina yoyote juu ya Ripoti hiyo ama kuwa na uhusiano wa aina yoyote na mwanachama aitwae Jason Bourne.

Nimshukuru sana ACP Mbuta kwakufanya kazi kwakusimamia taaluma yake bila kuingiza siasa, huu ndio weledi wa vyombo vyetu vya dola tunaoupigania kila kukicha,

Nishukuru familia yangu, marafiki zangu, mwanasheria wangu, na wana jf kwa ujumla kuwa nami katika kipindi chote cha miezi zaidi ya mitano,

Vilevile nimshukuru Zitto kwakuwa mvumilivu na jasiri wa moyo, taifa litajengwa kwa weledi na uzalendo, siasa ikitumika vibaya inaweza kulibomoa taifa hili.
 
Last edited by a moderator:
haka kajamaa kaongo sana kalikuwa kanahesabu safari za raisi kikwete na aliandika makala ya uchochezi kuwa ridhiwani alikamatwa na madawa ya kulevya china
mimi huwa na mpuuza tu
 
Jeshi la polisi lililochini ya chama ambacho wewe ni katibu mwenezi lilisema hii pale tulipokutanishwa na Zitto katika kesi aliyosema mimi nimemtishia maisha!,

Uongozi wa JF uliheshimu hili tangu siku hiyo, mimi pia niliheshimu hilo tangu siku nilipoambiwa ni id yangu, Nakushangaa wewe huheshimu hilo na unavunja sheria za jf ulizokubali kuzifuata pindi uwapo hapa.

Jisomee hapa.
kaone kanavyo jichanganya fasta kamekuja kivingine
c.c FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Kufuatia hali ya ufisadi nchini kushamiri tangu enzi za serikali ya BWM na serika ya JK kuingizwa madarakani kwa nguvu ya ufisadi kitendo kinachoifanya serikali ya jk kutoonyesha uwajibikaji wowote juu ya ufisadi nchini,

Washington na Ulaya walimuweka kitako jk majuzi baada tu ya kufika USA, Wakuu wa kanda ya Afrika wa USA na Ulaya walionyesha kukerwa na hali ya mambo nchi Tz huku kukiwa hakuna juhudi zozote za kupambana na ufisa,

Mabadiliko yaliyofanywa pccb na dpp ni pressure ya Ulaya na US kwa JK kuhusu vita ya ufisadi

USA ilikuwa ikitambua kuwa felishi ameonekana akilinda ufisadi tangu epa kaondolewa

Sahivi Hossea atakuwa amefurahi, maana wabaya wake ndani ya DPP na PCCB wote wametolewa

Porojo, ufisadi ulianzia kwa Nyerere, umesahau BOT ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Umesahau wizara ya mambo ya ndani ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Umesahau nchi ilikuwa masikini wa mwisho duniani? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Eti "Washington walimweka kitako juzi".

Huo ni uongo usio na mfano.

cc Yericko Nyerere
 
Kufuatia hali ya ufisadi nchini kushamiri tangu enzi za serikali ya BWM na serika ya JK kuingizwa madarakani kwa nguvu ya ufisadi kitendo kinachoifanya serikali ya jk kutoonyesha uwajibikaji wowote juu ya ufisadi nchini,

Washington na Ulaya walimuweka kitako jk majuzi baada tu ya kufika USA, Wakuu wa kanda ya Afrika wa USA na Ulaya walionyesha kukerwa na hali ya mambo nchi Tz huku kukiwa hakuna juhudi zozote za kupambana na ufisa,

Mabadiliko yaliyofanywa pccb na dpp ni pressure ya Ulaya na US kwa JK kuhusu vita ya ufisadi

USA ilikuwa ikitambua kuwa felishi ameonekana akilinda ufisadi tangu epa kaondolewa

Sahivi Hossea atakuwa amefurahi, maana wabaya wake ndani ya DPP na PCCB wote wametolewa

Mkuu FaizaFoxy atakuita punguani, but it is open secret that graft in Tanzania has been tacitly accepted
 
