Hili halisemwi na Ikulu

Hili halisemwi na Ikulu

Jakaya kapoteza muda wake bila kutegemea, kazi ya Urais ni jukumu kubwa sana kwake.

Tuoneshe mmoja kati ya waliopita aliyefanya zaidi ya Kikwete chochote kile ukipendacho, tukimaliza tutaenda kingine, anza na kimoja tu.

This is a challenge.
 
Kuna swali MwanaDiwani, na FaizaFoxy mmeulizwa hamjalijibu, lakini hebu toeni hoja. Mwenzenu Yericko Nyerere kajitambulisha kwa jina lake nyie mnamsakama kuwa ndliye Jason Bourne kwa kuwa kuna Bandiko lake moja liliunganishwa na jina la Yericko Nyerere.

Lakini Yericko anadai kuwa JF Moderators waliingunisha hiyo "Thread" kimakosa na jina lake kwa hiyo yeye si Jason Bourne. Kuna swali nyie wawili mnatakiwa kutujibu, kama kweli nyie mnadai JF Moderators wanajua kwamba Yericko ndiye Jason Bourne ni kwa nini basi wameendelea kutenganisha thread za Yericko na za Jason Bourne badala ya kuziunganisha??

KWA TUHUMA KAMA HII YERICKO ALILIGARAGAZA HATA JESHI LA POLICE , KWAHIYO MAKELELE YA MTU MDOGO SANA TENA SANA KAMA MWANADIWANI YASIKUTIE SHAKA , hAINA UKWELI WOWOTE .
 
Last edited by a moderator:
mkuu jason bourne habari za siku bhana , tumemiss sana vitu vyako vya uhakika ,usitoweke sana mkuu .
 
Kufuatia hali ya ufisadi nchini kushamiri tangu enzi za serikali ya BWM na serika ya JK kuingizwa madarakani kwa nguvu ya ufisadi kitendo kinachoifanya serikali ya jk kutoonyesha uwajibikaji wowote juu ya ufisadi nchini,

Washington na Ulaya walimuweka kitako jk majuzi baada tu ya kufika USA, Wakuu wa kanda ya Afrika wa USA na Ulaya walionyesha kukerwa na hali ya mambo nchi Tz huku kukiwa hakuna juhudi zozote za kupambana na ufisa,

Mabadiliko yaliyofanywa pccb na dpp ni pressure ya Ulaya na US kwa JK kuhusu vita ya ufisadi

USA ilikuwa ikitambua kuwa felishi ameonekana akilinda ufisadi tangu epa kaondolewa

Sahivi Hossea atakuwa amefurahi, maana wabaya wake ndani ya DPP na PCCB wote wametolewa

Hosea mwenyewe yupo busy kutafuta personal assistances wa kuwatafuna...
 
Maelezo yako ya kujiosha hayawezi yakasimama kwenye hoja ambayo wewe ndiyo mshitakiwa.

Uongozi wa Jamiiforums ulikuomba ulete ushahidi unaokutenga na Id ya Janson Bourne na ukasema kama utatoa ushahidi kuwa wewe siyo Janson Bourne basi ungekuomba msamaha kwenye jukwaa hili la siasa.

Hukuweza kutoa ushahidi wowote na kilichofanyika ni uongozi wa Jf kuiondoa thread ya malalamiko yako.

Jamiiforums ni hansard na kila kinachoandikwa na kuwekwa kwenye jukwaa ni kumbukumbu isiyofutika na kwa maana hiyo, Kumbukumbu tunazo.

Tunafuatilia sana kinachoendelea hapa jukwaani lakini vile vile washukuru Mod's kwa kukuhifadhi kwa muda mrefu mpaka ukavuka mipaka na wakaamua kuziunganisha Id zako.

Nani kakudanganya mimi ni Katibu Mwenezi! Mimi ni MwanaDiwani.

Ni bora ukae kimya!
Kama ni kweli kuwa uongozi wa jf uliomba huo ushahidi na Wewe bado unauomba basi huo ulikuwa ni uwendawazimu wa hali ya juu.
Jf ndiyo walipaswa wawe na ushahidi wa kutosha usiokuwa na shaka kuziunganisha hizo ID mbili.
 
haka kajamaa kaongo sana kalikuwa kanahesabu safari za raisi kikwete na aliandika makala ya uchochezi kuwa ridhiwani alikamatwa na madawa ya kulevya china
mimi huwa na mpuuza tu

Wewe naona unaupungufu wa kifaa cha kufikiri na kutambua mambo kilichopo ndani ya kichwa chako, hivi hili sakata la Riz 1 kukamatwa na sembe China kama ingekuwa ni uongo imekuwaje hadi Baba yake amelikana hili mwezi 7 2014 na sio kipindi kile tena lingekanwa nadani ya nchi na sio nje kama alivyofanya.
 

