Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 640
Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe, Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam?
Kuna njia nyingi suppliers wanazipendekeza, Kwa mfano,
1. DHL - Hii ni salama na inapatikana mikoani ila ni expensive sana.
2. FEDEX - Rahisi kidogo ila sina uhakika kama mikoani mfano mwanza wanapatikana.
3. Kwa P. O. Box - Inapatikana kote na bei nafuu ila nasikia posta wezi. Ni ngumu mzigo kufika salama.
3. Express International - Hii inakuwaje ?
4. UPS - Nayo inakuwaje ?
5. USPS - Hii nayo ikoje ?
6. Ems
Kuna watu humu wanashuhudia kuwa wanaagiza mara nyingi, je mnatumia njia gani? Karibuni