Hivi wewe huamini km kweli alikamatwa na madawa ya kulevya?
bahati nzuri mods walisha sema ukweli kuhusu stori za uchochezi za huyu jamaa
mods walimvuaa nguo kabisa nakumbuka mimi ndio nilioomba niwe wa mwisho kuchangia na wamsamehe thread ikafutwa ila JB alishindwa kuthibitisha madai yake
 
Jeshi la polisi lililochini ya chama ambacho wewe ni katibu mwenezi lilisema hii pale tulipokutanishwa na Zitto katika kesi aliyosema mimi nimemtishia maisha!,

Uongozi wa JF uliheshimu hili tangu siku hiyo, mimi pia niliheshimu hilo tangu siku nilipoambiwa ni id yangu, Nakushangaa wewe huheshimu hilo na unavunja sheria za jf ulizokubali kuzifuata pindi uwapo hapa.

Jisomee hapa.
Maelezo yako ya kujiosha hayawezi yakasimama kwenye hoja ambayo wewe ndiyo mshitakiwa.

Uongozi wa Jamiiforums ulikuomba ulete ushahidi unaokutenga na Id ya Janson Bourne na ukasema kama utatoa ushahidi kuwa wewe siyo Janson Bourne basi ungekuomba msamaha kwenye jukwaa hili la siasa.

Hukuweza kutoa ushahidi wowote na kilichofanyika ni uongozi wa Jf kuiondoa thread ya malalamiko yako.

Jamiiforums ni hansard na kila kinachoandikwa na kuwekwa kwenye jukwaa ni kumbukumbu isiyofutika na kwa maana hiyo, Kumbukumbu tunazo.

Tunafuatilia sana kinachoendelea hapa jukwaani lakini vile vile washukuru Mod's kwa kukuhifadhi kwa muda mrefu mpaka ukavuka mipaka na wakaamua kuziunganisha Id zako.

Nani kakudanganya mimi ni Katibu Mwenezi! Mimi ni MwanaDiwani.

Ni bora ukae kimya!
 
Umeshawafunga midomo, haya sasa MwanaDiwani turudi kwenye hoja ya msingi ya Mpwa wetu Jason Bourne
Jeshi la polisi lililochini ya chama ambacho wewe ni katibu mwenezi lilisema hii pale tulipokutanishwa na Zitto katika kesi aliyosema mimi nimemtishia maisha!,

Uongozi wa JF uliheshimu hili tangu siku hiyo, mimi pia niliheshimu hilo tangu siku nilipoambiwa ni id yangu, Nakushangaa wewe huheshimu hilo na unavunja sheria za jf ulizokubali kuzifuata pindi uwapo hapa.

Jisomee hapa.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kusema mleta Mada anasema uongo bila kusema ukweli ni hupi. Jaribu kujibu hoja.
Ndugu, hivi kwa mfano kama wewe ni Juma na sisi tunakufahamu wewe ni Juma, halafu ukajitokeza na kuanza kujitambulisha na kusema wewe ni Musa na una siri unayotaka kutueleza. Unadhani tutakiamini unachokisema wakati hata jina lako halisi unatudanganya.

Mimi ninamfahamu aliyeko nyuma ya hiyo Id, na kwa maana hiyo hata hoja yake ya kutunga inakuwa ni kaput.

Huo ndiyo msingi wangu kihoja katika hoja hii ya kutunga.
 
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.

Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.

MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.

Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.

Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.

Mbio za mlaghai huishia ukingoni.

Wewe mburula unataka kutuaminisha kuwa it was a coincidence kuwa mabadiliko haya ya wakina Feleshi yalitokea baada ya Jakaya kurudi kutoka safari yake ya Marekani alikopiga picha na Obama? Nani asiyejua kuwa amri zote zinatoka kwa wafadhili wenu? Nasema ni wenu kwavile ni nyie ndio mnaofaidika na ufadhili huo.
 
Back
Top Bottom