Wewe naona unaupungufu wa kifaa cha kufikiri na kutambua mambo kilichopo ndani ya kichwa chako, hivi hili sakata la Riz 1 kukamatwa na sembe China kama ingekuwa ni uongo imekuwaje hadi Baba yake amelikana hili mwezi 7 2014 na sio kipindi kile tena lingekanwa nadani ya nchi na sio nje kama alivyofanya.

Kwanza kwa nini rais anakwenda kuzungumzia mambo ya madawa ya kulevya nje ya nchi? Haka kaChikweteNIKaraisKaogaSanaKanaogopaWauzaUngaSababuKanajuaKanahusika.
 
MNaOBISHa KUWA JK HAKUBANWA NA WAKUBWA HUKO SOMENI BARAZANI KWA AHMED RAJABU KATiKA GAZETI LA RAIA MWEMA LA WIKI JANA.ANAZUNGUMZA HAYAHAYA.KWA WALE WASIOMFAHAMU NI KWAMBA YEYE NI MWANDISHI WA HABARI MKONGWE WA KIMATAIFA
 
Finika kombe mwana haramu apite....


"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."
 
Kufuatia hali ya ufisadi nchini kushamiri tangu enzi za serikali ya BWM na serika ya JK kuingizwa madarakani kwa nguvu ya ufisadi kitendo kinachoifanya serikali ya jk kutoonyesha uwajibikaji wowote juu ya ufisadi nchini,

Washington na Ulaya walimuweka kitako jk majuzi baada tu ya kufika USA, Wakuu wa kanda ya Afrika wa USA na Ulaya walionyesha kukerwa na hali ya mambo nchi Tz huku kukiwa hakuna juhudi zozote za kupambana na ufisa,

Mabadiliko yaliyofanywa pccb na dpp ni pressure ya Ulaya na US kwa JK kuhusu vita ya ufisadi

USA ilikuwa ikitambua kuwa felishi ameonekana akilinda ufisadi tangu epa kaondolewa

Sahivi Hossea atakuwa amefurahi, maana wabaya wake ndani ya DPP na PCCB wote wametolewa

Mkuu vipi updates za safari za JK? Huduma yako inahitajika sana!
 
Lakini hii habari ya JK kuwekwa kitimoto nimeanza kuisoma kwenye RAIA MWEMA mpaka IKULU ikakanusha na leo tena nimeona kwenye RAI MWEMA hilohilo kuwa kuondoka kwa FELESHI ni shinikizo la wakubwa huko majuu........
Kuna hili pia........inasemekana kutokana na ufisadi kukithiri Nchini pengine tukakosa zile dolari za MCC awamu ya pili na hii ni baada ya wakubwa kuona Nchi inavyorudi kinyume nyume, walioandika hii habari wanasema wana ushahidi wa kutosha maana source wao ni wa kuaminika, anyway ngoja tusubiri hao wakubwa wakae huo mwezi wa tisa tuone kama na sisi tutafanikiwa kupata huo mshiko maana tunatia mashaka ikilinganishwa na wenzetu Ghana ambao tayari wana uhakika wa kupatiwa kutokana na usimamizi mzuri wa mali za umma.
Na Kikwete anarudi Washington DC Septemba 18 kuwaambia mabwana zake kuwa ameshatimiza maagizo waliyompa.
 
Hata kama JB awe ndio YN hakutufanyi sisi kuoanisha si tu kuondolewa kwa Feleshi bado pia na Vizingiti vingine juu ya mapambano ya rushwa kwa MARA MOJA tena iwe punde baada ya rais kutoka USA.
Wenye akili zao wanashawishika kuamini mantiki ya JB bila kujua JB ndio nani hasa.
 
"Kudhibiti"sha na "kuthibiti"sha ni vitu viwili tofauti, hakikisha ni neno lipi ulitaka kulitumia hapo kisha urudi tena.

Kiswahili ni lugha yako ya taifa, kienzi.

Chagua neno lililo sahihi...kisha jenga hoja kuhusu post yangu.
 
Porojo, ufisadi ulianzia kwa Nyerere, umesahau BOT ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Umesahau wizara ya mambo ya ndani ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Umesahau nchi ilikuwa masikini wa mwisho duniani? au ulikuwa hujazaliwa bado.

Eti "Washington walimweka kitako juzi".

Huo ni uongo usio na mfano.

Punguani wahed.

cc Yericko Nyerere
Jengo likiungua ni ufisadi umeunguzwa Faiza! Majengo yote yanayoungua hata huko uswekeni nayo ni ufisadi! Yale yanayoungua huko Ulaya na kwingineko?
 
Back
Top Bottom