Dame Hilda Mabel Stevenson (née McKay; 1893–1987) was an Australian philanthropist and community worker. She was the daughter of Hugh Victor McKay, a combine harvester inventor. She was the trustee and founder of the Sunshine Foundation.
Anaandika Hilda Newron Chadema huko Facebook
‼️HABARI MBAYA KUTOKA MBEYA‼️
Julai 4, 2026 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya liliwakamata Viongozi wa CHASO watatu wa Mkoa wa Mbeya kila mmoja alikamatiwa Chuoni kwake.
Tangu siku hiyo mpaka leo hakuna mwanafamilia, Viongozi wa Chama wala Mawakili...
Huyu kwenye picha anaitwa Pendo Kileo ni Mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Chamazi.Juzi alitoa taarifa Polisi kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba mahali ambapo anaishi kuna CCTV so Polisi wanaweza kuanzia Uchunguzi wao hapo.
Leo kapigiwa simu...
Kupitia akaunti yake ya X, Hilda ametoa taarifa akidai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza amekamatwa
=============
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza Adam Chagulani amekamatwa na Polisi jioni hii, kapelekwa kituo cha Polisi Central Mwanza.Polisi wamembambika kesi wanadai kaleta Vijana...
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
Alichoandika Hilda Newton:
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti.
Katika maongezi hayo...
Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton.
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️
Shuka na Thread hadi mwisho uzi ni mrefu👇
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi...
Faris Burhan alisema mchana kweupe kwenye mkutano kuwa atawapoteza wapinzani, hamjawahi kumuita na kumpeleka mahakamani!
Leo mnamuandama Hilda Newton.
WHY DOUBLE STANDARDS?
Kwamba Jeshi la Polisi mnataka mie nifike kwa DCI? Mnataka nijilete kwenu nyie ambao April 24, 2025 mliniteka pale Mahakama ya Kisutu mkakaa na Mimi Central Police kisha mkanijazisha na kunisainisha fomu ili nijidhamini halafu nimetoka tu nje mkanigeuka, Mkanikamata tena na kuniweka lockup...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026.
Taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi...
HILI LIWE FUNZO KWA MAFWELE NA GENGE LAKE.
SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho katika mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah...
Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii?
Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts!
USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE
By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi...
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku ya Mazishi ambapo CHADEMA itapewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi saa tatu...
Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton
===============================================
TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM
Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
Hatuna bunduki wala silaha yoyote ila tuna bundle tu lakin tumefanikiwa kuifanya Serikali isimamishe shughuli zote nchi nzima.
Guys!.. guys! guys! sisi ni washindi maana maandamano ya kuiparalyze Serikali haram yamefanikiwa kwa asilimia 200 na tumewakosesha mapato.
Tumefanikiwa kuiweka...
Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii
==================
Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu wasiojulikana jioni ya leo tarehe 01/10/2025 akiwa kazini kwake NYAMIKOMA Wilaya ya Busega.Walioshuhudia tukio...
Wakuu,
Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu
Soma pia: Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba
==========
Anaandika Hilda...
Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-;
1. Mhe Lissu
2. Mdude Nyagali
3. Juma Kaswahili
4. Chaula
5. Jacob Mlay
6. Frank Mbise 7. Amani Manengelo
8. Deusdedith Soka
9. Dinioz Kipanya
10. Daniel Chonchorio
11. Musa Mziba
Na wengine wote ambao wametekwa na kupotezwa...
Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).
Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.